Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Staiker Abraham kinana na jirud mnatarajia kabisa mpate 10+ goals in a season kwa hao watu?
Vipigo humu havitakauka ,
Vipigo humu havitakauka ,
Pepe kapewa mshahara kiasi gani?Vipigo havitakauka humu
Pepeeee oohoooo lacazeteeee ohooo aubaaa
Nani kutoboa?View attachment 1170774
Mzee baba mbona unaiponda Sana Chelsea? Kwanini usisubili msimu uanze kwanza ndo uihoji mpira ungekuwa wa maneno Kama yako man united ingekuwa inachukua kombe kila msimu.Yani katika Front 3 nyepesi zaidi hapo ni hiyo ya Chelsea.
Hapana mchezaji hata mmoja hapo anayeweza kufikisha goli 15+ per season.
Angalau magoli 17 ya Hazard yaliwapa nafasi ya 4 msimu uliopita.
Atakuwa hajui mpîra huyu na nafasi ya 3 Alikuwa naniYani katika Front 3 nyepesi zaidi hapo ni hiyo ya Chelsea.
Hapana mchezaji hata mmoja hapo anayeweza kufikisha goli 15+ per season.
Angalau magoli 17 ya Hazard yaliwapa nafasi ya 4 msimu uliopita.
Atakuwa hajui mpîra huyu na nafasi ya 3 Alikuwa nani
160kPepe kapewa mshahara kiasi gani?
Kovacic sio garasaVile vitoto haviendi kufanya chochote timu ya wakubwa. Yan usajili mnaoufanya haujafikia hata tuliofanya sisi.
Kovacic ni garasa? The world is difficult for the blind.
Unachosema ni kweli kabisa. Ila unapokosea ni kutabiri kuwa jumla yao wote watafunga si chini ya magoli kadhaa.Yani katika Front 3 nyepesi zaidi hapo ni hiyo ya Chelsea.
Hapana mchezaji hata mmoja hapo anayeweza kufikisha goli 15+ per season.
Angalau magoli 17 ya Hazard yaliwapa nafasi ya 4 msimu uliopita.
Hivi ni misimu miwili ama madirisha mawili ya usajiliChelsea sioni sababu ya kutokufanya vizuri eti kwa sababu imefungiwa usajili misimu miwili sehemu muhimu pekee ya kufanyia marekebisho ni upande back line kwa sababu katika match za maandalizi ya msimu chelswa imeruhusu sana magoal karibia match zote ilizo cheza imeruhusu magoal hiyo inaonyesha weakness ya back
Back line unaisingizia pale golini kuna pazia , hutaki kuamini msimu huu utakuja kunishukuru kwa kukufungua machoChelsea sioni sababu ya kutokufanya vizuri eti kwa sababu imefungiwa usajili misimu miwili sehemu muhimu pekee ya kufanyia marekebisho ni upande back line kwa sababu katika match za maandalizi ya msimu chelswa imeruhusu sana magoal karibia match zote ilizo cheza imeruhusu magoal hiyo inaonyesha weakness ya back
Msimu huu tutajionea mengiView attachment 1171496
Kwakikos chako hicho , tutaona mengi ....Aroon nanifurahisha sana kuliko woote, kafufuka baada ya pepe, hajui Wenga Sydrome itaendelea kuwala mpaka wapandishe makenji. Utapotea sana ndugu ngoja mtanange uanze