Bmichy68
JF-Expert Member
- Sep 3, 2018
- 834
- 1,181
Pašalić yupo vzr na alifunga ile game ya mwisho serie A ila Mara nyingi anaingia kama sub ndo maana mashabiki wa Atalanta huwa wanamuita super subKuna MTU yupo pale Atalanta kwa mkopo na anaanza kila match na team yake imefuzu champions league anaitwa Mario pasalic
