Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mwenye Kumbukumbu nzuri anipigie hesabu Kepa Anazubaaga ameshadunguliwa mangapi katika hii Preseason?

Hakiyanani Salah, Mane na Auba marahii watagawana tena kiatu kupitia huyu Kepa.

CC: AROON
kwani msimu ulio isha kepa hakuwepo au hakudaka?
 
Mickey Mouse Cup wameikosa tena pamoja
Manchester United FC akiwaacha salama Hakiyanani naapa munabeba EPL na CL halafu sisi next season tutacheza Championship
Mickey Mouse Cup mmeikosa tena!
Tumia muda mwingi kule kwenu kujadili kwamba hizo Mickey Mouse cup ni kweli hamzitaki au ni Sizitaki Mbichi hizi? Na kama kandoo mnashindwa je Lindoo mtaweza?
 
Acha kudanganywa na habari za udaku, Ndio hao hao waliwaambien arsenal ina bajeti 45 m,

Target za arsenal ktk CB NI UMTITI , na Camara , Rugani

Bodi imemkataa khedira ,na Alves ,ndio ihusishwe na Huyo jamaa , si bora tubak na mustafi.
Pesa mnazo au maneno tu, Pepe kapanguza pochi yote sasa Arsenal mmebaki kuomba omba mkopo tu! halafu unakuja kusema target yenu ni UMTITI , na Camara , Rugani. Hao mlikuwa mnawataka kwa mkopo mkakataliwa, be honesty. Carhill huyo wa bure ndio size yenu na msipoziba ufa wa beki yenu mtavuna magoli zaidi ya 50 msimu ujao

Murphy believes Arsenal are most at risk of dropping out of the top six, adding: ‘Arsenal look most vulnerable'.
1. Liverpool
2. Manchester City
3. Tottenham
4. Manchester United
5. Chelsea
6. Arsenal

Namuunga mkono Murphy kwa suala la Arsenal
-You are very vulnerable at defensive phase
 
Murphy prediction on top 6 positioning in 2019/20 season
1. Liverpool
2. Manchester City
3. Tottenham
4. Manchester United
5. Chelsea
6. Arsenal

Maoni yangu
Mimi napingana na prediction yake kwenye position ya Spurs
Spurs hatamaliza top 4 mwaka unaokuja
Spurs watashare na Arsenal no 5 na 6
Arsenal watacheza Ueropa mpaka walichukuwe, wasipolichukua hakuna kuja UCL, hiyo ni BAN
 
Spurs wameanza lomolomo eti Audi Cup moja ya makombe bora duniani
Hii hiki kikombe ligi yake inaendeshwaje mpaka mtu aseme ni kombe bora au kwao Spurs
 
Pesa mnazo au maneno tu, Pepe kapanguza pochi yote sasa Arsenal mmebaki kuomba omba mkopo tu! halafu unakuja kusema target yenu ni UMTITI , na Camara , Rugani. Hao mlikuwa mnawataka kwa mkopo mkakataliwa, be honesty. Carhill huyo wa bure ndio size yenu na msipoziba ufa wa beki yenu mtavuna magoli zaidi ya 50 msimu ujao

Murphy believes Arsenal are most at risk of dropping out of the top six, adding: ‘Arsenal look most vulnerable'.
1. Liverpool
2. Manchester City
3. Tottenham
4. Manchester United
5. Chelsea
6. Arsenal

Namuunga mkono Murphy kwa suala la Arsenal
-You are very vulnerable at defensive phase
Endelea kupiga ramli, mpira hauchezwi mdomon, tukutane EPL imeanza,
 
Endelea kupiga ramli, mpira hauchezwi mdomon, tukutane EPL imeanza,
Arsenal pamoja na Washabiki wake hawako serious wao kila kitu masikhara tu ,naona unaendeleza utamaduni wenu wa masikhara ,ikitokea tukatolewa uefa makundi tunakuja Europa kukunyoosha unakaaa kimnya na ki ndoo tunakibeba tena
 
BT Sport kwa kutumia script yao advanced ya kupredict matokeo na position ya timu za EPL mwishoni mwa msimu wamekuja na prediction hii kwa ligi nzima

BT-Script-of-the-Season-full-Premier-League-table.jpg

Kwa kumuondoa Banitez, Newcastle itakula kwao
 
Murphy prediction on top 6 positioning in 2019/20 season
1. Liverpool
2. Manchester City
3. Tottenham
4. Manchester United
5. Chelsea
6. Arsenal

Maoni yangu
Mimi napingana na prediction yake kwenye position ya Spurs
Spurs hatamaliza top 4 mwaka unaokuja
Spurs watashare na Arsenal no 5 na 6
Arsenal watacheza Ueropa mpaka walichukuwe, wasipolichukua hakuna kuja UCL, hiyo ni BAN
Utabiri wako kama wangu Copyright kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom