Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nani alijua kama 2016/2017 tungebeba EPL baada ya kumaliza nafasi ya 10 msimu uliotangulia?
Labda kutokee figusu kwenye bodi, ila kama Sari ataendeleza alipoishia, timu ikapress kama anavyotaka Sari basi tutakuwa na solid team msimu ujao. Chelsea inahitaji wachezaji 2 hasa na si zaidi ya hapo. Kama Giroud akiweza kufunga magoli 18+ msimu ujao basi tegemea lolote.
This is Chelsea timu inayobeba EPL kila baada ya misimu 2/3?

Labda ninachokwambia ukitafsiri kuwa ni ubishani! Lakini ukweli ni kwamba Giroud kwasasa hana uwezo wa kufunga Goli 18+ kwenye EPL per season.

Na hizo fikra za kusema kuwa Chelsea inabeba EPL kila baada ya misimu 2/3 anza kuzisahau mapema coz zama zenu zimeshapita hasa ukizingatia Foundation iliyokuwa ikifanya hivyo ambayo asili Yake imejengwa tokea 2004 imeshachoka.

Kwasasa Sarri alikusudia kujenga Foundation ya kwake ambayo imekwamishwa na Ban ya usajili kwa kipindi hichi.

Lakini kwa kikosi ulichonacho hakuna uwezo wa kubeba ubingwa ahead of City hata Siku moja. Nimemtaja City kwasababu anazidi kuinvest a lot of power kwa ajili ya EPL.
 
Kuhusu Giroud inawezekana asifunge hizo 18+ goals. Lakini usisahau 2017 Chelsea imebeba kombe bila Ashel Cole, Drogba, Lampard, Ivanovic, Terry hakuwa akicheza. Kwa hiyo kwenye football tegemea chochote.
 
Done deal: Real Madrid na Chelsea wamekubaliana kufika hitimisho la Eden Hazard kwa dau la €100 million (£88m/$112m). Hazard atalazimika kusafiri kwenda jijini Madrid kufanya vipimo vya afya. Sasa Hazard ni mali ya Madrid rasmi
:
Fair price?[emoji383]
Chelsea hawajaongea chochote wala Madrid hawajathibitisha
 
Kuhusu Giroud inawezekana asifunge hizo 18+ goals. Lakini usisahau 2017 Chelsea imebeba kombe bila Ashel Cole, Drogba, Lampard, Ivanovic, Terry hakuwa akicheza. Kwa hiyo kwenye football tegemea chochote.
Kyatile:
Don't put false hopes kwa mwaka ujao. Tusipokuwa na mfunga magoli kama Diego Costa wa 2015 na 2017 (20+ goals kila msimu) na mtoa assist kama Fabregas wa 2015 na 2017 (almost kahusika na magoli 20+ kila msimu) hatutaweza kubeba kombe, our success will be limited to top 4 kama mwaka huu labda na Silverware juu yake. Hizi hopes ambazo hazipo ndizo zinazowaletea mashabiki wengi kupata matatizo ya kiafya na wengine ku-commit suicide.
 
Mungu fundi bana. Unaeza shangaa akaamua kutenda muujiza wa karne dili la Hazard likaingia mchanga ghafla alaf akasain mkataba mpya.

Miujiza ipo dunia hii
 
Tetezi za uhamisho wa Hazard
1120284

Media nyingi zinaeleza kuwa makubaliano ni Paundi 130m
88.5M watalipa kama advance na 41.5m watalipa kama addons
Addons ni nini?
Addons ni malipo ya baadaye kulingana na makubaliano ambayo huwa yanalipwa kama mchezaji ataendeleza form yake nzuri na hivyo timu iliyomnunua ikapata mapato kwa ubora wake
Mchezaji akishuka form yake hizo addons hazitalipwa kabisa au zinaweza kupungua dhamani
Masharti ya addons pia hubadilika kulingana na addons clauses za mkataba wa mauzo
Mifano"
  1. Percentage of Next Sale - asilimia ya mauzo mchezaji akiuzwa tena
  2. Buy Back Price - kama muuzaji atamuhitaji tena
  3. Arrange Friendly - muuzaje anaweza kubadili msimamo akakataa kuuza hata kama mkataba umeshasainiwa
  4. Monthly Installments - muuzaji anapewa kipato Fulani kila mwezi kwa makubaliano ya miezi 3,4,5,6,7,8,9,10,11,12 nk
  5. After League Appearances -baada ya ligi kuisha inahesabiwa michezo aliyocheza kwenye ligi, mnunuzi anamlipa muuzaji kiasi Fulani cha fedha kama walivyokubaliana
  6. Per League Appearance - hii ni sawa na hiyo hapo juu lakini muuzaji analipwa kila baada ya mchezaji kucheza game
  7. After International Appearances-
    hii ni sawa na hiyo hapo namba 5 juu lakini muuzaji analipwa baada ya mchezaji kucheza michezo yote na timu yake ya taifa katika msimu husika
  8. Minimum League Goals - muuzaji analipwa iwapo mchezaji atafunga kiasi Fulani cha magoli mfano akishafunga magoli 15 nk
  9. Minimum League Goal assists - muuzaji analipwa iwapo mchezaji atafunga kiasi Fulani cha magoli mfano akishafunga magoli 15 nk
  10. After Promotion - muuzaji analipwa kama timu iliyomnunua mchezaji itapanda daraja, hii inafaa Zaidi kama mchezaji kanunuliwa na timu za ligi ndogo
Addons pia inaweza ikairudia timu muuzaji
mfano timu muuzaji ikapigwa fine/penalty kama mchezaji hatafanya vizuri kwa vipengele hapo juu

Mkataba wa Eden Hazard
Kwa mktaba wa Hazard, Marina Granovskaia kacheza kama Hazard kwa akili kwa kuhakikisha kuwa Chelsea hailipi chochote kama mchezaji hatacheza kwa kiwango na kufikia creteria hapo juu.
Addons ambazo Marina kazizisimamia kwa msimamo dhabiti ni
  1. Magoli atakayofunga
  2. Assists atakazotoa
  3. Appearances atakopata
  4. Nk - mengine haijulikani
 
Kuhusu Giroud inawezekana asifunge hizo 18+ goals. Lakini usisahau 2017 Chelsea imebeba kombe bila Ashel Cole, Drogba, Lampard, Ivanovic, Terry hakuwa akicheza. Kwa hiyo kwenye football tegemea chochote.
So hao wachezaji uliowataja unawaona walikuwa ni wa kawaida sanaaa?
 
Kyatile:
Don't put false hopes kwa mwaka ujao. Tusipokuwa na mfunga magoli kama Diego Costa wa 2015 na 2017 (20+ goals kila msimu) na mtoa assist kama Fabregas wa 2015 na 2017 (almost kahusika na magoli 20+ kila msimu) hatutaweza kubeba kombe, our success will be limited to top 4 kama mwaka huu labda na Silverware juu yake. Hizi hopes ambazo hazipo ndizo zinazowaletea mashabiki wengi kupata matatizo ya kiafya na wengine ku-commit suicide)
From your point of perception uko sahihi. Lakini usisahau kuwa wachezaji wanaevolve.
 
From your point of perception uko sahihi. Lakini usisahau kuwa wachezaji wanaevolve.
Evolving does not occur overnight, tulishachangia huko nyuma, wako wachezaji wachanga kama akina Pulisic Odoi na Tammy kama wakipewa nafasi lakini evolvement yao inaweza chukua 2 to 3 seasons. Wao akina RLC, Emerson ndio wako kwenye process ya kuevolve, Lakini wazee kama akina Willian, Pedro, Giroud, Luiz, Jorginho, Ross Barkley, Marcos Alonso na hao wengine wa over 25, expect less from their evolution.

Hazard alianza kueveolve alipokuwa na 24 nadhani 214/15 Chelsea ilipochukua EPL under MOU
Pulisic ana 20 sasa hivi, mpaka awe 23/24 ni misimu mitatu tayari
Odoi ndio usiseme, 18 yrs of age, mpaka afikishe 23 ni 5 yrs, sio kwamba hapo katikati hatacheza vizuri ila kufikia kiwango ambacho timu itakuwa ikimtegemea , kama sari anavyosema ni kwenye age ya 23 hivi,
RLC ndio sasa anapick na matokeo yake tunayaona, Tammy hata awe mzuri namna gani akija kwenye EPL ataanza upya sio guaranted atakuwa mzuri kama akule chini alikokuwa
 
Kuhusu Giroud inawezekana asifunge hizo 18+ goals. Lakini usisahau 2017 Chelsea imebeba kombe bila Ashel Cole, Drogba, Lampard, Ivanovic, Terry hakuwa akicheza. Kwa hiyo kwenye football tegemea chochote.
Narudia tusiwe na false hopes
tuingie ndani Zaidi kwenye uchambuzi yakinifu
Ili timu ichukue ubingwa inatakiwa at least iweze kufunga magoli kati ya 80-90 kwa wastani, ila kwa hali ya sasa ya EPL timu bingwa lazima iweze kufunga 90+ goals

Kama timu inamtegemea mfungaji mmoja ni ngumu kuchukua ubingwa hata kama mchezaji huyo anaweza kufunga magoli 50 kama messi na ronaldo
Kwa hali ilivyo kwa Liverpool na Man city, tunatakiwa kuwa na wafungaji wasiopungua watatu na wawe na uwezo wa kufunga 20+ goals, na midfield na wingers wawili wa kuassists 20+ assists. je hao wafungaji na wakutoa assists 20+ tunao?
Kama hatuna, basi tuna ndoto ya kujenga mwezini wakati hata hapa hapa duniani hatuna uwezo wa kujenga
Pia tuwe na forwards wasiopungua watatu tena wa kufunga 10+ goals
TUKUBALI TU KUWA CHELSEA TUPO KWENYE TRANSITION PERIOD ILIYOSABABISHWA NA BAN YA FIFA
 
Come UEFA Supercup final tunawafunga goli 4

Yaani si chini ya goli nne kutoka kwa Firmino, Wijnaldum na Shaqiri
Hahahahahahahahahahahaha Ukija kustuka kwenye iyo ndoto tutakuwa tumenyanyua kwapa. Tunajua mnajiamini Sana lakini sisi huwa tupo ili kufanya positive wonders.
 
Narudia tusiwe na false hopes
tuingie ndani Zaidi kwenye uchambuzi yakinifu
Ili timu ichukue ubingwa inatakiwa at least iweze kufunga magoli kati ya 80-90 kwa wastani, ila kwa hali ya sasa ya EPL timu bingwa lazima iweze kufunga 90+ goals

Kama timu inamtegemea mfungaji mmoja ni ngumu kuchukua ubingwa hata kama mchezaji huyo anaweza kufunga magoli 50 kama messi na ronaldo
Kwa hali ilivyo kwa Liverpool na Man city, tunatakiwa kuwa na wafungaji wasiopungua watatu na wawe na uwezo wa kufunga 20+ goals, na midfield na wingers wawili wa kuassists 20+ assists. je hao wafungaji na wakutoa assists 20+ tunao?
Kama hatuna, basi tuna ndoto ya kujenga mwezini wakati hata hapa hapa duniani hatuna uwezo wa kujenga
Pia tuwe na forwards wasiopungua watatu tena wa kufunga 10+ goals
TUKUBALI TU KUWA CHELSEA TUPO KWENYE TRANSITION PERIOD ILIYOSABABISHWA NA BAN YA FIFA
Kuanzia 2010 I have Chelsea wins the title when the pundits put all the odds off it. So let's wait and see the changes that happen in prayers.
 
Kuanzia 2010 I have Chelsea wins the title when the pundits put all the odds off it. So let's wait and see the changes that happen in prayers.
Kulikuwa na wachezaji wenye kaliba ya EPL title na hatukuwa na BAN, kama kweli unaijua Chelsea vizuri na pia hakukuwa na ushindani kama huu wa Man city na Liverpool
Tusifunge macho kana kwamba hatuioni hii BAN ya FIFA kwa misimu miwili
Wakati huo ilikuwa ni top 5 tu
  1. Arsenal walidorora
  2. Man u walidorora
  3. Mancity walikuwa bado kuamka
  4. Liverpool walikuwa hoi
  5. Leo hii Mancity cheza nao mbali
  6. Liverpool wameimarisha karibu idara zote
  7. Chelsea udhaifu wetu tunaujua kuwa tuna ordinary players
 
Kuanzia 2010 I have Chelsea wins the title when the pundits put all the odds off it. So let's wait and see the changes that happen in prayers.

OK ili Chelsea ichukue ubingwa mwakani inabidi haya yatokee
  1. Hizi timu shindani waingie kwenye ugomvi/mgogoro AU
  2. Wachezaji vital waondoke Manciyty, Liverpool, Spurs AU
  3. Timu zote hasa kubwa za Top 6 zisisajili kuimarisha vikozi vyao.
Hili likitokea kweli tunaweza nasisi kuchukua ubingwa
ila kama Mancity na Liverpool walivyo sasa hivi na timu kali halafu bado tena wanaimarisha idara zao,
Arsenal na Man united na Spurs nao wanaingia sokoni kuleta silaha kali,
Sisi tunaingia uvunguni kuangalia kama kuna manati au kombeo duh, hakuna kitu hapo
 
Chelsea wamewasilisha rufaa yao leo huko CAS kwa ajili ya kusikilizwa.
Hata mimi nimesoma ila inawezekana appeal ina mapungufu
Kwanza hawakusema ban ya sasa hivi isimamishwe kabla rufaa yao haikusikilizwa kwa sababu rufa inaweza kuchukua miezi kadhaa na wakati huo msimu wa usajili utakuwa umeisha
Wao wamewasilisha rufaa ya ku-overturn hukumu, may be kwa sheria zao huko kama rufaa imepokelewa wanaweza tena kupeleka appeal nyingine ya kuomba hukumu ya sasa iwe withhold hadi rufaa yao isomwe AU may be appeal ya sasa automatically ina-reverse kwa muda hukumu iliyokatiwa rufaa
1120664
 
Ngolo Kante kaumia tena
Huu mwaka ni wa mkozi kwetu nini?
  1. Ban
  2. Odoi majeruhi
  3. RLC majeruhi
  4. Kante - majeruhi 50/50
Mungu ibariki Chelsea
 
This Friday or at least on Monday, Chelsea will release Maurizio Sarri, after that Juventus will announce him as their new manager. [Goal Italia]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom