lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Kepa kanyanyua kwapa mbele ya Leno na AssAnal nzima, hulioni ilo?? hahaha Viva Kepa ataendelea kunyanyua makwapa ndani ya misimu kadhaa. Ninyi sijui mnategemea nini anii
Akijibu hapo nijulishe
Kepa kanyanyua kwapa mbele ya Leno na AssAnal nzima, hulioni ilo?? hahaha Viva Kepa ataendelea kunyanyua makwapa ndani ya misimu kadhaa. Ninyi sijui mnategemea nini anii
Kwakikos chako hicho , tutaona mengi ....
Yaan kuondoka hazard ndio mmepotea hivo, mmekuwa average team ,nakupa mech 10 tu , kama utakuwa ndan ya top 6 ,bas EPL mnachukua , amin hivo ,
Kwa Aston villa hii, leiceater ,westaham , wolves , hawa jamaa sio wakiwaacha salamaWamekimbia
Jifariji na kikosi chako hiki cha Abraham kinana na jirudHata Chelsea ikiwa mbovu itachukua angalau kakombe, wewe na arsenal imara mtaishia na 6 kama owen alivyoona
Huyo hazard aliyekuwa anawavusha boda , kasepa ,Hata Chelsea ikiwa mbovu itachukua angalau kakombe, wewe na arsenal imara mtaishia na 6 kama owen alivyoona
PenaltyKwa kweli inabidi namna ifanyike FA waangalie hiliYaani inabid msimu huu wawe wanawapa penati tu kwa forward hii
Tammy Abraham
Penalty
Ww una akili sanaKuna mtu atabaki kusema Luiz ndo tatizo la defence ya Chelsea? Watu wanapenda kufuata sana mkumbo ila hawajui kuwa Luiz na Rudiger ndo wanaibeba backline ya Chelsea. Ukibisha chukua mfano Wa msimu uliopita au ule Chelsea ilipobeba kombe la EPL na Conte
Kwao hakukaliki na wamekosa matumaini wameona bora wahamie nyumba ya jilani ili waondoe stress zao.Admin, hili jukwaa lina spam nyingi sana
Spam wa kwanza hamis77
Spam wa pili ni Aroon
Wameacha nyumba za huko zinaungua wamekuja huku kuleta longolongo
Mane Salah na Auba walimfunga Kepa magoli Mangapi ? Ni vitu Vya ajabu wachezaji ambao hawakuweza kumfunga goli kipa magoli matatu kila mmoja katika mechi mbili kugawana kiatu ,nahisi ni mtazamo usio na factMwenye Kumbukumbu nzuri anipigie hesabu Kepa Anazubaaga ameshadunguliwa mangapi katika hii Preseason?
Hakiyanani Salah, Mane na Auba marahii watagawana tena kiatu kupitia huyu Kepa.
CC: AROON