Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwakikos chako hicho , tutaona mengi ....

Yaan kuondoka hazard ndio mmepotea hivo, mmekuwa average team ,nakupa mech 10 tu , kama utakuwa ndan ya top 6 ,bas EPL mnachukua , amin hivo ,
Uwezi kulinganisha Chelsea na kikundi chenu cha kihuni
 
Hizi ndizo namba rasmi kwa msimu ujao

1 Kepa Arrizabalaga
2 Antonio Rudiger
3 Marcos Alonso
4 Andreas Christensen
5 Jorginho
6 Danny Drinkwater
7 N’Golo Kante
8 Ross Barkley
9 Tammy Abraham
10 Willian
11 Pedro
12 Ruben Loftus-Cheek
13 Willy Caballero
14 Tiemoue Bakayoko
15 Kurt Zouma
16 Kenedy
17 Mateo Kovacic
18 Olivier Giroud
19 Mason Mount
20 Callum Hudson-Odoi
21 Davide Zappacosta
22 Christian Pulisic
23 Michy Batshuayi
24 Reece James
28 Cesar Azpilicueta
29 Fikayo Tomori
30 David Luiz
31 Jamie Cumming
33 Emerson
 
Aroon ananifurahisha sana kuliko woote, kafufuka baada ya pepe, hajui Wenga Sydrome itaendelea kuwala mpaka wapandishe makenji. Utapotea sana ndugu ngoja mtanange uanze
Uyo Dogo ana matatizo lukuki, stress za maisha zinamchanganya ..mkaushie tu mkuu
 
Huyo mwenye namba 9 ajiandae maana hiyo jersey wengi inawaharibia
 
You speak as you are Manchester City fan, it's better to look ahead at your team rather than being here and complain about the Chelsea team.
Man city haiwezi kuwa na fan boy wa aina iyo mkuu, uyo maisha yamempiga ivyo msamehe Bure tu..
 
Hizi ndizo namba rasmi kwa msimu ujao

1 Kepa Arrizabalaga
2 Antonio Rudiger
3 Marcos Alonso
4 Andreas Christensen
5 Jorginho
6 Danny Drinkwater
7 N’Golo Kante
8 Ross Barkley
9 Tammy Abraham
10 Willian
11 Pedro
12 Ruben Loftus-Cheek
13 Willy Caballero
14 Tiemoue Bakayoko
15 Kurt Zouma
16 Kenedy
17 Mateo Kovacic
18 Olivier Giroud
19 Mason Mount
20 Callum Hudson-Odoi
21 Davide Zappacosta
22 Christian Pulisic
23 Michy Batshuayi
24 Reece James
28 Cesar Azpilicueta
29 Fikayo Tomori
30 David Luiz
31 Jamie Cumming
33 Emerson
Nawapeni hongera za dhati kama mmepangilia hivi
 
Nawakumbusha ndugu zangu, mechi ya kwanza mnacheza na MUFC, na siwafichi tuna hasira mno!
Iyo Manure hahaha katika timu ambazo sina wasi wasi nazo basi ni iyo. Ole!!! hahaha angekuwa Mourihno ningewaza, kivumbi kitatimka apo OT..
 
Hizi ndizo namba rasmi kwa msimu ujao

1 Kepa Arrizabalaga
2 Antonio Rudiger
3 Marcos Alonso
4 Andreas Christensen
5 Jorginho
6 Danny Drinkwater
7 N’Golo Kante
8 Ross Barkley
9 Tammy Abraham
10 Willian
11 Pedro
12 Ruben Loftus-Cheek
13 Willy Caballero
14 Tiemoue Bakayoko
15 Kurt Zouma
16 Kenedy
17 Mateo Kovacic
18 Olivier Giroud
19 Mason Mount
20 Callum Hudson-Odoi
21 Davide Zappacosta
22 Christian Pulisic
23 Michy Batshuayi
24 Reece James
28 Cesar Azpilicueta
29 Fikayo Tomori
30 David Luiz
31 Jamie Cumming
33 Emerson
Mdogo mdogo tutajenga timu moja yenye uzito wa khali ya juu. Hizi mbanga nyingine zitabaki macho jujuu ..Chelsea ndo sisi huwa hatujui kushindwa ndo nini.!

#letsProvethemWrong.
 
Arsenal wako serious na Carhill! Wanamtaka kwa udi na uvumba
Acha kudanganywa na habari za udaku, Ndio hao hao waliwaambien arsenal ina bajeti 45 m,

Target za arsenal ktk CB NI UMTITI , na Camara , Rugani

Bodi imemkataa khedira ,na Alves ,ndio ihusishwe na Huyo jamaa , si bora tubak na mustafi.
 
Nawakumbusha ndugu zangu, mechi ya kwanza mnacheza na MUFC, na siwafichi tuna hasira mno!
Hahaa.. Sasa mmeanza kuja walau kusalimu. Jeuri inaanza upya kama Arsenal. Walipotea sasa ivi naona wanaanza kuharisha humu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom