Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kutu usichojua ni kwamba Luiz katoka kusign juzijuzi kwa situation hiyo tutawauzia kwa bei tunayotaka ambayo ni juu ya thamani yake.
£20m ITAWATOSHA CHELSEA KWA LUIZ?

It is understood that Luiz has requested to leave Stamford Bridge after Arsenal have rekindled their interest in signing him. #CFC likely to ask for around £20m [Guardian]
Beki mwenye UEFA na EUROPA cups hawezi kuwa na thamani hiyo hasa anapoenda kwenye timu inayohangaikia walau ichukue kikombe cha ulaya.

Je mtaweza bei yake?
 
Mchezaji anawakimbia ,

Msimu huu kushuka daraja kunawahusu
Arsenal kuanzia mashabiki wake na team hawako serious mwisho wa msimu wewe na ka genge kako mtakaa kona na kulaumiana wakati chelsea tukinyanyua kikombe kati ya makombe tutakayo shiriki na hii ndio tofauti ya team ndogo na kubwa,
 
Mgogoro wa Luiz na Lampard ulianzia hapa:
Luiz was worried at having been left out the starting line-up against Borussia Monchengladbach
 
Lampard naona anafanya maamuzi kama ya makocha wengine wakubwa waliyoyafanya, nibira aende na watoto kuliko mtu ambae anahis atamsumbua mbeleni
Baada ya luiz mwingine nahis atakuwa zapacosta na danny drinkwater o bakayoko

Chelsea ya msim huu watu hawatoamini tukiwa ndani ya top 4 msim unaisha
Mgogoro wa Luiz na Lampard ulianzia hapa:
Luiz was worried at having been left out the starting line-up against Borussia Monchengladbach
 
Lampard’s handling of the situation also makes it clear that he will not accept any challenges to his authority, despite his relative lack of managerial experience.
 
Conte alikuwa sawa kwa Luiz
Pamoja na kuwa beki mzuri mwenye makossa ya kizembe zembe, Luiz ana hasira na anawapa makocha wakati mgumu kumsahihisha. Asahihishiki huyu. Ile mechi ya Roma UCL mwaka juzi ambako Chelsea ilifungwa kwa sababu ya uzembe wa Luiz na akiambiwa hata bila ugomvi yeyey anaona anaonewa.
Ile mechi na Borussia Monchengladbach Luiz kahisi anawekwa benchi akaanza za kuanza, Lampard alivyoona anaweza kuwaambuukiza sumu wenzake akamuacha na sasa anahisi msimu mzima atakula benchi mbele ya Zouma na Tomori na Christiansen anaamua kutimua mbio. Tulitegemea huyu atakuwa ni mmojawapo wa Nahodha na Legend lakini hafai
Kule PSG alivyohisi kuwa atakula benchi sana akatimka hivi hivi na sasa anataka kumrudia mtu ambaye aliyemuogopa kule PSG, Unai mery
 
Hata kama mkuu.. Angesaidia mno kwa kipindi hiki. Kwa hiyo defenders tutakaobaki nso ni Zouma, Rudiger christensen nadhani na Tomori. Ukiangalia hapo ni Luiz pekee ndio mwenye experience na mashindano makubwa. Tuongee ukweli Chistensen au Tomori wanatakiwa wasimame na mtu kama Luiz.

Ila kwakua kaamua na inainyesha Lampard mwenyewe hamtaki wacha tuwapige Arsenal.
Ata matic aliondoka kipind kama ichi lakini bado tumesimama imara apo kati. mwakani tutaanza kusajili baada ya January ..ivyo mtu kama Luiz hana cha kupoteza tena ni bora akatafute maisha mengine Arsenal, tunamtakia kila la kheri
 
Ila Zouma kwenye mbio hua ni mzito kiasi ; ni wakati muafaka wa timu kuhakikisha viungo wanakua wepesi na wenye maamuzi ya haraka ili mabeki wasipate shidapindi viungo wanapokonywa mipira ya ghafla.
 
  • Kitu kimoja kizuri kwa Lampard, ambayo mimi naipenda
  • Ana uwezo wa kuchukua maamuzi magumu
Washabiki wa mpira mnaongozwa na hisia sana..... Lampard ni unproven coach kwenye World class football, naona mna-overrate sana uwezo wake. Trust me kwa depth ndogo ya kikosi chenu kufikia December mtakuwa mmeanza kelele za "Frank out".

Namuonea huruma sana, kaenda kuua career yake kabla hata haijaanza!!
 
Aroon na Arsenal yake hawajitambui kabisa, mchezaji wa miaka 32 na ameanza kuonyesha dalili za kuwa mzito na mzigo eti wao ndio wanashangilia kumsajili.

Ngoja niwaambie, Chelsea walimsajili na kumpa mkataba wa miaka miwili ili asiondoke bure, angalau mil 20 itatosha kuongeza balance badala angeenda bure kama Carhill

Kagoma tumemchukua kwa £8m biashara nzuri kabisa hii lembu

Arsenal have reached an £8m agreement with Chelsea for David Luiz, according to @bbcsport_david https://t.co/ddYLuRDEbV
 
Mimi ni fan mkubwa sana wa Luiz na pamoja na mapunguvu aliyonayo hasa ya kuwa mzito na kuwa uchochoro kwenye magoli mengi Chelsea walifungwa, bado Luiz alisaidia sana kuifanya defense iwe imara na pia ni defender mchezeshaji tofauti na hao wanaobaki, labda Andreasen ndie mwenye kuchezesha kama Luiz. Ila kama hayuko tayari kuwapa dogo kama akina Zouma nafasi, mimi naona sawa tu aondoke. Legend mzuri ni yule aliye na utayari wa kupokeza kijiti kwa wanaomfuata kama akina Zouma
Hapa umeongea ukweli sasa ,ila usimponde kwakuwa anaondoka

Huyu sisi ni bora kuliko mustafi

Akiweka chemistry nzuri na holding au sokratis atatusaidia maana ni short term tu ,tutarud sokon kumleta DAYOT UPEMACANO.
 
Kuna habari nimeweka hapo chini kutoka kwa mchambuzi anayemjua vizuri Luiz akianika mapunguvu yake. Hasa ni ile anayosema
Luiz anafunikwa huku na midfield wazuri kama akina Ngolo Kante, akienda Arsenal yenye midfield wabovu Luiz atakuwa risk kubwa kwa Unai na Arsenal yenyewe. Sasa watu wasiomjua Luiz vizuri kama akina Aroon wao wanashangilia

Martin Keown anasema

".... He would not get the same protection that he enjoys at Chelsea, where N’Golo Kante patrols in front of the back line. ‘In possession, Luiz is a wonderful passer, but he makes mistakes when playing as part of a back four. ‘He has a tendency to lose his marker and is one of those all-or-nothing players — if he doesn’t win the ball in a challenge, then congratulations because you’re in.’"
Hayo ni mawazo ya keowon , hivi alitaka tubak na mustafi? Hajui kuwa luiz ni upgrade ya mustafi?

Hawa malegend sio wakuwasikiliza kila kitu

LUIZ kaletwa arsenal kwa muda mfupi tu, asaidie , soon Arsenal inarud sokon kumalizana na Dayot upemacano, inasubiria dau lake lishuke had £60m
 
Washabiki wa mpira mnaongozwa na hisia sana..... Lampard ni unproven coach kwenye World class football, naona mna-overrate sana uwezo wake. Trust me kwa depth ndogo ya kikosi chenu kufikia December mtakuwa mmeanza kelele za "Frank out".

Namuonea huruma sana, kaenda kuua career yake kabla hata haijaanza!!
Career ya ukocha haifi kwa kufukuzwa, kazi ya ukocha ni kuajiriwa na kufukuzwa. Ingekuwa hivyo Career ya MOU ingekufaga siku nyingi. Kwanza yeye kuja Chelsea kashajenga jina na hataenda tena kufundisha championship hata kama ikitokea akafukuzwa atabaki kwenye ligi kubwa tu
 
Hata kama mkuu.. Angesaidia mno kwa kipindi hiki. Kwa hiyo defenders tutakaobaki nso ni Zouma, Rudiger christensen nadhani na Tomori. Ukiangalia hapo ni Luiz pekee ndio mwenye experience na mashindano makubwa. Tuongee ukweli Chistensen au Tomori wanatakiwa wasimame na mtu kama Luiz.

Ila kwakua kaamua na inainyesha Lampard mwenyewe hamtaki wacha tuwapige Arsenal.
Kuna muda unaongea kimpira kuna muda unapitiwa ,

Luiz tunajua marking sio mzuri tena anazidiwa na mustafi , ila hana errors za kijinga ,

Sis tunamchukua kwa £8m , bei nzuri kabisa , atasaidia experience , ni mzuri kuanzisha mashambulizi ,

Kwahiyo wanaomponda luiz nawashangaa , Rudiger katoka injury juz tu,

Andres sio mzoefu, Hapo CB mliyebak naye ambaye ni top kabisa ni Rudiger
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom