Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Juventus wanamtaka Emerson
Atletico Madrid wanamtaka kwa udi na uvumba Alonso, hao hawana nia njema na Chelsea ambayo tayari tuna pengo kubwa la Hazard. Kwa maoni yangu EMerson wala Alonso wasiruhusiwe kutoka, hatutakuwa na Left Back wazuri Zaidi ya hao
Ao juve ci wamemchukua Sarri na hawatosheki tu wanataka kutushusha daraja nini pumbavu zao..
 
Liverpool Arsenal na Tottenham ndio team ambazo zimefungwa magoli ya dhahabu na hazard.

Hawatakaa wamsahau, maana mabeki walitaabika mno na bado wakafungwa magoli ya mwaka
Kuna goli moja Hazard alizaba Liverpool msimu ule wa Mourihno alipokuja darajani baada ya kubeba Europa. Aise lile goli lilikuwa kali balaa.. na bado aliendelea kutoa dozi mbali mbali mpaka sasa fani wao wanafurahi kuondoka kwake maana alizipa tabu timu zao.

Ila tutamtengeneza msumbufu mwingine.
 
Mkuu wapo wachambuzi wengi waliotutoa kwenye top kwa uchache ni Edo Kumwembe, Shaffih Dauda na kumbukumbu zangu zinanikumbusha hata Geoff Lea naye alitutoa.

Kwani hao nao wachambuzi? Huyo Shaffih Dauda ndiye aliyesema Simba SC itashika Mkia kwenye Makundi ya ACL na katu haitavuuka kwenye Makundi na haitoshinda Mchezo hata mmoja.

Na haohao ndiyo waliosema Liverpool haitoboi kwa Bayern, ikisha wakasema haitoboi kwa Barcelona.

Hao ni Wababaishaji tu na Wachafuzi. Sio Wachambuzi kabisa.
 
Kwani hao nao wachambuzi? Huyo Shaffih Dauda ndiye aliyesema Simba SC itashika Mkia kwenye Makundi ya ACL na katu haitavuuka kwenye Makundi na haitoshinda Mchezo hata mmoja.

Na haohao ndiyo waliosema Liverpool haitoboi kwa Bayern, ikisha wakasema haitoboi kwa Barcelona.

Hao ni Wababaishaji tu na Wachafuzi. Sio Wachambuzi kabisa.
Wale majamaa huwa naona kuwa ni wakusanyaji habar za michezo tu hakuna mchambuzi, kidogo Edo alikuwa anajitahid ila now kashakuwa mpiga ramli tu na mcheza kamari
 
Liverpool Arsenal na Tottenham ndio team ambazo zimefungwa magoli ya dhahabu na hazard.

Hawatakaa wamsahau, maana mabeki walitaabika mno na bado wakafungwa magoli ya mwaka
Umesahau na man city....zabaleta hatokaa akamsahau Hazard kwa udhalishaji aliyomfanyia akiwa na timu yake man City
 
Ah wapi! Past is like memory.. Kilochopita kitabakia kuwa ni kumbukumbu tu.

Tunakumbuka fika kuwa Zola alitufunga magoli ya kuzalilisha ambayo kwa hayo ya Hazard ni ucheza tu! Lakini nani anamtaja Zola? You know why? Kwasababu imebaki kumbukumbu tu!

Kwahiyo na huyo Hazard utabakia kujifariji kwa kumbukumbu tu.
Kumbe Leo umetambua kuwa watu wanajifariji na yaliyopita......!!

Kama mlivyokuwa mkijifariji na YouTube.
 
Tetesi za Habari njema
Kuna uwezekano mkubwa Tammy akacheza no. 9 akishindana na Giroud msimu ujao
Angalia alivyo post kwenye Instagram yake

‘Where do I start. Firstly I want to thank everyone @avfcofficial for a unforgettable season ❤ felt the love and support from the get go & we did it together! This club will always have a place in my heart. @avfcofficial welcome to the premier league 🤘🏾😘❤ #UTV#TA18′

Comments
Trevoh Chalobah posted a cryptic comment that read ‘Chelsea No9’
Reece James, another highly-rated academy graduate, posted a goat emoji – indicating Abraham is the ‘greatest of all-time’.

Tammy:
‘The aim is to be at the highest level and playing the best football and, if Chelsea say they need me there, I will put 100% in. ‘I am a person who believes in myself. So, wherever I am at, I believe I will get in and play and score goals.’

Namtabiria Tammy

Akikaa Chelsea kama striker muda mrefu kama miaka 10-15, atakuja kuwa one of the Chelsea top scorer of all time
 
Unapumua baada ya kuondoka, mkikutana na hazard wanaenda mabeki wanne wanne [emoji3] [emoji3] bila hivyo hakawii kuwaburuza wote
Katika hilo goli la mwaka la Chelsea, Hazard kawapita kama vile hawachezi akina Keita, Robertson na Fabinho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom