Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

A disgrace to Sarri
Sarri ni hivyo hivyo, tena Lampard si better than Sarry, Sarri ni Conservative kwenye mbinu na staili ya kucheza japo mfumo wake ni mzuri, angeongeza na mbinu kila mtu angempenda.
 
Mimi naamini Bodi ya Chelsea haitakurupuka kwenye usajili wa kocha. Hata wakimleta Lampard nadhani kuna kitu watakuwa wamekiona ndani yake.

Kuna mbinu za kocha na kipaji cha mchezaji mmoja mmoja naamini Chelsea tunawachezaji wazuri sana wanaoweza kutupa matokeo.

Kuhusu sari mi binafsi nilikuwa sipendi ufundishaji wake kwamba ni kocha anayeamini katika mfumo. Kocha wa namna hii timu ikilemewa inashindwa kubadili matokeo.


Namkumbuka sana conte alikuwa ni kocha wa mbinu sio wa mfumo. Aliamini ili timu ishinde ni mbinu zinahitajika.

Kama Lampard akiwa kocha wa mbinu za ushindi atatupa matokeo. Akija na mifumo yake ya kumchezesha kante ushambuliaji tutamzomea
Rudisha ngolo chini,hamasisha morali,
Tosha
 
Hata kama Lampard atateuliwa manager wa Chelsea halafu akafukuzwa, bado atabaki na ile heshima yake ya Legend na bado atakuwa na ukaribu ule ule na Chelsea na washabiki wake
Kama ilivyo kwa MOU anafukuzwa halafu kesho anarudi muda wowote, hao wameitendea Chelsea mema isiyo kifani
 
Kama nilivyotabiri huko nyuma media wameshaanza kuandika Lampard anakuja, Drogba atakuwa assistant wake
FRANK LAMPARD will be appointed Chelsea boss after a dramatic day at Stamford Bridge, write Neil Ashton and Andrew Dillon.
And he wants club legend Didier Drogba as part of his backroom staff.

Thesun
 
Wale wanaombeza Willian, kuongezewa mkataba wa miaka miwili, Barcelona bado wanamtaka
WILLIAN is on the brink of signing a two-year deal to stay at Chelsea, writes Mike McGrath.
The Brazil forward has agreed fresh terms to keep him at Stamford Bridge despite Barcelona reviving interest this summer.
 
THESE are the five things Frank Lampard must sort out should he return to Chelsea.
  1. Convince Callum Hudson-Odoi to stay
  2. Show everyone he is boss
  3. Give loanees a proper chance
  4. Play Kante in his best position
  5. Kill off Sarri-ball
 
Chelsea bila Hazard?
Mhhh mtayumba sana
Pia Bwana Mafegi anaenda Juve!
 
Chelsea bila Hazard?
Mhhh mtayumba sana
Pia Bwana Mafegi anaenda Juve!
Inaonekana we si mashabiki wa Chelsea au uangaliagi Sana mechi za nyingi.Mchezaji muhimu Sana pale Chelsea Ni ngolo kante hasa anapocheza kwenye nafasi yake Chelsea inakuwa ya utofauti we angalia anapokesekana kante Chelsea inayumba Sana tofauti anapokesekana hazard mfano Kuna kipindi Fulani hazard alidrop Sana na timu ibebwa na willian.chelsea bado inawachezaji wanauwezo wakufanya majukumu km hazard mfano odoi,willian na Jana amekiwasha kwelkwel Brazil ilivyoshinda goal 3 bado pia Kuna pulisic na Pedro me naona bado Chelsea inatimu inatakiwa tu mtu wa kuwaunganisha basi.Ebu angalia kante alivyoondoka leceister ilikuwaje? Tatizo lenu mashabiki mnaangalia eneo la ushambuliaji sana mnasahau maeneo muhimu mfano Leo hi ukimuuliza mshabiki Wal Liverpool yupi mchezaji muhimu atasema salah lkn anashindwa kujua mane anaweza kuziba nafasi ya salah je vp akiondoka VVD je pengo lake linazibika je Kuna mwenye uwezo mkubwa kuziba pengo lake jibu unapata hapana.wachezaji pekee kwenye nafasi ya ushambuliaji mapengo yao hayazibiki wakiondoka Ni Messi na Ronaldo pekee cos wanauwezo wakufunga magoal 30+ Kwenye ligi pekee tu achana na michuano mengine lini umewahi Kuna hazard anafikisha magoali 23 tu msimu mzima ligi ameshindwa kufanya hivo tu lkn mata alifanya hiv alivyocheza Chelsea kasoro tu kipindi alivyokuja Mourinho baada ya kumkalisha bench na mata amekuwa mchezaji Bora wa Chelsea mara mbili mbele ya hazard wakati wote wanacheza pamoja.
 
Deal done

Ila tutamkumbuka huyu mzee
PhotoGridLite_1560691392044.jpeg
 
Claude Makelele naye kajiuuzulu ukocha kule Belgium ili aje kujiunga na Lampard
Yeye na Drogba watakuwa wakimsaidia Lampard kwenye kuinoa Chelsea akipewa kandarasi ya kuifundisha Chelsea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom