Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Usiseme hivyo mkuu AROON, tuwaachie mchezaji wao bwana.Sisi wetu Upamecano.hahaah
Hahahah huyu emery kasema ni Short term ,maana Leipzig wameikataa £60m ,hivo tutarud January, acha sasa hiv tumchukue Luiz maana haitaki chelsea
 
BREAKING: David Luiz has just removed 'Chelsea player' from his Twitter biography.
IMG_20190807_223253.jpeg
 
Lampard kamchana ayuko kweny mipango yake, na familia yake haitaki kuondoka London ivyo solution ni kukimbilia Arsenal maana ndo sehem pekee pa kupatia namba.
Teh.......hadithi ya sungura primary kwa wahenga tu
 
Breaking | L'Équipe report that Chelsea defender David Luiz is seeking to force a move to Arsenal. More follows.

David Luiz's agent........

Kia Jorrabchian.(Arsenal fan lia lia)

Kwa bajeti ya £45m tunaweza tununua Chelsea nzima
Lampard kamkataa kwa sababu anavuja, umri umeenda nyie ndio kwanza hamna aibu kuja kushangilia kupata makapti, Ueropa inawangoja milele
 
Kama unaanza kuwa na mahaba na wachezaji ambao Chelsea inawaona Kama second choice basi club yenu imepoteza mwelekeo.
Aroon na Arsenal yake hawajitambui kabisa, mchezaji wa miaka 32 na ameanza kuonyesha dalili za kuwa mzito na mzigo eti wao ndio wanashangilia kumsajili.

Ngoja niwaambie, Chelsea walimsajili na kumpa mkataba wa miaka miwili ili asiondoke bure, angalau mil 20 itatosha kuongeza balance badala angeenda bure kama Carhill

Hata iweje mkuu. Ndio ana mapungufu yake ila kuondoka katika kipindi hiki itatusumbua sana.

Zouma kamletea balaa anaona atashindwa kupata namba.
Mimi ni fan mkubwa sana wa Luiz na pamoja na mapunguvu aliyonayo hasa ya kuwa mzito na kuwa uchochoro kwenye magoli mengi Chelsea walifungwa, bado Luiz alisaidia sana kuifanya defense iwe imara na pia ni defender mchezeshaji tofauti na hao wanaobaki, labda Andreasen ndie mwenye kuchezesha kama Luiz. Ila kama hayuko tayari kuwapa dogo kama akina Zouma nafasi, mimi naona sawa tu aondoke. Legend mzuri ni yule aliye na utayari wa kupokeza kijiti kwa wanaomfuata kama akina Zouma
 
Mimi ni fan mkubwa sana wa Luiz na pamoja na mapunguvu aliyonayo hasa ya kuwa mzito na kuwa uchochoro kwenye magoli mengi Chelsea walifungwa, bado Luiz alisaidia sana kuifanya defense iwe imara na pia ni defender mchezeshaji tofauti na hao wanaobaki, labda Andreasen ndie mwenye kuchezesha kama Luizi. Ila kama hayuklo tayari kuwapa dogo kama akina Zouma nafasi, mimi naona sawa tu aondoke. Legend mzuri ni yule aliye na utayari wa kupokeza kijiti kwa wanaomfuata kama akina Zouma
Ngoja tuone kama Luiz akiondoka defense yetu itakuwaje, sisemi kma itakuwa mbaya au itakuwa nzuri ..ila mchango wa Luiz bado ni muhimu sana japo umri umeenda..

Ila ata Matic aliondoka Dakika kama hiz tukiamini usajili wa Bakayoko ungeziba nafasi yake lakini Bakayoko alifeli. Ila Matic anaonekana kafeli zaid uko alipo kuliko Bakayoko kwa sababu yeye kapiga game nying kuliko Bakayoko. Hivyo kuna uwezekano Luiz akasepa na defense ikajitahidi. Nakumbuka msimu wa pili wa Conte Luiz alipiga game chache sana(pengine kutokana na mifumo ya makocha) lakin hakukuwa na tofauti kubwa sana upande wa defense. Kama dirisha bdo halijafungwa sisi tunawakaribisha Arsenal tufanye nao biz maana tunajua kabisa Luiz hatakipiga kwa mda mrefu apo arsenal na mwishowe ataondoka bure tu
 
Martin Keown believes

Unai Emery will be making a huge mistake if he signs David Luiz for Arsenal.

Emery is desperate to sign a new center-half, particularly in light of Laurent Koscielny’s acrimonious departure. Keown believes Luiz’s expansive passing range would suit Arsenal’s style, but the Gunners’ weakness in midfield would leave him isolated and vulnerable.

‘If I was at Arsenal and had the ear of Unai Emery, I would be advising my manager not to sign David Luiz,’ he told the Daily Mail. ‘Walk away from this deal. This is not the defender for you. It’s too high risk. ‘Yes, Arsenal want a center back, but is Luiz the answer to their prayers? I don’t think so. ‘The way the 32-year-old plays, he would be exposed in that Arsenal defense. He would not get the same protection that he enjoys at Chelsea, where N’Golo Kante patrols in front of the back line. ‘In possession, Luiz is a wonderful passer, but he makes mistakes when playing as part of a back four. ‘He has a tendency to lose his marker and is one of those all-or-nothing players — if he doesn’t win the ball in a challenge, then congratulations because you’re in.’
 
Ngoja tuone kama Luiz akiondoka defense yetu itakuwaje, sisemi kma itakuwa mbaya au itakuwa nzuri ..ila mchango wa Luiz bado ni muhimu sana japo umri umeenda..

Ila ata Matic aliondoka Dakika kama hiz tukiamini usajili wa Bakayoko ungeziba nafasi yake lakini Bakayoko alifeli. Ila Matic anaonekana kafeli zaid uko alipo kuliko Bakayoko kwa sababu yeye kapiga game nying kuliko Bakayoko. Hivyo kuna uwezekano Luiz akasepa na defense ikajitahidi. Nakumbuka msimu wa pili wa Conte Luiz alipiga game chache sana(pengine kutokana na mifumo ya makocha) lakin hakukuwa na tofauti kubwa sana upande wa defense. Kama dirisha bdo halijafungwa sisi tunawakaribisha Arsenal tufanye nao biz maana tunajua kabisa Luiz hatakipiga kwa mda mrefu apo arsenal na mwishowe ataondoka bure tu
Kuna habari nimeweka hapo chini kutoka kwa mchambuzi anayemjua vizuri Luiz akianika mapunguvu yake. Hasa ni ile anayosema
Luiz anafunikwa huku na midfield wazuri kama akina Ngolo Kante, akienda Arsenal yenye midfield wabovu Luiz atakuwa risk kubwa kwa Unai na Arsenal yenyewe. Sasa watu wasiomjua Luiz vizuri kama akina Aroon wao wanashangilia

Martin Keown anasema

".... He would not get the same protection that he enjoys at Chelsea, where N’Golo Kante patrols in front of the back line. ‘In possession, Luiz is a wonderful passer, but he makes mistakes when playing as part of a back four. ‘He has a tendency to lose his marker and is one of those all-or-nothing players — if he doesn’t win the ball in a challenge, then congratulations because you’re in.’"
 
Mimi ni fan mkubwa sana wa Luiz na pamoja na mapunguvu aliyonayo hasa ya kuwa mzito na kuwa uchochoro kwenye magoli mengi Chelsea walifungwa, bado Luiz alisaidia sana kuifanya defense iwe imara na pia ni defender mchezeshaji tofauti na hao wanaobaki, labda Andreasen ndie mwenye kuchezesha kama Luiz. Ila kama hayuko tayari kuwapa dogo kama akina Zouma nafasi, mimi naona sawa tu aondoke. Legend mzuri ni yule aliye na utayari wa kupokeza kijiti kwa wanaomfuata kama akina Zouma
Hata kama mkuu.. Angesaidia mno kwa kipindi hiki. Kwa hiyo defenders tutakaobaki nso ni Zouma, Rudiger christensen nadhani na Tomori. Ukiangalia hapo ni Luiz pekee ndio mwenye experience na mashindano makubwa. Tuongee ukweli Chistensen au Tomori wanatakiwa wasimame na mtu kama Luiz.

Ila kwakua kaamua na inainyesha Lampard mwenyewe hamtaki wacha tuwapige Arsenal.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom