Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
David Luiz in 2016: "If I leave Chelsea one day, I want to play with Ozil"
Katimiza ndoto yake
Katimiza ndoto yake
Nyie chukueni tu hauna tatizo, Chelsea itabaki katika ubora ule ule ..wakina Luiz wataondoka na wengine lakini chama pendwa litabaki milele..Teh.......hadithi ya sungura primary kwa wahenga tu
Mchezaji yeyote anayetoka Chelsea hawezi kosa namba kwenye top six teams nadhani unaona jinsi gani arsenal wana furaha kwa kumpata Luiz maana uwakika wa namba anao. Ivyo hata Willian anaeza kuja apo Anfield na akakipiga fresh sana. Sisi tuna World Classic Player karibu timu nzima wakati Liver hawafiki hata watano...Huyo Forward wako Willian nakupa kazi kaangalie Profile yake kafunga na kutoa assist ngapi tangia amekuja hapo Chelsea
Wanaume tunajadili mambo ya timu yetu, wewe unapita umevaa kanga moja imelowana maji
Mchezaji yeyote anayetoka Chelsea hawezi kosa namba kwenye top six teams nadhani unaona jinsi gani arsenal wana furaha kwa kumpata Luiz maana uwakika wa namba anao. Ivyo hata Willian anaeza kuja apo Anfield na akakipiga fresh sana. Sisi tuna World Classic Player karibu timu nzima wakati Liver hawafiki hata watano...
Naona fans wa AssAnal washamvisha Luiz wao Jezi[emoji23][emoji23][emoji23]
#LetsProveThemWrong
Takataka usitupishie hapa arsenal hawana legend acha watu tudiscuss habari za team kubwa sio katimu ka ajabu ajabuHili povu la kleasoft hahahaaaaaa hiyo haigeuzi ukweli kuwa wewe na chelsea yako bado sanaaaaa kufikia level za arsenal ndugu.....ww ni underdog zinapokusanywa timu 5 kubwa hapo england
Umekosa hoja wewe. Lets assume mimi nimeanza kushabikia muda huo unaosema, tofauti yangu mimi na wewe kwa sasa ni ipi?Kwa maana ni kwamba leicester wangefanya vizuri misimu 4 tu generation inayoanza kushabikia mpira ktk kipindi kile ingekuwa na mahaba na hako katimu.....hii generation ya chelsea ni ya vitoto vya 2005-2009 kama sijakosea kipindi mzee Abromavich anaikomboa timu kutoka utumwani,
[emoji3][emoji3][emoji3] Daah utani wa ngumi huu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Arsenal kashangaeni ucl medal hamuijui inafananajeView attachment 1175682
Umeona bana. Na huko nyuma walikuwa wanawasaga kweli, huyo reject tu kaenda huko wanafanya sherehe, je wangemchukua first XI kama Rudiger ingekuwaje!Mchezaji yeyote anayetoka Chelsea hawezi kosa namba kwenye top six teams nadhani unaona jinsi gani arsenal wana furaha kwa kumpata Luiz maana uwakika wa namba anao. Ivyo hata Willian anaeza kuja apo Anfield na akakipiga fresh sana. Sisi tuna World Classic Player karibu timu nzima wakati Liver hawafiki hata watano...
Naona fans wa AssAnal washamvisha Luiz wao Jezi[emoji23][emoji23][emoji23]
#LetsProveThemWrong
kijana acha matusiHivi tar 14 kwa beki hii ya Cheltako Fc au Chelwowo Fc ni nani atamzuia Salah ,Mane na Firmino
Luiz atakuwa kama Matic tu.Angalau Luiz atawaambukiza mentality ya kuchukua makombe
Kwa bajeti ya £45m
Hata Wapare hawaoni ndani kwa Arsenal bana, itabidi nimtafute Arron anisaidia maana huu ujanja ni mzuri sana kwa kubana matumizi, unajua tena kipindi hiki vyuma vimebana, hii teknolojia ni muhimu sana
- Martinellli £6m
- Dani Ceballos (Loan)
- William Saliba £30m (Loaned-back)
- Nicolas Pépé £72m
- Kieran Tierney £25m
- David Luiz £8m