Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Japo hana impact kubwa sana uwanjani lakini uwepo wake hasa kwa kipindi hiki ambacho timu itakua na ingizo kubwa la vijana anaweza kuwa funzo kubwa kwa hawa madogo. Wanasemaga kijiji hakikosi wazee, nasisi tunawahitaji watu kama hawa wenye experience na mechi kubwa pamoja na mashindano makubwa.Chelsea have reportedly turned down two bids for Brazil winger Willian
Sky Sports report that Barcelona and Atletico Madrid have both made offers of £35million for the 30-year-old.
But it is said the Blues have rejected both despite the possibility that Willian could leave for free next summer.
![]()
Willian apewe mkataba wa miaka miwili.