Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Michael Owen kaanza unabii wake kwa top 6 huu hapa
Position kwenye ligi ijayo
1) Man City
2) Liverpool
3) Tottenham Hotspurs
4) Chelsea
5) Manchester United
6) Arsenal
Source. www.football.london
 
Madogo wawili wamechukuliwa

Sio kama nyie ambao mkisajili huwa mnaambulia magarasa
Vile vitoto haviendi kufanya chochote timu ya wakubwa. Yan usajili mnaoufanya haujafikia hata tuliofanya sisi.

Kovacic ni garasa? The world is difficult for the blind.
 
Goal : Claude Makelele is back at Chelsea tomorrow as Young Player and Technical Mentor. Similar role to Petr Cech but working with loan and youth talents. Will also work in ambassador duties.
IMG_20190802_231548_243.jpeg
 
Ngolo Kante kasafiri na timu kuelekea mchezo wa mwisho wa pre season thidi ya wajerumani Borrusia Monchengladbuch.

Sijui yuko fit kiasi gani.
 
Mwanaume unaona raha kufurahishwa na mwanaume mwenzako.

Huu mjadala tushaufunga kitambo kwamba best goolie in EPL Allison, Kepa na Ederson kulingana na statistics. Nimekufurahisha kwenye fainali bdo kuna watu wanataka kufurahishwa zaidi. Teh
Jamaa kavimba amefurahishwa na mjamaa mwingine
 
WANACHEI-SHE TUSIJIFICHE KWENYE KIVULI CHA DE GEA

Jina : Dean Henderson
Nafasi : golikipa
Klabu : Sheffield United kwa mkopo kutoka Man Utd
Umri : miaka 22
Ligi aliyopo : Championship
Clean sheets kwenye ligi : 20
Ada ya uhamisho : €2.5 millions
-
-
Jina : Kepa Anazubaaga
Nafasi : Msimama golini
Klabu : Chelsea fc
Umri : miaka 24
Ligi aliyopo : Premier league
Clean sheets kwenye ligi : 13
Ada ya uhamisho : €80 millions

Kwa kuangalia hizo takwimu hapo tumelambwa na kwa harakaharaka kwenye hiyo euro million 80 tuliyonunua pazia letu tungepata akina Dean Henderson 40 View attachment 1170176
Kepa kanyanyua kwapa mbele ya Leno na AssAnal nzima, hulioni ilo?? hahaha Viva Kepa ataendelea kunyanyua makwapa ndani ya misimu kadhaa. Ninyi sijui mnategemea nini anii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom