We una shida
Wachezaji woote wanaotakiwa nna Man city, Barca, RM ni wazuri pekee yao, ingekuwa hivyo wasingekuwa na pakuwaweka. Toka Enzi za akina Pele, Maradon na hadi leo, wachezaji wazuri wapo tu na wote hawaenei kwenye few rich clubs. Mimi naona hayo ni mawazo na mtizamo finyu juu ya ubora wa wachezaji. Barca, Real na timu nyingine Tajiri zimeishia kuchukua wachezaji wa kawaida au kuwa na interest na wachezaji wa kawaida sana ni wewe tu ndie huoni kwa sababu sijui wewe ni Real Madrid au Juve. Una chuki binafsi na baadhi ya wachezaji wa Chelsea, Sorry mkuu