OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Hapana kwa kweli ni moja ya usajili bora kwa arsenal..Imewauma sana
Hapana kwa kweli ni moja ya usajili bora kwa arsenal..Imewauma sana
I a gree with uLuiz anauzwa Arsenal kwa bei ya kutupa kabisa. Inasemekana relationship yake na FL imetetereka sana, wakihusisha bifu lao la 2013
Ukienda Arsenal maisha ya makombe ndio nitolee hauchukui chochoteAngalau Luiz atawaambukiza mentality ya kuchukua makombe
Toa ujinga hao wakina Tony Adam nani anamtambua ulaya? Kama haujabeba champions league u legend unautoa wapi? Viera anafahamika kupitia Team ya Taifa sio Arsenal takataka.hauwezi muunganisha Thiery na wachezaji uliowataja mkachukue hata Europa mnarukaruka tu mbiligi kweli ?Mimi huyo Ray Paulor nimemuona live,kashinda nini ulaya?Ngoja nijenge nchi ntarudi badaeNdio shida ya watoto wa 2004 abromovic akiinunua Chelsea
Arsenal ina Malegend zaid ya 100
Unamjua RAY PARLOR ?
DENIS BERGKAMP, TON ADAMS, PATTRICK VIERA,
ndio maana mnaambiwa timu yenu imeanza 2004 mnabisha
Kwa Akili yako unadhan hao malegend wa 5 wa Chelsea ni WENGI , duh
Mimi ndio maana watu kama nyie nawapuuza , Maana mpira hamjui , Mmejua kubeti basi mmejikuta mnafatilia mpira
NARUDIA TENA ARSENAL INA MALEGEND ZAID YA 100 CHELSEA HAWAZID 7
Watoto wa juzi bhana duhToa ujinga hao wakina Tony Adam nani anamtambua ulaya? Kama haujabeba champions league u legend unautoa wapi? Viera anafahamika kupitia Team ya Taifa sio Arsenal takataka.hauwezi muunganisha Thiery na wachezaji uliowataja mkachukue hata Europa mnarukaruka tu mbiligi kweli ?Mimi huyo Ray Paulor nimemuona live,kashinda nini ulaya?Ngoja nijenge nchi ntarudi badae
Katika timu 5 kubwa pale england chelsea haipo ila Gunnerz wapo mzee ...hahahaha UNAKWAMA WAPI??????Akipita mshabiki wa Man utd na Liverpool akasema Chelsea ndogo kuliko team kuliko team zao tunawaelewa ni ujinga wa washabiki wa Arsenal tu ndio wanawaza wao ni team kubwa wameshinda kipi cha maana ?Team isiyo na legend takataka kabisa
Rejected at blues..!Usiku mwemaView attachment 1176146
Mzee hao wamevurugwa na luiz sasa unavyowakalia kibampani wanaweza kuanza kurusha ngumi kuwa makiniNdio shida ya watoto wa 2004 abromovic akiinunua Chelsea
Arsenal ina Malegend zaid ya 100
Unamjua RAY PARLOR ?
DENIS BERGKAMP, TON ADAMS, PATTRICK VIERA,
ndio maana mnaambiwa timu yenu imeanza 2004 mnabisha
Kwa Akili yako unadhan hao malegend wa 5 wa Chelsea ni WENGI , duh
Mimi ndio maana watu kama nyie nawapuuza , Maana mpira hamjui , Mmejua kubeti basi mmejikuta mnafatilia mpira
NARUDIA TENA ARSENAL INA MALEGEND ZAID YA 100 CHELSEA HAWAZID 7
Europa mje kupiga kelele Hapa ,kitimu hakifahamiki ulaya nzima mashabiki wanamidomoWewe umekaririshwa legend paka ashinde UEFA????
unaelewa maana ya legend kweli wew?? Arsenal walishakua na malegend toka kipindi chelsea inapambana kushuka daraja.Nyie washabiki mlionza 2008 hamna mnachokijua mnasumbua kweli.
Hapo vipi?huyu nae sio legend??????Toa ujinga hao wakina Tony Adam nani anamtambua ulaya? Kama haujabeba champions league u legend unautoa wapi? Viera anafahamika kupitia Team ya Taifa sio Arsenal takataka.hauwezi muunganisha Thiery na wachezaji uliowataja mkachukue hata Europa mnarukaruka tu mbiligi kweli ?Mimi huyo Ray Paulor nimemuona live,kashinda nini ulaya?Ngoja nijenge nchi ntarudi badae
Hapo vipi?huyu nae sio legend??????View attachment 1176149View attachment 1176150
Usiumie moyo mkuu ni vitu vidogo tu hivi, naona unatema sana nyongo duuuh!unaweza ukamzaba vibao mtu karibu yako hapo.Toa ujinga hao wakina Tony Adam nani anamtambua ulaya? Kama haujabeba champions league u legend unautoa wapi? Viera anafahamika kupitia Team ya Taifa sio Arsenal takataka.hauwezi muunganisha Thiery na wachezaji uliowataja mkachukue hata Europa mnarukaruka tu mbiligi kweli ?Mimi huyo Ray Paulor nimemuona live,kashinda nini ulaya?Ngoja nijenge nchi ntarudi badae
Nipo vizuri mkuu sana ,mashabiki wa Chelsea tuko sehemu salama sanaUsiumie moyo mkuu ni vitu vidogo tu hivi, naona unatema sana nyongo duuuh!unaweza ukamzaba vibao mtu karibu yako hapo.
Nipo vizuri mkuu sana ,mashabiki wa Chelsea tuko sehemu salama sana
Haha hahaha hii Arsenal ni vichekesho mkuu.Toa ujinga hao wakina Tony Adam nani anamtambua ulaya? Kama haujabeba champions league u legend unautoa wapi? Viera anafahamika kupitia Team ya Taifa sio Arsenal takataka.hauwezi muunganisha Thiery na wachezaji uliowataja mkachukue hata Europa mnarukaruka tu mbiligi kweli ?Mimi huyo Ray Paulor nimemuona live,kashinda nini ulaya?Ngoja nijenge nchi ntarudi badae
Wewe ndie hujui maana ya LegendWewe umekaririshwa legend paka ashinde UEFA????
unaelewa maana ya legend kweli wew?? Arsenal walishakua na malegend toka kipindi chelsea inapambana kushuka daraja.Nyie washabiki mlionza 2008 hamna mnachokijua mnasumbua kweli.
Ukitaka kujua kuwa UEFA is part of, we waangalie sasa hivi Liverpool, wana majina makubwa makubwa kama akina VVD, Mane, TAA, MO Salah hata Origi ana jina kubwa kuliko OzilWewe umekaririshwa legend paka ashinde UEFA????
unaelewa maana ya legend kweli wew?? Arsenal walishakua na malegend toka kipindi chelsea inapambana kushuka daraja.Nyie washabiki mlionza 2008 hamna mnachokijua mnasumbua kweli.