Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sio maneno yangu ni maneno ya Rene Higuita golikipa pekee wa Colombia aliefanya ile best Scorpion kick save..
Anasema...

"The most expensive goalkeeper that Real Madrid can't buy, Arsenal don't see him, Liverpool don't even know if he exist and that's who chelsea go and robbed much more money on"

-
Kwa haraka haraka tu kepa ameruhusu magoli 95% ya zile air balls(mipira ya juu) zaidi hata ya degea tunaemuita m'bovu msimu uliopita..View attachment 1165854
Hahhaaaaaaaaaaa kepa bhana ,niliwaeleza humu wanabisha bora Higuita kasema
 
William huyu aliye flop mwenye miaka 30+ ambaye akijitahid anafunga goli 5 kwa msimu?

Hakika nafasi ya 10 ni mali yenu msimu huu
Tafadhali ukini quote jitahidi uwe umejiandaa kwa kuleta jambo la maana tukajadili. Huu upuuzi unao copy huko na kupaste huku hauleti maana yoyote.
Huyo puli mmepigwa mchana kweupe ,eti atashika moto..hahahhaahaaaaaaa

Preseason hata goli au assist anazo kweli?
 
Hahhaaaaaaaaaaa kepa bhana ,niliwaeleza humu wanabisha bora Higuita kasema
Umerudi ngonjera za kuchukua Europa zilikwisha ?Team yako katika mechi tatu za msimu wa 2018/2019 mmemfunga kepa jumla ya goli ngapi? Mshabiki wa Arsenal hayuko serious na mambo yake pia team yake ya hovyohovyo.Ntarudi kujibu EPL ikianza hii pre season reply
 
Mason mount ni mzuri ila atapata shida kuwa na namba mbele ya Loftus Cheek na Barkley. Pia Pulisic atapaswa kucheza namba kumi ili Willian na Odoi wabaki kuwa wingers. Japo nahisi mfumo wa 4 2 3 1 utatumika sanjari na 4 4 2 au 4 1 3 2 ili kuacommodate namba kubwa ya quality midfielders tulionao.
Na hapo ndipo Lampard ni bora kuliko Sarri wa kung'ang'ania mfumo mmoja tu
 
Najaribu kuwaza hiyo midfield msimu huu itakuaje. Naona viungo wamewasha moto kweli.

Kante
Jorginho
Kovacic
Barkley
Ruben Loftus Cheek
Mount

Yan hapo itakua anayetoka moto anayeingia fire. Jorginho akikata umeme Kante anan'goa nguzo. Halafu Kova anafukia visiki yan kufuta ushahidi kama umeme ulikuwepo maeneo hayo.

Wapinzani msimu ujao kazi mnayo.
Watakuwa wana sub, timu bora daima inakuwa na sub bora kama first choice. Natamani ingekuwa hivi wa mabeki na strikers/wingers
 
Kufungwa kwa Chelsea 3 na Reading sio habari njema kwa defensive capacity yetu
Najua uwepo wa Bakayoko na Drink Water tusingetegemea defending quality yeyote japo Drinkwater kucheza vizuri Zaidi ya Bakayoko. Mabeki wanahitaji maombi maalumu ili mentality yao ibadilike. Tunahitaji agresive defenders wote wanne
Pia Cabalero alifanya silly mistake kwenye goli la kwanza kwa kujiposition vibaya na Bakayoko hakufanya jitihada yeyote ya kucover kwenye goli
Nafikiri uwepo wa Kante na Jourgninmho au Kovacic utaimarisha Zaidi defensive quality ya Midfield
 
Kuna shabiki moja kadai goli la pili la Mount angekuwa Morata angekosa
 
Watakuwa wana sub, timu bora daima inakuwa na sub bora kama first choice. Natamani ingekuwa hivi wa mabeki na strikers/wingers
Tatizo letu Chelsea ni kwa beki na forwards. Jana tunaruhusu magoli kizembe mno. Pia forwards hawafungi magoli, kuna kitu Lampard lazima afanye otherwise tukikutana na Man City tunaweza juta tena.
 
The world should watch closely Mason Mount. He is another big thing coming.

Save this comment please. 20 goals per season am predicting.

Hiyo bangi unavutia matakoni wachezaji wa Kiingereza sio wa kuwawekea dhamana utakuja kumkataa mount baada ya mechi mbili tu subiri ligi ianze
 
Hivi mashabiki wa chelsea hamjui mpira au ni makusudi mnawahesabia loftus cheek na hudson odoi kwenye first eleven wakati wana majeruhi ya mda mrefu odoi
Miezi 6 loftus cheek miezi 9 mpaka warudi uwanjani lampard ashafukuzwa
 
Hivi mashabiki wa chelsea hamjui mpira au ni makusudi mnawahesabia loftus cheek na hudson odoi kwenye first eleven wakati wana majeruhi ya mda mrefu odoi
Miezi 6 loftus cheek miezi 9 mpaka warudi uwanjani lampard ashafukuzwa
Hahahaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom