Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hizi picha zenu za makombe ambayo tumeshatwaa hatuzitaki huku

Tunauliza EPL iko wapi??
 
Hizi picha zenu za makombe ambayo tumeshatwaa hatuzitaki huku

Tunauliza EPL iko wapi??

UCL means bingwa wa mabingwa wa leagues zote za Europe including EPL na La Liga!
Sasa kama EPL na Carabao kwako is a big deal then good luck with that
Hata Messi anaitamani hii ndoo na haipati
 
Kwa kipindi cha miaka 19 Chelsea ndio club iliyotwaa makombe mengi zaidi kuliko team yoyote pale EPL

Kwa Kipindi Cha Zaidi ya Miaka 100 mpaka hii Leo Liverpool ni Timu iliyoshinda Makombe Mengi ya UCL kuliko timu zote zitakazoshiriki EPL 2019/20 zikichanganywa pamoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom