Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Frank Lampard is set to put pen-to-paper on a three-year deal after agreeing personal terms with Stamford Bridge chiefs. The deal is expected to be announced at some point this week.
Chelsea return to pre-season training on Friday and he is expected to be in control of the club by then.
 
Siku moja baada ya dili la Kovacic kukamilishwa, angalia Bakayoko alivyojibu

Hivi mimi peke yangu ndo naamini Chelsea itakuwa competitive msimu ujao 2019/2020?

Yaani nyuma una:
Emerson/Alonso | Luiz/Zuma Zuma/Rudiger | Azipillicueta/James Leece/Zapacosta

Kati una:
RLC/Barkley Kante/Kovacic Joginho

Kwenye attacking una:
CHO/Willian Giroud/Tammy Pedro/Pulisic

Alafu kuna watu wanadhani Chelsea iko level moja na Man U au Arsenal?

We need some few adjustments to lift a trophy this season.
You just talk shits nigga...silence would a good option for u....underdog..
 
You see it as shit because your brain can't comprehend with it. Besides you can't create an argument but to vomit! Grow
There was no need to include other top6 teams in ur comment....u know well that others are just polishing their squads for the coming season and to ur side nothing is going on...You'll be having the same faces for two windows and u are confident speaking such kind of fuqing words...do u know even ur first eleven for the coming season?... All u know is battling with people about ur stupidity.... U could better remain silence maybe some giants may have mercy on you..
 
Man u're talking about giants, even Chelsea is a giant and u are just a rat who piss in ur own pants. Next season you will pray to those giants to have mercy on you.
 
Hahahaaa.. Once a blue always a blue. Nasikia mnamtaka Cahill pia. Yan reject wetu nyie kwenu ndio lulu na hapo tumefungiwa kusajili na nyie hamna kifungo. Nyie hata Europa hamkustahili kushiriki.
Alienda arsenal kuisaidia cheli ibebe kombe mbwa yule..
 
Comment reserved
There was no need to include other top6 teams in ur comment....u know well that others are just polishing their squads for the coming season and to ur side nothing is going on...You'll be having the same faces for two windows and u are confident speaking such kind of fuqing words...do u know even ur first eleven for the coming season?... All u know is battling with people about ur stupidity.... U could better remain silence maybe some giants may have mercy on you..
 
Lampard ni kama analilia wembe tu, mwisho wa siku utamkata au atafanikiwa. Yangu macho maana malegend wa team huwa siwaamini kabisa kufundisha team waliyoipatia mafanikio wakati wakicheza.

Labda yeye ni tofauti, ngoja tuone
 
Kovacic song
IMG_20190703_085206.jpeg
 
Lampard ni kama analilia wembe tu, mwisho wa siku utamkata au atafanikiwa. Yangu macho maana malegend wa team huwa siwaamini kabisa kufundisha team waliyoipatia mafanikio wakati wakicheza.

Labda yeye ni tofauti, ngoja tuone
We have to trust him. Halafu unaposema analilia wembe ni kama vile ye ndio aliomba kumbe yeye ndio kafatwa. Wenye timu wamemuamini nadhani wao ndio wana maono makubwa kuliko sisi.

I believe in Lampard.
 
Hahahaaa.. Once a blue always a blue. Nasikia mnamtaka Cahill pia. Yan reject wetu nyie kwenu ndio lulu na hapo tumefungiwa kusajili na nyie hamna kufungo. Nyie hata Europa hamkustahili kushiriki.
Hata pamoja na kufungiwa kusajili, Chelsea wamefanya usajili mkubwa kuliko Arsenal
 
Utakuta na wao wanajiita washindani EPL
Wanaomtaka Zaha kwa mil 40 kutoka asking price ya mil 100. Arsenal sasa hivi ni level ya akina westham kwa usajili na hata tutegemee hivyo hivyo kwa matokeo. Hii ndio Arsenal na nafikiri huo utakuwa usajili wao mkubwa wa mil 40
 
Kwa Zaha hata hiyo 40 ni kubwa sana. Lakini ngoja walau wasajili matured hata wachache kuliko utani wanaoendelea kufanya.
Wanaomtaka Zaha kwa mil 40 kutoka asking price ya mil 100. Arsenal sasa hivi ni level ya akina westham kwa usajili na hata tutegemee hivyo hivyo kwa matokeo. Hii ndio Arsenal na nafikiri huo utakuwa usajili wao mkubwa wa mil 40
 
Loftus-Cheek Signed a New Contract of 5 years

The new contract is set to net him £150,000 a week, dwarfing his current £60,000-a-week wages
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom