Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kulikuwa na wachezaji wenye kaliba ya EPL title na hatukuwa na BAN, kama kweli unaijua Chelsea vizuri na pia hakukuwa na ushindani kama huu wa Man city na Liverpool
Tusifunge macho kana kwamba hatuioni hii BAN ya FIFA kwa misimu miwili
Wakati huo ilikuwa ni top 5 tu
  1. Arsenal walidorora
  2. Man u walidorora
  3. Mancity walikuwa bado kuamka
  4. Liverpool walikuwa hoi
  5. Leo hii Mancity cheza nao mbali
  6. Liverpool wameimarisha karibu idara zote
  7. Chelsea udhaifu wetu tunaujua kuwa tuna ordinary players

Mkuu rekebisha sio Misimu Miwili, Ni Windows Mbili (Msimu Mmoja).
 
OK ili Chelsea ichukue ubingwa mwakani inabidi haya yatokee
  1. Hizi timu shindani waingie kwenye ugomvi/mgogoro AU
  2. Wachezaji vital waondoke Manciyty, Liverpool, Spurs AU
  3. Timu zote hasa kubwa za Top 6 zisisajili kuimarisha vikozi vyao.
Hili likitokea kweli tunaweza nasisi kuchukua ubingwa
ila kama Mancity na Liverpool walivyo sasa hivi na timu kali halafu bado tena wanaimarisha idara zao,
Arsenal na Man united na Spurs nao wanaingia sokoni kuleta silaha kali,
Sisi tunaingia uvunguni kuangalia kama kuna manati au kombeo duh, hakuna kitu hapo
Mkuu kwa uhalisia Chelsea haina nafasi ya kubeba ubngwa hasa ukizingatia viwango walivyopo Liverpool na Man City. Lakini bado nabaki kuamini Chelsea siyo mbaya kama wengi wanavyoidhania. Kuna idara chache zina shida hasa kwenye CB na ushambuliaji mainly striker ndo anatupa tabu. On the table we are batter than the current Man U, Arsenal and there are areas where we are solid than Tottenham.
If Luiz gives his 100% as he deed in 2016/2017, Rudiger, Azipilicueta, Emerson/Alonso, Kante, Joginho, RLC?, Pulisic, Odoi?/Willian we will compete.
 
Ishu kubwa in endapo atabadilishwa kocha akaja kocha ambaye hawezi kuwatumia wachezaji waliopo
 
This Friday or at least on Monday, Chelsea will release Maurizio Sarri, after that Juventus will announce him as their new manager. [Goal Italia]
And Chelsea will announce a coach when there are two days before PL starts like they did with Sarri. Kunq ubabaishaji mwingi sana kwenye club
 
Mkuu kwa uhalisia Chelsea haina nafasi ya kubeba ubngwa hasa ukizingatia viwango walivyopo Liverpool na Man City. Lakini bado nabaki kuamini Chelsea siyo mbaya kama wengi wanavyoidhania. Kuna idara chache zina shida hasa kwenye CB na ushambuliaji mainly striker ndo anatupa tabu. On the table we are batter than the current Man U, Arsenal and there are areas where we are solid than Tottenham.
If Luiz gives his 100% as he deed in 2016/2017, Rudiger, Azipilicueta, Emerson/Alonso, Kante, Joginho, RLC?, Pulisic, Odoi?/Willian we will compete.
Ni bahati mbaya pia RLC hatakuwepo nusu msimu hadi msimu mzima
Ni bahati mbaya pia wafungaji wa kutumainiwa hatuna kwa sasa
Ni bahati mbaya mtu wa kuassists kwa kiwango bora kama ya Hazard au Fabregas hatuna
Mfumo wa Sari angekubali kuwa flexible ungetufaa sana au akija kocha wa kuboresha huo mfumo wa kukaa na mpira ungefukia kidogo pengo la Hazard
 
Kocha wa team ya taifa ya Brazil, Tite amemwita kikosini winga wa Chelsea Wilian kuziba pengo la Neymar ambaye aliumia mazoezini
 
Screenshot_2019-06-07-23-24-50-1.png

Best of Lucky

eden kimario
 
Roho inaniuma sana sana kuondoka kwako, but sina budi kusema kwa heri hazard

Thank you for every thing, and good luck for you hazardeden
franklampardfans8___BybFKeWBBBS___.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom