Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kutu usichojua ni kwamba Luiz katoka kusign juzijuzi kwa situation hiyo tutawauzia kwa bei tunayotaka ambayo ni juu ya thamani yake.Beki mwenye UEFA na EUROPA cups hawezi kuwa na thamani hiyo hasa anapoenda kwenye timu inayohangaikia walau ichukue kikombe cha ulaya.

Je mtaweza bei yake?
Kaleta songombingo ,kwahiyo lazima mumuuze kilazima kwa bei chee

Awali ilitakiwa tutoe £20m

Lakin imeshuka hadi £8m

KARIBU LUIZ ARSENAL
IMG-20190807-WA0047.jpeg
 
Arsenal kuanzia mashabiki wake na team hawako serious mwisho wa msimu wewe na ka genge kako mtakaa kona na kulaumiana wakati chelsea tukinyanyua kikombe kati ya makombe tutakayo shiriki na hii ndio tofauti ya team ndogo na kubwa,
Chelsea ni kakilabu ka pombe

Msimu huu mnashuka daraja
 
Lampard naona anafanya maamuzi kama ya makocha wengine wakubwa waliyoyafanya, nibira aende na watoto kuliko mtu ambae anahis atamsumbua mbeleni
Baada ya luiz mwingine nahis atakuwa zapacosta na danny drinkwater o bakayoko

Chelsea ya msim huu watu hawatoamini tukiwa ndani ya top 4 msim unaisha
Wataalamu wa mpira wanasema ikiwa ndan ya mech 10 ,Chelsea yupo ndan ya top 6 bas ana 100% ya kubeba EPL

MNA timu mbovu ambayo ukiangalia hata Leicester , astonvilla , Everton watawachakaza
 
Hivi tar 14 kwa beki hii ya Cheltako Fc au Chelwowo Fc ni nani atamzuia Salah ,Mane na Firmino
 
Wataalamu wa mpira wanasema ikiwa ndan ya mech 10 ,Chelsea yupo ndan ya top 6 bas ana 100% ya kubeba EPL

MNA timu mbovu ambayo ukiangalia hata Leicester , astonvilla , Everton watawachakaza
Team yenu nzima isiweza kuchukua kombe lolote miaka nenda rudi ,kinachonishangaza mshabiki wa team ya hovyo hovyo kama arsenal anawaita mabingwa wa Europa na third runner EPL wabovu wakati team yake Uefa sijui msimu wa ngapi huu ,utasubiri sana kuweni serious ARSENAL na WASHABIKI wake SERIOUSLESS
 
Hiki kipindi ambacho chelsea amefungiwa ndicho cha kusafisha utando wote timu ianze upya na new generation. Timu haitacheza kwa pressure kwani malengo ni kucheza europe league kuingia top four it will be success for the blues.

Hivyo kama lampard ameona asafishe timu haina tatizo ni muda wa kuandaa kizazi cha dhahabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom