Chelsea yetu inegeuka team ya majaribio kumleta legend Lampard na Drogba kuifundisha Chelsea haswa kwenye kipindi kigumu kama hiki cha zuio la kujiimarisha ni kuirudisha team nyuma ,hakuna good achievement yoyote aliyoifanya Lampard kupewa ukocha Chelsea huko alikotoka ,makocha wote hawawezi kuwa zidane yule jamaa ni bigger mind na tofauti sana .Mimi binafsi sikupenda sarri ball ila bora kitu kuliko kukosa kabisa na ndiko tunaelekea ni bora angepewa team Nuno wa wolves ,kwa makusudi kabisa tumeamua kuwaiga man u kurudi nyuma .