Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Na mimi nilitaka nililete hili huku, hivi Chelsea waliisha muuza Nathan, pesa tamu eh!
Yeah keshauzwa ila katika mkataba tuna buy back clause. So kama watamuuza sasa ivi watapata faida ila sisi tukimuhitaji tutampata kwa £40M.
 
Hili goal la Pedero linaweza kuwa best preseason goal..
Screenshot_20190806-200821.jpeg
 
Juzi umecheza na city na kwa kiwango chako chote umeshindwa kushinda wakati city alicheza chini ya kiwango. Au mulitaka mukacheze Anfield labda mungeshinda

Na pia amesahau kuwa Gardiola alichezesha watoto. Klop kachezesha senior team
 
Hahahahahahahahah Na ninawasubiri Tar 14 kwenye Super cup niwanyooshe vizuri na lile pazia lao la kusagia unga mashineni KEPA ukipiga tu imooo

Mngeanza na Gardiona kwanza aliyewazarau na kuwachezeshea kikosi cha pili. Ninyi mkikomaaa na senior Players . Na bado anachukua kombe kwenu pamaoja na senior players zenu
 
Mngeanza na Gardiona kwanza aliyewazarau na kuwachezeshea kikosi cha pili. Ninyi mkikomaaa na senior Players . Na bado anachukua kombe kwenu pamaoja na senior players zenu
Sane
Sterling
D.Silva
B.Silva
G.Jesus
Walker
De Buyne
Gundogan
Stones
kwa akili zako ndogo hao ni wachezaji wa kikosi cha pili
 
Dalili mbaya kwa chelsea hii

Manchester utd

Odd 1.5

Chelsea

Odd 4.05

Wataalamu wanakwambia Chelsea msimu huu ndan ya mech 10 kama atakuwepo ndan ya top 6 bas atabeba EPL
Duu hii sasa dhihaka jaman
 
Wanunuzi kesho nadhani ndio mlango wa soko unafungwa rasmi, tukutane Januari kwa manunuzi madogomadogo
 
Breaking | L'Équipe report that Chelsea defender David Luiz is seeking to force a move to Arsenal. More follows.

David Luiz's agent........

Kia Jorrabchian.(Arsenal fan lia lia)

Kwa bajeti ya £45m tunaweza tununua Chelsea nzima
 
LUIZ ENDELEA KUGOMA UJE KLABU NZURI

Arsenal, whose coach Unai Emery worked with Luiz at Paris Saint-Germain, has made it clear he wants to go. David Luiz has sensationally tried to force a move to Arsenal by refusing to train with Chelsea. [@Matt_Law_DT]
 
Luiz kaona kipa kepa, forward jirud ,hataki lawama


David Luiz told Chelsea he wanted to join Arsenal earlier today. He shares the same agent as Technical Director Edu. The defender did not train. #AFC #Arsenal https://t.co/BItzZDDorT
 
MTU KAMA HAWATAKI MRUHUSUNI

Looking from reports that Frank Lampard will willing to let David Luiz join Arsenal
 
NARUDIA TENA CHELSEA MUACHENI JAMAA AENDE KWA KLABU ANAYOIPENDA

BREAKING: Chelsea defender David Luiz wants a move to Arsenal before the transfer deadline and trained away from the rest of the squad today
Screenshot_2019-08-07-18-55-15.jpeg
 
Saliba chooses us over Spurs

We reject Coutinho who got thrown at us

Poch rings Coutinho, he rejects them

David Luiz forcing a move to a UEL club even when we don’t want him and Chelsea beat us for CL

Were the biggest club in London, don’t let anyone say otherwise
 
Saliba chooses us over Spurs

We reject Coutinho who got thrown at us

Poch rings Coutinho, he rejects them

David Luiz forcing a move to a UEL club even when we don’t want him and Chelsea beat us for CL

Were the biggest club in London, don’t let anyone say otherwise
Absolutely
 
£20m ITAWATOSHA CHELSEA KWA LUIZ?

It is understood that Luiz has requested to leave Stamford Bridge after Arsenal have rekindled their interest in signing him. #CFC likely to ask for around £20m [Guardian]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom