
Champions league golden glove
Copa America golden glove
English premier league golden glove
Man of the match vs Fulham




Mnyuuuhh!... Ujielewi nyau weweYou just talk shits nigga...silence would a good option for u....underdog..
Game za mwanzo tu ndio itakua hivyo. Kina Puli wakishika moto atarudi benchi lazima.Nachojua Willian atakuwa regular starter

William huyu aliye flop mwenye miaka 30+ ambaye akijitahid anafunga goli 5 kwa msimu?Game za mwanzo tu ndio itakua hivyo. Kina Puli wakishika moto atarudi benchi lazima.
Nani kakudanganya? Hivi willian akijitahidi kwa msimu anafunga goli ngapi?yaani mkimtegemea huyo jamaa aisee may mnaenda championshipNachojua Willian atakuwa regular starter
Nao Wai wampe team steven GeraldTatizo lenu mashabiki wa Liverpool mmeshakua makocha wa Chelsea, embu tuacheni na timu yetu, furaha yetu ni kuona Super Frankie anainoa Chelsea
Huyo puli mmepigwa mchana kweupe ,eti atashika moto..hahahhaahaaaaaaaGame za mwanzo tu ndio itakua hivyo. Kina Puli wakishika moto atarudi benchi lazima.
Kwakifupi tangia aanze kuishabikia Liverpool hajawai kushuhudia ikibeba epl.Pia mwambie katika miaka 10 mpaka mwaka huu Chelsea ndio timu imeongoza kwa kushinda makombe mengi kuliko timu yoyote ya epl yeye mwache abaki na record zake za history ambazo sizani km alishudiaga kwa macho yake Mara mwisho Liverpool ikibeba kombe la epl?