Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Didier Drogba sign for Chelsea 20, July, 2004 kwa €24 m, Arsenal watasema tulipigwa [emoji3][emoji3][emoji3]. Lakini siku alipostaafu ndio walifurahi zaidi, hawawezi kumsahau huyu mtu.
Liverpool kapoteza mchezo wake wa kirafiki km ambavyo hata sisi tulipoteza. Lakini angalia wao walivyokuja kwa kasi kwetu.
Huu ndio unaweza kuwa mfumo atakaotumia Sarri katika msimu ujao na inawezekana hata mechi ya kwanza akapanga kikosi kwa namna hii. 4-2-3-1 au akatumia 4-4-2 mbele anaweka striker wawili.
Batshuayi
Pulisic, Barkley, Willian
Jorginho, Kante
Emerson, Luiz, Zouma, Azpi.
Kepa
SUBs, Giroud, Tammy, Kova, Drinkwater, Mount, Pedro, Tomori, Gilmour, Christensen. Caballero,
Nimeweka kikosi hicho kwa kuzingatia wachezaji waliopo na role zao, pia kwa kuzingatia wachezaji wengine bado majeruhi kama Rudiger, RLC, James na Odoi they are recovering.
Kwani hao Dortmund au Kawasaki wanacheza judo au mpira wa miguu?Sisi tumepoteza kwa Dortmund na si kwa Kawasaki ya kina Shimoda
Rudia kusoma nilicho andika. Nimesema kwa kuzingatia kuna wachezaji ni majeruhi wakipona lazima waje kuongeza nguvu.Pulisic, Batshuay, Willian na Barkley??? Hapo hapana timu hata ya kuingia 6 bora.
Hicho ni kikosi kibovu kuwahi kutokea katika historia ya Chelsea.
Save hii post kwa future reference
Rudia kusoma nilicho andika. Nimesema kwa kuzingatia kuna wachezaji ni majeruhi wakipona lazima waje kuongeza nguvu.
Hivi Pulisic unamchukuliaje? Barkley mfumo wa Sarri tu ndo ulikua unamkataa anafaa acheze nyuma ya mshambuliaji wa kati.
Mkuu naitunza post yako. Ngoja tueanyooshe msimu ujao na usajili hamfanyi nyie. Hiiiiii
Sometimes tunapoteza energy kubishania vitu ambavo havipo, they just exists in an illusion world. Wakija tuwe tunawaacha walonge wakimaliza waondoke. Preasons matches ni mechi za kuwajaribu wachezaji mpaka yale makapikapi ili yakitupwa nje ya timu yasije kulaumu na kuigawa timu, pili wachezaji wengi wanacheza kwa tahadhari kukwepa majeruhi. Matokeo yake ndio hiyo saa nyingine unafungwa na Ndondo FCLiverpool kapoteza mchezo wake wa kirafiki km ambavyo hata sisi tulipoteza. Lakini angalia wao walivyokuja kwa kasi kwetu.
Duuh yan wachezaji wetu unaanza kuwafananisha na wauza sura wa Manure?Pulisic hamna kitu mule ni sawa na Lingard wa Manure tu.
Good move, mwache akapate uzoefu zaidiEthan Ampadu beki wa kati ambaye pia anaweza kucheza kama kiungo mkabaji kutoka academy ya Chelsea kaenda kwa mkopo RB Leipzig.View attachment 1159742
Sawa mbwa mwenzetu[emoji3][emoji3][emoji3]Lampard atashinda michezo 10 tu epl nzima subirini mambwa nyie