Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tofauti na ban ya Real Madrid, Barcelona na Antletico Madrid ni kwamba wao walitumikia kifungo wakati mmoja kati ya 2015 na 2017 hivyo ngoma ni kama ilikuwa draw.
Ila sisi Chelsea tunatumikia kifungo wakati rivals wetu wa top 6 wako huru tena huru kabisa, HAPA ndiko penye shida na balaa
Na ndio maana hapa wanatucheka ile mbaya, Ila wakumbuke tu kuwa Mungu sio King Ngwaba, wala Bardizbah, wala ROBERTO 20. Hata kama hatutachukua EPL lakini msimu ujao ni msimu wa kuidhihirishia Dunia kuwa Chelsea ni timu na wala sio Hazard
 
Liverpool Arsenal na Tottenham ndio team ambazo zimefungwa magoli ya dhahabu na hazard.

Hawatakaa wamsahau, maana mabeki walitaabika mno na bado wakafungwa magoli ya mwaka
 
Shida iko wapi?
Au jambo likafanyika kwenye timu nyengine ni kawaida, Lakini kwenye timu yenu ndiyo gumzo?

Tulipomuuza Coutinho washabiki wa Chelsea walihamia kwenye Uzi wetu wiki mbili na kusema tutashuka daraja! Lakini kuuzwa Hazard na sisi kuhamia imeshakuwa Nongwa.
Nyie hamtupi shida maana tangu Hazard amezaliwa amebeba makombe mengi kuliko Liverpool makombe mliyobeba muda huo.
 
Liverpool Arsenal na Tottenham ndio team ambazo zimefungwa magoli ya dhahabu na hazard.

Hawatakaa wamsahau, maana mabeki walitaabika mno na bado wakafungwa magoli ya mwaka

Ah wapi! Past is like memory.. Kilochopita kitabakia kuwa ni kumbukumbu tu.

Tunakumbuka fika kuwa Zola alitufunga magoli ya kuzalilisha ambayo kwa hayo ya Hazard ni ucheza tu! Lakini nani anamtaja Zola? You know why? Kwasababu imebaki kumbukumbu tu!

Kwahiyo na huyo Hazard utabakia kujifariji kwa kumbukumbu tu.
 
Tofauti na ban ya Real Madrid, Barcelona na Antletico Madrid ni kwamba wao walitumikia kifungo wakati mmoja kati ya 2015 na 2017 hivyo ngoma ni kama ilikuwa draw.
Ila sisi Chelsea tunatumikia kifungo wakati rivals wetu wa top 6 wako huru tena huru kabisa, HAPA ndiko penye shida na balaa
Na ndio maana hapa wanatucheka ile mbaya, Ila wakumbuke tu kuwa Mungu sio King Ngwaba, wala Bardizbah, wala ROBERTO 20. Hata kama hatutachukua EPL lakini msimu ujao ni msimu wa kuidhihirishia Dunia kuwa Chelsea ni timu na wala sio Hazard

Yani mechi inapokuwa ngumu huwa ninamuona Hazard akitumia Jitihada binafsi kutafuta matokeo! Lakini sasahivi ni William, Higuan na Giroud ndiyo watakaotumia jitihada zao binafsi kuwapatia matokeo...

Then jifariji kusema Chelsea ni timu sio Hazard.
 
Nilimpa hazard msimu mmoja tu alipokuja, na sasa nampa Pulisic pia msimu mmoja kunionyesha alichonionyesha hazard
 
Yani mechi inapokuwa ngumu huwa ninamuona Hazard akitumia Jitihada binafsi kutafuta matokeo! Lakini sasahivi ni William, Higuan na Giroud ndiyo watakaotumia jitihada zao binafsi kuwapatia matokeo...

Then jifariji kusema Chelsea ni timu sio Hazard.
Narudia Chelsea team sio MTU na hili utalishuhudia mwenyewe
 
Ah wapi! Past is like memory.. Kilochopita kitabakia kuwa ni kumbukumbu tu.

Tunakumbuka fika kuwa Zola alitufunga magoli ya kuzalilisha ambayo kwa hayo ya Hazard ni ucheza tu! Lakini nani anamtaja Zola? You know why? Kwasababu imebaki kumbukumbu tu!

Kwahiyo na huyo Hazard utabakia kujifariji kwa kumbukumbu tu.
Unapumua baada ya kuondoka, mkikutana na hazard wanaenda mabeki wanne wanne [emoji3] [emoji3] bila hivyo hakawii kuwaburuza wote
 
Ah wapi! Past is like memory.. Kilochopita kitabakia kuwa ni kumbukumbu tu.

Tunakumbuka fika kuwa Zola alitufunga magoli ya kuzalilisha ambayo kwa hayo ya Hazard ni ucheza tu! Lakini nani anamtaja Zola? You know why? Kwasababu imebaki kumbukumbu tu!

Kwahiyo na huyo Hazard utabakia kujifariji kwa kumbukumbu tu.
Ndio maana makombe ya Liverpool waliyotwaa zamani hatuyakumbuki kabisa. Tunataka ya hivi karibuni angalao kuanzia mwaka 2000 ambayo hayazidi matano
 
Ni kweli hayazidi Makombe Matano!
Ni Makombe mawili tu ndiyo tuliyoshinda ambayo ni CL mwaka 2005 na 2019..

Hizo Europa (2001), Super Cup (2001 na 2005), FA (2001 na 2006), Carabao (Carling/League Cup 2001, 2003 na 2012) na Ngao ya Jamii (2001 na 2006) ambazo zote tumeshinda kipindi hicho baada ya 2000 ni Mickey mouse 10 tu ambazo kwetu sio vikombe.
Hivyo vitabaki kuwa Vikombe kwenu tu.

Kwahiyi Kuanzia 2000 mpaka 2019 tumeshinda Trophies 12.

√ Makombe 2 (UCL)
√ Mickey Mouse Cups 10
 
Hata msimu huu hamjafungwa hata moja[emoji1][emoji1][emoji1]
Nashangaa na kucheka shabiki wa arsenal anakuja kuimba taarabu humu Wana point 6 tayr next season.Niwaambie hata ule msimu tuliomaliza nafas ya 7&9 am not sure arsenal hakutufunga game hata 1 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Liverpool Arsenal na Tottenham ndio team ambazo zimefungwa magoli ya dhahabu na hazard.

Hawatakaa wamsahau, maana mabeki walitaabika mno na bado wakafungwa magoli ya mwaka
Hazard ndo alifunga magoli mazuri pekee so timu nyingine walifunga magoli ya kawaida against cheli....unajisahaulisha vyuma moto ulivyowekwa msimu huu....
Usiteseke sana mkuu..... Unashiriki uefa,umetufunga final unahangaika nn.....just calm down and enjoy ur hot coffee...
 
Ni kweli hayazidi Makombe Matano!
Ni Makombe mawili tu ndiyo tuliyoshinda ambayo ni CL mwaka 2005 na 2019..

Hizo Europa (2001), Super Cup (2001 na 2005), FA (2001 na 2006), Carabao (Carling/League Cup 2001, 2003 na 2012) na Ngao ya Jamii (2001 na 2006) ambazo zote tumeshinda kipindi hicho baada ya 2000 ni Mickey mouse 10 tu ambazo kwetu sio vikombe.
Hivyo vitabaki kuwa Vikombe kwenu tu.

Kwahiyi Kuanzia 2000 mpaka 2019 tumeshinda Trophies 12.

√ Makombe 2 (UCL)
√ Mickey Mouse Cups 10
Ongezea hapo hilo champions league ulilotwaa juzi, hiyo ni toka mwaka 2000 sijui hayo unayotaja umeyatoa wapi
globalcfc___ByK4O1zB6p3___.jpg
 
Huu ni uongo mkubwa katika watu waliokuwa wanaongea sana ni nyinyi ,ktk mwanzo wa msimu ulio pita na sariball yenu pamoja na kumrate joginho mpk mkafikia hatua ya kusema EPL mnaichukua nyinyi. Ila baada ya game kama 6 hiv joginho akaflop na kukongoroka kabisaaa

Na je unaweza kusema ni nani au ni mchambuzi gai aliwaexclude nyinyi kwenye top4 mwanzo wa msimu ulioisha???
Mkuu wapo wachambuzi wengi waliotutoa kwenye top kwa uchache ni Edo Kumwembe, Shaffih Dauda na kumbukumbu zangu zinanikumbusha hata Geoff Lea naye alitutoa.
 
Imekuwa ni furaha sana kwa fans wa timu za Liverpool, Arsenal, Man United n.k kwa kuondoka kwa msumbufu aliyewatesa mabeki zao.

Ila hope tutamtengeneza msumbufu mwingine atakayewasumbua.

Good Luck Eden Hazard.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom