Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea ni kakilabu ka pombe

Msimu huu mnashuka daraja
Haukumbuki mbege ulizokuwa unatuletea humu kabla ya fainal ya Europa baada ya final utatokemea kwa kuwa unajua ka team kako maturity ni zero ,ulibadilika kama kuku mwenye mdondo ,tunapoongelea ubora wa team usipite kwenye page ya Chelsea anavyo vikombe vitatu Vya ulaya nenda huko Norwich ndio saizi yenu
 
Hiki kipindi ambacho chelsea amefungiwa ndicho cha kusafisha utando wote timu ianze upya na new generation. Timu haitacheza kwa pressure kwani malengo ni kucheza europe league kuingia top four it will be success for the blues.

Hivyo kama lampard ameona asafishe timu haina tatizo ni muda wa kuandaa kizazi cha dhahabu
Chelsea itaishangaza dunia msimu huu...tunaanza wkend hii
 
Chelsea itaishangaza dunia msimu huu...tunaanza wkend hii
Sisi hautashangaa Chelsea yetu inasemwa vibaya hata na washabiki wa arsenal ambao furaha ya makombe walisha sahau ,msimu uliopita walitambaa mwisho wakatukimbia ,forever blue tukiwakilisha London kimataifa zaidi
 
Team yenu nzima isiweza kuchukua kombe lolote miaka nenda rudi ,kinachonishangaza mshabiki wa team ya hovyo hovyo kama arsenal anawaita mabingwa wa Europa na third runner EPL wabovu wakati team yake Uefa sijui msimu wa ngapi huu ,utasubiri sana kuweni serious ARSENAL na WASHABIKI wake SERIOUSLESS
Wewe mwenyewe unajua inapozungumzwa timu kubwa LONDON inatajwa timu gani ila mapenzi,ujeuri na ubishi ndio vinakufanya ujitoe ufahamu
 
"Nyakati mbaya kwenye maisha yangu ni ya Brazil kupoteza dhidi ya Ujerumani (mabao 7-1). Lakini niliuona ubora wa Mesut Ozil, na labda kama nikiondoka Chelsea basi nitataka kucheza pamoja na Ozil." aliwai kusema David Luiz mwaka 2016.

IMG-20190808-WA0025.jpeg
 
"Nyakati mbaya kwenye maisha yangu ni ya Brazil kupoteza dhidi ya Ujerumani (mabao 7-1). Lakini niliuona ubora wa Mesut Ozil, na labda kama nikiondoka Chelsea basi nitataka kucheza pamoja na Ozil." aliwai kusema David Luiz mwaka 2016.

View attachment 1175480
Uchochoro huu..katuchoma sana huyu kijana mwenye mguu mmoja mfupi na mwingine mrefu
 
Wewe mwenyewe unajua inapozungumzwa timu kubwa LONDON inatajwa timu gani ila mapenzi,ujeuri na ubishi ndio vinakufanya ujitoe ufahamu
Ukubwa upi ?kitimu ambacho hakifahamiki ulaya kina ukubwa gani ?
 
Uchochoro huu..katuchoma sana huyu kijana mwenye mguu mmoja mfupi na mwingine mrefu
David Luiz completed 41 through balls last season, more than any other player. Just imagine him playing against a high line with Aubameyang and Pépé on the last man. £8M isn’t bad business at all, i’ll take it.
 
Ukubwa upi ?kitimu ambacho hakifahamiki ulaya kina ukubwa gani ?
Sasa chelshea nayo ni timu ya kujiweka mbele za watu nayo ushangilie....hako ni katimu kadogo sana hapo england sawa na blackburn tu
 
Sasa chelshea nayo ni timu ya kujiweka mbele za watu nayo ushangilie....hako ni katimu kadogo sana hapo england sawa na blackburn tu
Unaongea vulituko gani nani anaijua Arsenal ulaya yupi ?hadi Leo ukiulizwa legend wa arsenal ni nani utamtaja yupi kwa kushinda nini? Uliza Steven Gerald anakumbukwa Liverpool?Drogba chelsea? Team ambayo haijabeba uefa haina legend ni kituko bado ,muulize Thiery, Fabrigas ,Vanpersie ,Overmas walikimbia arsenal kwa sababu gani katimu ka hovyo hovyo hakawezi beba kombe lolote ulaya ,umeshawai kuona mchezaji wa arsenal akipewa dhamana ya ku present kikombe final usiku wa ulaya ?katimu ka hovyo hovyo
 
Kwa maana ni kwamba leicester wangefanya vizuri misimu 4 tu generation inayoanza kushabikia mpira ktk kipindi kile ingekuwa na mahaba na hako katimu.....hii generation ya chelsea ni ya vitoto vya 2005-2009 kama sijakosea kipindi mzee Abromavich anaikomboa timu kutoka utumwani,
Apambane kwanza na astonvilla

Timu hata uwanja haina
 
Hili povu la kleasoft hahahaaaaaa hiyo haigeuzi ukweli kuwa wewe na chelsea yako bado sanaaaaa kufikia level za arsenal ndugu.....ww ni underdog zinapokusanywa timu 5 kubwa hapo england
Unaongea vulituko gani nani anaijua Arsenal ulaya yupi ?hadi Leo ukiulizwa legend wa arsenal ni nani utamtaja yupi kwa kushinda nini? Uliza Steven Gerald anakumbukwa Liverpool Team ambayo haijabeba uefa haina legend ni kituko bado ,muulize Thiery, Fabrigas ,Vanpersie ,Overmas walikimbia arsenal kwa sababu gani katimu ka hovyo hovyo hakawezi beba kombe lolote ulaya ,umeshawai kuona mchezaji wa arsenal akipewa dhamana ya ku present kikombe final usiku wa ulaya ?katimu ka hovyo hovyo
 
Hili povu la kleasoft hahahaaaaaa hiyo haigeuzi ukweli kuwa wewe na chelsea yako bado sanaaaaa kufikia level za arsenal ndugu.....ww ni underdog zinapokusanywa timu 5 kubwa hapo england
Nimeshangaa sana anavyotokwa povu huyo jamaa duh
 
David Luiz

" I know very well Emery. He is a great manager and tactician. When the opportunity came to play for him again I couldn't say no. And its always been my dream to play for the Arsenal. A club with so much history"
IMG-20190808-WA0029.jpeg
 
World Class: Virgil van Dijk.

Class: Aymeric Laporte, Rob Holding.

Good: Nathan Ake, Toby Alderweireld, Vincent Kompany, Victor Lindelof.

Decent: Eric Bailly, Wily Bolly, Lewis Dunk, Joe Gomez, Harry Maguire, Christian Kabasele, Antonio Rudiger, John Stones, Davinson Sanchez, Socrates, Jan Vertonghen, Kurt Zouma, James Tarkowski.

Bad: Fabián Balbuena, Martin Kelly, Jannik Vestergaard, Michael Keane, Sol Bamba, Andreas Christensen, Christopher Schindler, Kieran Clarke, Fabian Schar, Jamaal Lascelles, Ryan Bennett, Mamadou Sakho, Issa Diop, Joel Matip, Paul Dummett, Phil Jagielka, David Luiz, Federico Fernandez, Dejan Lovren, Çağlar Söyüncü, Jonny Evans, Yerry Mina, Adrian Mariappa, Juan Foyth, Denis Odoi, Angelo Ogbonna, Tim Ream, Nicolas Otamendi.

Trash: Leon Begalom, Wes Morgan, Steve Cook, Conor Coady, Craig Cathcart, Shane Duffy, Wesley Hoedt, Scott Dann, Jack Stephens, Maya Yoshida, Sean Morrison, James Tomkins, Terence Kongolo, Laurent Koscielny, Mathias Jørgensen, Maxime Le Marchand, Jack Simpson, Bruno Ecuele Manga, Ben Gibson, Florian Lejeune, Chris Mepham, Chris Smalling, Marcos Rojo, Ben Mee, Calum Chambers. Mustafi: Shkodran Mustafi, Phil Jones, Alfie Mawson

Bad CB Luiz anaenda kuungana na Trash CB Mustafi kuunda ukuta wa Arsenal, timu ile imepotea jamani
 
Haukumbuki mbege ulizokuwa unatuletea humu kabla ya fainal ya Europa baada ya final utatokemea kwa kuwa unajua ka team kako maturity ni zero ,ulibadilika kama kuku mwenye mdondo ,tunapoongelea ubora wa team usipite kwenye page ya Chelsea anavyo vikombe vitatu Vya ulaya nenda huko Norwich ndio saizi yenu
Arsenal fan huwa wanafanya ushabiki kabla ya ligi ndio season pekee wana furaha, wakianza kutumbukiziwa magoli wanapotea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom