First eleven inaweza ikawa
lineup-6-1.png
 
Kashindwa kuipandisha daraja derby ataweza pressure za Chelsea? ,team yetu bado inapaswa kuchukua kombe lolote ili kuendeleza record bora kabisa ya kutotoka kapa
Waacheni bodi ifanye maamuzi, tusijitie wajuaji kuliko bodi ya Chelsea,
 
Tetesi:
Frank Lampard kashapewa mkataba wa miaka miwili hadi 2022 ni yeye tu sasa ausaini au aukatae. Ila sidhani kama atakataa
Chelsea wako tayari kulipa Fidia ya Mil paundi 4 kwa Derby kwa kukatisha mkataba wa Lampard
 
Kuna sehemu nimekuta ujumbe kwamba
"Dressing room ya Chelsea inaweza sasa kuwa na Amani pasipo Hazard"
Ina maana migomo iliyowafukuzisha kazi makocha wengi (hasa kufukuzwa kazi kwa MOU-2016 na Conte-2018 ilitokana na migomo ya dressing room? na Hazard ndie alikuwa kinara!!
 
Hapana Liverpool ni taasisi
Tunacheza kitimu
Barca kala 4-0 bila SALAH wala Firmino
Bayern kashindwa tufunga bila VVD
Anyway mtakuwa tena wa 4 sababu Man U na Arsenal bado ni "utumbo"
Ubingwa mbio ni wale wale,Man City vs Liverpool
Unakariri maisha....naona kumtoa Barcelona imewakaa vinywani hadi leo coz hamwamini.....
Nawakumbusha tu sio kama ligi nyingine hiyo....atakayejipanga zaidi ndo atatusua...usichukulie kigezo cha uefa ndo unaleta vidharau vyako hapa eti 'msimu ujao tunaendelea kudominate ss na city halafu wengne huko' sawa inaweza ikawa hivyo but who knows.... Just relax usubiri msimu ujao....sio kupeleka pua yako kunusa harufu ya kila thread halafu unajisifia ujinga..
 
Claude Makelele is reportedly set to make a return to Chelsea.
Former Chelsea goalkeeper Petr Cech is expected to become the club’s new technical director,
while it is rumored Didier Drogba will join Lampard’s backroom team.
Makelele will work with Chelsea’s loan players.
 
Chelsea have reportedly turned down two bids for Brazil winger Willian
Sky Sports report that Barcelona and Atletico Madrid have both made offers of £35million for the 30-year-old.
But it is said the Blues have rejected both despite the possibility that Willian could leave for free next summer.
GettyImages-1142091546.jpg
 
Back
Top Bottom