We jamaa huwa ahautumii akili aisee
Kwa akili zenyewe kama hizo za kumfikiria zouma kuwa ni Quality defender Duh!!!!!!!!!
We jamaa huwa ahautumii akili aisee
Namtazama Pulisic kama mbadala wa Hazard na sio huyo cotinyo, japo hazard wa kuziba pengo lake ni messi tu zaidi ya hapo hakuna tenaHivi kweli Coutinho anaweza kuwa replacement ya Hazard. Mtu mzito na hawezi kudrible
The only talent aliyonayo na kushoot from a distance na kupiga free kicks
Chelsea must be mad
Namtazama Pulisic kama mbadala wa Hazard na sio huyo cotinyo, japo hazard wa kuziba pengo lake ni messi tu zaidi ya hapo hakuna tena
Jamaa wa kukariri English terminologies and phrases sijui kama wataelewa haya uliyoyaandikaMickey Mouse Cup ina maana gani na inatumikaje na ilianzishwa na nani?
Mickey Mouse definition:
ineffective; trivial; insignificant, something not challenging.
Mickey Mouse Cup Meaning
"Mickey Mouser" originated as rhyming slang for Scouser, a person from Liverpool.
The English Football League Cup (Carabao Cup) is often referred to as the "Mickey Mouse Cup" by larger Premier League clubs.
Is Europa League Cup or FA Cup Mickey Mouse Cup?
No, FA and Europa league are challenging competitions and deserve more respect
Hivi unadhani Pulisic angelikuwa mchezaji wa kiwango hicho Chelsea mungelimkutia Dortmund? Bayern wamuangalie tu?
Hata Klopp kumtaka Kote aliishia kueka dau £16m tu! Na Dortmund walipozikataa basi nayeye hakuongeza dau Bali aliachananae! Sasa mchezaji mwenye kuweza kuziba pengo la Hazard anfikishwa £16m?
Tena anaishia kuchukuliwa na Chelsea bila ya upinzani wowote?
Acha kujidanganya Pulisic ni wa kawaida tu.
Kwani hazard alikuwa wapi, kabla hajaja chelsea, hawakumuona?Hivi unadhani Pulisic angelikuwa mchezaji wa kiwango hicho Chelsea mungelimkutia Dortmund? Bayern wamuangalie tu?
Hata Klopp kumtaka Kote aliishia kueka dau £16m tu! Na Dortmund walipozikataa basi nayeye hakuongeza dau Bali aliachananae! Sasa mchezaji mwenye kuweza kuziba pengo la Hazard anfikishwa £16m?
Tena anaishia kuchukuliwa na Chelsea bila ya upinzani wowote?
Acha kujidanganya Pulisic ni wa kawaida tu.
Chelsea imemnunua pulisic pauni million 55 na sio 16 mkuu
Hazard alikutwa wapi? Drogba je? Hivi kwa nini inakuwa vigumu kwenu ku-construct logical statements?
August haiko mbali tutakuja kuona hiyo impact yake
Hili kawaoneshe arsenal sio huku.Two of them are Chelsea's rejectors, One relegated from Hull City.
But both they Won CL
View attachment 1116211
Hii ndiyo raha ya kuichezea Liverpool
Hili kawaoneshe arsenal sio huku.
Nyinyi msimu ujao mjiandae na relagation battle! Ukitaka kujua hilo toa goal+assist za hazard msimu huu halafu angalia mtakua wapiMsimu ujao tutaweza kuhimili mikiki bila ya eden hazard kweli??!
Kama ndo unahesabia ivo basi toa magoli na assist za coutinho kabla ya kuondoka liver....lakini mbona ndo wamekua bora zaidi?Nyinyi msimu ujao mjiandae na relagation battle! Ukitaka kujua hilo toa goal+assist za hazard msimu huu halafu angalia mtakua wapi