Hii ni orodha fupi ya save percentage msimu huu premier league:
1)Alisson Becker - 76.19%
2)Hugo Lloris - 73.64%
3)Bernd Leno- 72.81%
4)David De Gea- 71.84%
5)Ederson Moraes - 69.57%
6)Kepa Arizaaga- 66.67%
Anatokea mtu mzima na minywele yake ya kifuani anakuambia tusimlaumu kepa kwenye ile game ya juzi dhidi ya Salziburg kua alifanya saves nyingi za hatari.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mpira ukiujua bwana haukusumbui
#TumepigwaTumepigwaTumepigwa [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1170178