Baku
IMG-20190527-WA0009.jpeg
IMG-20190527-WA0010.jpeg
IMG-20190527-WA0012.jpeg
IMG-20190527-WA0013.jpeg
IMG_20190528_055901.jpeg
 
Chelsea haina mpango wa kubadilisha coach msimu huu.

Zinazoendelea ni tetesi ambazo huu ni wakati wake.

Ni kama walivyokaa kimya juu ya hazard watu wanataja mihela yao tu mpaka juzi waliposema bila ya pauni milioni 130 haondoki
 
azpi hana sifa za kuwa RB ,luiz hana sifa za kuwa CB ,jorginho hana sifa za kuwa holding mf ,kante kwa position anayocheza saivi hana effect ,front 3 wale wawili wa pembeni ni mvurugano tu.. wote wanatka kuonesha wanajua kufunga n kupiga chenga.. hakun link up nzur kama front 3 ya liverpool ama MSN ile ya barca.
 
Umeongea kama mjinga
 
Luiz na Higuain wametibuana kwenye mazoezi, na Sarri nae kakasirika na kuondoka uwanjani.

Jamani hii sasa kitu gani tena na siku imebaki moja tuu kucheza fainali...
 
Luiz na Higuain wametibuana kwenye mazoezi, na Sarri nae kakasirika na kuondoka uwanjani.

Jamani hii sasa kitu gani tena na siku imebaki moja tuu kucheza fainali...
kwa upande wangu mimi sioni kosa la higuain lipo wapi pale yeye alimwambia tu kwa maoni yake kuwa hii game tunaenda kupigwa kipigo cha aibu na arsenal bora tusiingize timu uwanjani maana wale kina lacazette wewe huwezi kuwazuia,ndipo luiz akawaka
 
IFAB waja na sheria mpya zitakazoanza kutumika 1 June 2019
  1. Wakati wa kupiga free kicks, wachezaji wa timu inayoshambulia hawatakiwi tena kuwepo kwenye ukuta hasa kama ukuta una wachezaji kuanzia watatu kwenda juu
  2. Mchezaji anayefanyiwa sub anatakiwa kutoka nje kupitia nearest point ya pale alipo uwanjani
  3. Makocha nao sasa watakuwa wakipewa kadi za njano na nyekundu kama wachezaji
  4. Wakati wa kudaka penalty, kipa anatakiwa angalau sehemu ya mguu mmoja iwe inagusa mstari wa goli wakati anadaka au anaruka kudaka mpira
  5. Goli litakataliwa endapo mpira utagusa mkono kabla ya kuingia wavuni hata kama ni kwa bahati mbaya. Pia kama mchezaji ameunawa au kuugusa mpira kwa bahati mbaya na ikampa advantage , hiyo adhabu yake ni free kick. Kudaka au kuudawa mpira kwa makusudi itaendelea kuwa kosa na adhabu yake haijabadilika
Adhabu ya kukiuka sheria hizo ni kadi ya njano na penalty kurudiwa kwa ile sheria no. 1
Sheria hii leo imeanza kutumika kwenye fainali za FIFA world cup U20 ambako Mali ilikuwa ikicheza na Saudi Arabia
Kipa wa Mali aliruka mbele miguu yote miwili kabla ya kurukia mpira na kuupangua ila refa akampa kadi ya njano na penalty ikapigwa tena na ikawa goli
 
kwa upande wangu mimi sioni kosa la higuain lipo wapi pale yeye alimwambia tu kwa maoni yake kuwa hii game tunaenda kupigwa kipigo cha aibu na arsenal bora tusiingize timu uwanjani maana wale kina lacazette wewe huwezi kuwazuia,ndipo luiz akawaka
Ndugu ulichokiandika hapo hata sio ushabiki bali ni kupoteza muda maana hicho kitu hata watoto wa chekechea hawawezi kufanya na kumsingizia Higuaín kasema utumbo wa namna hiyo.

Kosa analo tena kubwa na Luiz yuko sawa, Higuaín kamshambulia Luiz kwa nyuma Luiz akaja juu. Kamshtukia Higuaín alitaka kusababisha majeruhi na Luiz aliona hakukuwa na haja ya Chalenge kama ile ambayo ingesababisha majeruhi kama ya Kante. Nahisi kuna hujuma inaendelea ndani ya Chelsea na kushinda game ya leo baadaye ni majaliwa. Jioni ya tar 28 ni kama imeenda bure kwa sababu hakukuwa na mazoezi yeyote ya maana, Kante kajifanyia jogging peke yake akaondoka mapema kabla ya wengine. Waliobaki ni kuzozana mpaka muda wa mazoezi ukaisha.
Higuaín yuko frustrated kwa sababu kesho inavyoelekea hatacheza na matokeo ya hiyo frustration ndio hiyo. Anajua pia Chelsea hawatamchukua msimu mwingine so bad
Kwa game ya leo baadaye, nawapa Chelsea asilimia ndogo ya kushinda
 
Back
Top Bottom