lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 16,448
- 21,894
@King NgwabaI beg to differ!
Inaweza kuwa hakuna tofauti kati ya Legacy ya Zidane (Kwa Real) na Legacy ya Lampard (Kwa Chelsea).
Lakini kuna tofauti kubwa sana sana sana sana kwa Real alioipokea Zidane na Chelsea atakayoipokea Lampard.
Kumbuka kuwa Zizzou kaipokea Real ikiwa na Wachezaji kama Ronaldo, Benzema, Bale, Ramos, Marcelo, Casemiro, Modric na Kroose ambao hao wote ni World Class players wenye uwezo wa kukupa matokeo muda wowote ule.
Na msisitizo ni kwa hawa BBC (Bale-Benzema-Cristian) ambao Walitosha kumpa mafanikio Zizzou kiasi ya Kwamba hakutengeza timu Bali alirithi timu iliyokwisha kutengezwa.
Sasa je Lampard atawakuja wachezaji wa Calibre ya aliowakuta Zizzou?
Kwanza nashukuru kwa kukiri kuw legancy zinaweza kufanana respectively na mimi nasema success zinaweza kutofautiana kwa sababu mazingira na aina ya wachezaji wanatofautiana hasa uwepo wa goal machine kama Ronaldo akisaidiwa na Bale na Benzema.
Wewe hapo umefocus mafanikio ya copy and paste ya Zizzou vs Lampard.
Lampard atapata mafanikio Chelsea zaidi ya makocha wengine wanaotajwa tajwa kuichukua Chelsea wakati huu kama akina Enrique, Nuno, Gracia nk wangeipokea Chelsea ya sasa bila Hazard na the likes wa akina Ronaldo and blaa balaa. Wala sikusema atapata mafanikio kama wa Zidane hapo Barnabeu ya kuchukua UCL back to back.
Chelsea tuliyonayo haitegemei kushindania kombe la EPL au UCL, target yetu ni top 4 mpaka BAN ipite. Na kwa maana hiyo bado niko sawa kwa asilimia kubwa kwamba FRANK LAMPARD anaweza kuwainspire hawa wachezaji kufuiklia hiyo goal. Hapo ndipo Context ya mjadala. Infact hata aje kocha hodari kutoka Mbinguni, Chelsea haiwezi kucompete kwenye EPL au UCL au zote mbili combined. Labda FA, Carabao na UCL kusogea hadi top of 16 au quarter final