Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasahivi ndio kaamua kutaka kuondoka. Lakni mumesahau mulipokua mnamshikia mabango hafai atimuliwe mpaka majuzi tu?
Bado anatakiwa kuufanyia marekebisho mfumo wake wa uchezaji maana watu wanamgundua mapema mbinu zake.

Japo nasikia juve wamegoma kulipa hela waliyotaka chelsea. Bila shaka atabaki darajani
 
Wacha unafiki wewe[emoji23][emoji23][emoji23] Unajua kabisa hatusajili afu unaulizia tetesi..
Nilishawaona ni wanafiki na ndio maana kule kwao wamemegukameguka halafu akasema nitoe ushahidi. Tusubiri na hapa atakuja kusema utoe ushahidi
 
Unaongea kama vile Hazard anaifunga Liverpool kila Msimu wakati ukweli Halisi kaifunga Liverpool msimu huu uliomalizika tu baada ya kukaa Zaidi ya Misimu 3 bila ya kuona Nyavu za Liverpool.

Hazard hakuwa na uwezo wa kuifunga Liverpool kila Msimu Wakati Salah misimu Miwili aliyoichezea Liverpool yote kainyanyasa Chelsea.
Uyo Sarah kaifunga Chelsea magoli miwili tu kwenye iyo misimu yake miwili sawa na Hazard kamanyanyasa Allison mara mbili ndan ya msimu huu ..acha kuleta mihemko apa.
 
Unaongea kama vile Hazard anaifunga Liverpool kila Msimu wakati ukweli Halisi kaifunga Liverpool msimu huu uliomalizika tu baada ya kukaa Zaidi ya Misimu 3 bila ya kuona Nyavu za Liverpool.

Hazard hakuwa na uwezo wa kuifunga Liverpool kila Msimu Wakati Salah misimu Miwili aliyoichezea
Liverpool yote kainyanyasa Chelsea.
Hazard kaifunga Liverpool karibu misimu yote labda ni mmoja au miwili tu kuanzia 2013
  • 26 December 2013 - Chelsea 2 Liverpool 1
  • 11 May 2016 - Chelsea 1- Liverpool 1
  • 16 December 2018 - Chelsea 1- Liverpool 1
  • 20 January 2015 kwenye Karabao Cup - Chelsea 1- Liverpool 1
  • 26 September 2018 kwenye Karabao Cup - Chelsea 2- Liverpool 1
  • 29 September 2018 - Chelsea 1- Liverpool 1
Hazard ana magoli 6 na 2 assists alizozivuna kutoka Liverpool
 
Nilishawaona ni wanafiki na ndio maana kule kwao wamemegukameguka halafu akasema nitoe ushahidi. Tusubiri na hapa atakuja kusema utoe ushahidi
Wamebeba uefa wamekuwa kama wendawazimu wanaropoka ovyo sana. Ci Unajua makombe kwao ni mara moja banda ya miaka kumi
 
Nilishawaona ni wanafiki na ndio maana kule kwao wamemegukameguka halafu akasema nitoe ushahidi. Tusubiri na hapa atakuja kusema utoe ushahidi

Bado naendelea kusema lete ushahidi wa Kuthibitisha hilo unalodai!

Baada ya kushindwa kutoa ushahidi labda nikwambie tu kuwa Kyle kwetu/Kwenye Uzi wetu hakuna hicho kitu kumeguka/kugawika kwa Mashabiki.

Ni Mjinga mmoja tu ndiye aliyejitenga na kujifanya kuwa yeye pekee ndiye mwenye mamlaka na Timu bali wengine hawana haki na timu.

Nadhani unahadaliwa na Neno "SISI LIVERPOOL HALISI"..

Umeshawahi kuwaona hao wenzake ni kina nani?

Kwahiyo umehadaliwa na neno " SISI" ukadhani wapo wengi waliojigawa kumbe ni Mtu mmoja tu kwa sababu ya Matatizo Yake ya kiakili anajiona ni yeye pekee ndiye mshabiki wa Liverpool Tanzania.

Kwahiyo kule hakuna Makundi/Kumeguka kama unavyodanganya hapa! Sote tuko pamoja isipokuwa Mtu mmoja/Malafyale tu kujifanya ana hatimiliki ya Timu.

Na tumeshamjua kuwa ni Mental disorder.

Narejea tena! Kama hukubaliani na Niliyoyaandika basi toa Ushahidi hapa kwa Kutaja Members Watatu tu kwa kila kundi kwenye hayo Makundi tuliyojigawa.
 
Chelsea & Real Madrid make €100m Hazard deal

1 hour ago 01:26

Belgian star to complete summer switch
Real Madrid and Chelsea have agreed a €100 million (£88m/$112m) transfer fee for Eden Hazard, The Guardian claims.
The Belgian attacker has been linked with a move to the Santiago Bernabeu for over a year and has long seemed set to complete the switch this summer.
The move will be announced in a few days after the two sides were able to work out a deal.

Msimu huu ujao lazima mushuke daraja I swear
 
Nina wasiwasi kama deal la Hazard limekamilika
Hii redio ambayo magazeti mengi walitumia kama source ya taarifa kwamba Chelsea wamekubali kiasi cha Euro 100m ni waongo
Kumbuka media za UK masaa machache kabla ya hii redio kuaj na propaganda walisema CEO wa Real Madrid aliondoka London huku mazungumzo yakiwa yamevunjika -HAKUNA DEAL LOLOTE LIMEFANYIKA

Ebu fuatilia hii habari

It’s been about five-six hours since Spanish radio boldly announced that Eden Hazard will be boldly announced as Real Madrid’s latest signing, within hours. Within hours!

In the words of Judge Smails, well, we’re waiting. Still waiting. Speaking of movie references, “Waiting” is one of the greatest, admittedly juvenile, comedies of all time. Fight me.
Anyway, what were we talking about?
Oh right, Hazard to Real Madrid. It’s done! Haven’t you heard? So done!
“El Chiringuito” even upped the ante a few minutes after their original announcement, claiming that the deal was “official”, even! So official!
The “so official” price: €100m.
They repeated that claim three hours later because the next few hours didn’t turn into the next few hours, so we needed more next few hours.

Last month, these same jokers claimed Real Madrid “will pay” the €130m that Chelsea have been asking for all along. A few days later, they reported that it was a “done deal”. Clearly, neither of things have happened yet, a month on. In fact, reports in England today claim that Real Madrid CEO left after extended negotiations at Chelsea without a deal agreed.
 
Timu hili litashuka daraja au kutokuingia hata 6 bora i swear ni huo msimu ujao mtaamin vzr
 
Nina wasiwasi kama deal la Hazard limekamilika
Hii redio ambayo magazeti walioandika kuwa Chelsea wamekubali kiasi cha Euro 100m ni waongo
Kumbuka media za UK masaa machache kabla ya hii redio kuaj na propaganda walisema CEO wa Real Madrid aliondoka London huku mazungumzo yakiwa yamevunjika -HAKUNA DEAL LOLOTE LIMEFANYIKA

Ebu fuatilia hii habari

It’s been about five-six hours since Spanish radio boldly announced that Eden Hazard will be boldly announced as Real Madrid’s latest signing, within hours. Within hours!

In the words of Judge Smails, well, we’re waiting. Still waiting. Speaking of movie references, “Waiting” is one of the greatest, admittedly juvenile, comedies of all time. Fight me.
Anyway, what were we talking about?
Oh right, Hazard to Real Madrid. It’s done! Haven’t you heard? So done!
“El Chiringuito” even upped the ante a few minutes after their original announcement, claiming that the deal was “official”, even! So official!
The “so official” price: €100m.
They repeated that claim three hours later because the next few hours didn’t turn into the next few hours, so we needed more next few hours.

Last month, these same jokers claimed Real Madrid “will pay” the €130m that Chelsea have been asking for all along. A few days later, they reported that it was a “done deal”. Clearly, neither of things have happened yet, a month on. In fact, reports in England today claim that Real Madrid CEO left after extended negotiations at Chelsea without a deal agreed.

Endelea kuishi kwa wasiwasi Mkuu
 
Chelsea & Real Madrid make €100m Hazard deal

1 hour ago 01:26

Belgian star to complete summer switch
Real Madrid and Chelsea have agreed a €100 million (£88m/$112m) transfer fee for Eden Hazard, The Guardian claims.
The Belgian attacker has been linked with a move to the Santiago Bernabeu for over a year and has long seemed set to complete the switch this summer.
The move will be announced in a few days after the two sides were able to work out a deal.

Msimu huu ujao lazima mushuke daraja I swear
Waliondoka kina drogba, lampad, tery itakuwa hazard tushuke daraja

Subiri utakuja kuhadithia hapa hapa
 
Timu hili litashuka daraja au kutokuingia hata 6 bora i swear ni huo msimu ujao mtaamin vzr
Ukitaka kujua maana ya team kutokumtegemea mchezaji mmoja tu, subiri Chelsea itaendelea kudunda

Uzuri tumemleta mwana udambwi mwingine akiwa amekomaa vizuri tu Pulisic
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Baada ya chelsea kufungiwa kuto sajili...naona ni kipindi sahihi kwa chelsea kutumia wachezaki wake waliopo kwa mkopo( loan army) kwa sababu wapo wachezaji wazuri na wadogo kiumri wanaofundishika...mfano kwa kipa hatuna shida sana kwenye back line...right back wamrudishe reece james akisaidiana ola aina ambao wamefanya vizuri sana kwenye loan deals zao azp yenye arusishwe kati na atakuwa kama menta qa hawa madogo...centre back tuna christensen na zouma apo akiwepo luiz rudiger na azp wanatosha kabisha kwa namba zote mbili...left back emerson anatakiwa apewe starting role afu alonzo na jay dasilva wawe back up...middle kwa DM joginho na kovasic wako vzr then zile namba mbili...kante/mount,cheek/barkley middle inakua imekamilika kabisa apo labda wainject mido mpya moja tuu yenye fluid witha ball na a pure attacking skills atatosha kabisa...wings baada ya hazard kuondoka ile jezi namba kumi akabidhiwe odoi na wing ya chini ashilikiane na pulisic afu kule juu awepo pedro/willian wings zote apo zimeisha ...striker tammy abraham yupo vzr sana kama kuprove uwezo wake ameshafanya sana kwa misim mitatu sasa apo atakua na giroud na either arudishwe batshway au wasajili ata yule felix wa benfica itakua poa...mi naona izi young blood zikiwa injected kwenye timu itakua na spidi na competent vilevile kupambania makombe yote at all fronts
 
Waliondoka kina drogba, lampad, tery itakuwa hazard tushuke daraja

Subiri utakuja kuhadithia hapa hapa

Real Madrid: Aliondoka Redondo na timu ikazidi kuboreka ije iwe Ronaldo?
Sasahivi kila mtu anajuwa kinachowasibu.

Sasa nanyinyi endeleeni kujipa false hope kuwa Pulisic ndiyo Hazard.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom