Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,796
- 4,297
ukipata picha ya mzee baba kabeba kombe umejitahidi sana maana wanamlazimisha abebe anakaa pembeni na kutabasamu hana makuu Al haji mpole nje ya uwanjaNgoloooo MTU na Bahati zakeView attachment 1112064