Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Arsenal bado wanaweza kuqualify for UCL
Man city wako kwenye uchunguzi wa Financial Fair Play na wadadisi wa mambo wanaipa Man city asilimia kubwa ya kupigwa ban mashindano ya mwakani ya UCL. Ikiwa watapigwa ban, Arsenal walio kwenye nafasi ya tano ndio wataungana na mshindi wa 2-4 kwenye mashindano hayo
Haiwezi kutokea hiyo kwa figisu za soka zilivyo.

Arsenal yeye ajiandae na Europa league tu
 
Kuona Moja haifuti Tano unless uwe umekimbia umande
Nilikosoma hakuna somo la history somo hili limedumaza fikra za africa na waafrica kiujumla endelea kukumbatia past brother kwa sisi chelsea "the best are yet to come "
 
Zouma
IMG_20190601_160418_264.jpeg
 
La sita lipi? Mkitaka kubeba makombe kama hayo, mfukuzeni Klopp ..mna timu nzuri kwa sasa ila nyota ya Klopp ndo haing'ai uko.

Kama ndani ya miaka kumi una kombe moja tu tena Mickey Mouse cup, unategemea leo hii uibuke tu uko ulipotoka ubebe kombe linalozidi uwezo wachezaji?

Toka umezaliwa kijana EPL haijawai kukanyaga Liverpool halafu unaibeza London? Acha ushamba..

Mkuu Salaam
 
Who cares about FA, Carabao or EPL????
IMG_5168.JPG
 
Kurt Zouma Stats From premierleague.com website
Ana uwezo mkubwa kuliko most of EPL CBs Stats hizo kwenye red nimecampare na za Aymeric LaPorte CB wa Man City ambapo amemzidi. Nina hakika angecheza Man city au hata Chelsea ya Sarri angemzidi ma CBs wengi kwa sababu play style ya Everton haimpi kuwa na mpira muda mwingi na ndio maana stats kama za passes na hizo zingine anazidiwa na LaPorte. Hata ukitafuta stats za ma CB wengine utakuta ni wachace sana wanampita Kurt kwenye key aspects ya defender

1115046
 
Kurt Zouma Stats From premierleague.com website
Ana uwezo mkubwa kuliko most of EPL CBs
Stats hizo kwenye red nimecampare na za Aymeric LaPorte CB wa Man City ambapo amemzidi
Nina hakika angecheza Man city au hata Chelsea ya Sarri angemzidi ma CBs wengi kwa sababu play style ya Everton haimpi kuwa na mpira muda mwingi na ndio maana stats kama za passes na hizo zingine anazidiwa na Laporte
Hata ukitafuta stats za ma CB wengine utakuta ni wachace sana wanampita Kurt kwenye key aspects ya defender

View attachment 1115046
Uyu itabid arudishwe maana kuna rumours Mourihno anarudi ..sasa kwa mabeki kama hawa watamfaa sana.
 
Kurt Zouma Stats From premierleague.com website
Ana uwezo mkubwa kuliko most of EPL CBs Stats hizo kwenye red nimecampare na za Aymeric LaPorte CB wa Man City ambapo amemzidi. Nina hakika angecheza Man city au hata Chelsea ya Sarri angemzidi ma CBs wengi kwa sababu play style ya Everton haimpi kuwa na mpira muda mwingi na ndio maana stats kama za passes na hizo zingine anazidiwa na LaPorte. Hata ukitafuta stats za ma CB wengine utakuta ni wachace sana wanampita Kurt kwenye key aspects ya defender

View attachment 1115046

Hivi Unawachukuliaje Man City mpaka kufikia kuwatusi kuwa wawe na Beki kama Zouma?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom