Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi wakati Brazil anafungwa 7-0 na Ujerumani, Luiz alikuwa winger au CB?
Je wakati Chelsea anatumbukizwa 6-0 na Mancity Luiz alikuwa winger au CB?
Je Bonamouth anatufunga 4-0

Nathan Ake ni CB mzuri kuliko Luiz sijui kwanini Chelsea hawakumuuzia Arsenal Luiz wakati ule na kumretain Nathan Ake
Luiz matobo yake mkipona sana ni magoli 4 kwenda juu. Of course sio kila wakati anaruhusu ila siku akiamka kagombana na mke wake au ana bivu na mtu yeyote ndio mtamjua Luiz anaitwa ni risk defender ndipo mtakapomjua
 
Mkuu hivi unajua luis msimu uliopita kacheza mechi 36 chelsea???
 
Hatujuani ndio maana........ila hii nayo imeleta unafuu maana ingekuwa kabla ya kucoment haya mashudu yako ungeanza kuamkia kwanza....
Umekosa hoja wewe. Lets assume mimi nimeanza kushabikia muda huo unaosema, tofauti yangu mimi na wewe kwa sasa ni ipi?

Unadhani mimi mtoto wa 2005 unanizidi nini wewe wa 95 kama unavyojipqmbanua hapo?
 
Kwa bajeti ya £45m
  1. Martinellli £6m
  2. Dani Ceballos (Loan)
  3. William Saliba £30m (Loaned-back)
  4. Nicolas Pépé £72m
  5. Kieran Tierney £25m
  6. David Luiz £8m
Hata Wapare hawaoni ndani kwa Arsenal bana, itabidi nimtafute Arron anisaidia maana huu ujanja ni mzuri sana kwa kubana matumizi, unajua tena kipindi hiki vyuma vimebana, hii teknolojia ni muhimu sana
Hahahaaaaaaaa
 
Mbona kama muna hasira?
Umeona bana. Na huko nyuma walikuwa wanawasaga kweli, huyo reject tu kaenda huko wanafanya sherehe, je wangemchukua first XI kama Rudiger ingekuwaje!
 
Hivi wakati Brazil anafungwa 7-0 na Ujerumani, Luiz alikuwa winger au CB?
Je wakati Chelsea anatumbukizwa 6-0 na Mancity Luiz alikuwa winger au CB?
Je Bonamouth anatufunga 4-0

Nathan Ake ni CB mzuri kuliko Luiz sijui kwanini Chelsea hawakumuuzia Arsenal Luiz wakati ule na kumretain Nathan Ake
Luiz matobo yake mkipona sana ni magoli 4 kwenda juu. Of course sio kila wakati anaruhusu ila siku akiamka kagombana na mke wake au ana bivu na mtu yeyote ndio mtamjua Luiz anaitwa ni risk defender ndipo mtakapomjua
Nipo nacheka na comment zenu fans wa chelsea mumechafukwaaaaaa....haya yote mbona hamkuyasema kipindi mpo nae
 
Sisi si
Nimeshangaa sana anavyotokwa povu huyo jamaa duh
sio saizi yenu kashindeni hata Europa mtatukaribia msifananishe $ na Tshs ,kati ya Chelsea na Arsenal mnajua US Dollars ni nani na Tshs ni nani nyinyi ni limbwilimbwi tu ndani ya miaka mitano ndio mnaweza badili picha za profile ya team yenu JF kwa kishinda FA
 
Hili povu la kleasoft hahahaaaaaa hiyo haigeuzi ukweli kuwa wewe na chelsea yako bado sanaaaaa kufikia level za arsenal ndugu.....ww ni underdog zinapokusanywa timu 5 kubwa hapo england
Akipita mshabiki wa Man utd na Liverpool akasema Chelsea ndogo kuliko team kuliko team zao tunawaelewa ni ujinga wa washabiki wa Arsenal tu ndio wanawaza wao ni team kubwa wameshinda kipi cha maana ?Team isiyo na legend takataka kabisa
 
Huyo pepe fee yake inalipwa katika mafungu mafungu
Ingekuwa 75m cash saiz mngekuwa mmetulia kama maji kwny mtungi
Hujui chochote , kila fee imelipwa CASH

mlisema tuna 40 ,sasa hiv mnapiga gia angani ni Mafungu

Rais wa LILE anasema kapokea CASH

RAIS Napoli anasema Dau la arsenal lilikuwa kubwa

Wewe upo kindungulile unasema mafungu
 
Akipita mshabiki wa Man utd na Liverpool akasema Chelsea ndogo kuliko team kuliko team zao tunawaelewa ni ujinga wa washabiki wa Arsenal tu ndio wanawaza wao ni team kubwa wameshinda kipi cha maana ?Team isiyo na legend takataka kabisa
Ndio shida ya watoto wa 2004 abromovic akiinunua Chelsea

Arsenal ina Malegend zaid ya 100

Unamjua RAY PARLOR ?

DENIS BERGKAMP, TON ADAMS, PATTRICK VIERA,

ndio maana mnaambiwa timu yenu imeanza 2004 mnabisha

Kwa Akili yako unadhan hao malegend wa 5 wa Chelsea ni WENGI , duh

Mimi ndio maana watu kama nyie nawapuuza , Maana mpira hamjui , Mmejua kubeti basi mmejikuta mnafatilia mpira

NARUDIA TENA ARSENAL INA MALEGEND ZAID YA 100 CHELSEA HAWAZID 7
 
Hivi wakati Brazil anafungwa 7-0 na Ujerumani, Luiz alikuwa winger au CB?
Je wakati Chelsea anatumbukizwa 6-0 na Mancity Luiz alikuwa winger au CB?
Je Bonamouth anatufunga 4-0

Nathan Ake ni CB mzuri kuliko Luiz sijui kwanini Chelsea hawakumuuzia Arsenal Luiz wakati ule na kumretain Nathan Ake
Luiz matobo yake mkipona sana ni magoli 4 kwenda juu. Of course sio kila wakati anaruhusu ila siku akiamka kagombana na mke wake au ana bivu na mtu yeyote ndio mtamjua Luiz anaitwa ni risk defender ndipo mtakapomjua
Chelsea huu mnaofanya ni ushabiki wa kitoto, yaani jamaa kuondoka ndio mnaanza kuyaona madhaifu yake!!!, we hata useme nini haisaidii kitu ndo kashasepa hivyo.
Luiz kachukua Uefa Na europa na ubovu wake huo huo akiwa kwenye first eleven yenu, saiv mnajikuta hamyaoni hayo.
 
Msimu huu humu ni vilio tu

LUIZ kugoma kila siku kepa anatunguliwa lawama mnampa yeye ,Amewagomea mnaanza vilio

EPL ikianza beki Zuma & Andres

Kipa kepa

Si mtajipiga Ban humu ya mwaka
 
Akipita mshabiki wa Man utd na Liverpool akasema Chelsea ndogo kuliko team kuliko team zao tunawaelewa ni ujinga wa washabiki wa Arsenal tu ndio wanawaza wao ni team kubwa wameshinda kipi cha maana ?Team isiyo na legend takataka kabisa
Wewe umekaririshwa legend paka ashinde UEFA????
unaelewa maana ya legend kweli wew?? Arsenal walishakua na malegend toka kipindi chelsea inapambana kushuka daraja.Nyie washabiki mlionza 2008 hamna mnachokijua mnasumbua kweli.
 
Sasa chelshea nayo ni timu ya kujiweka mbele za watu nayo ushangilie....hako ni katimu kadogo sana hapo england sawa na blackburn tu
Chelseafc ingelikuwa ni timu ndogo sidhani Kama ungekuwa unashinda kutwa nzima ukibwabwaja kwenye jukwaa lake,ukweli ni kwamba Chelseafc ni timu inayowanyima usingizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom