Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wachezaji wa Championship kibao wanawaniwa na timu za EPL nyie sijui mna matatizo gani.? Daniel James wa Swansea anawaniwa na Man Utd, Tammy zipo ofa kibao moja ni ya Everton. Wanachokiona kwa hawa wachezaji sijui nyie ni kina nani hamkioni? Championship mnaichukuliaje wazee!!

Hivi hamjui kinachomjenga mchezaji ni pamoja na kupata playing time ya kutosha na ndio maana wanapelekwa kwa mkopo.!! Mnaenelewa hata maana ya Field kwa wanafunzi, faida zake labda?

Mnisamehe najaribu kutafuta namna nzuri kuwaelezea mkanielewa.

Mkuu Everton sio Chelsea, Chelsea wanataka kushindana Ubingwa wa EPL pamoja na Champion League, Kwaiyo ili ucompete Big unahitaji Big Players nasio small fishes. Weye nani unaemjua katokea Championship halafu kawa Super star katika kipindi cha miaka 10 hii? Jimmy Vardy anatengenezewa filamu ujue kama sio jambo lakawaida kabisa.
 
Kwa hiyo hawa waliotoka Serie A, Arsenal ndio wataweza, Batshuayi!!. Batshuayi ni mchezaji mzuri ila nyota yake bado inaendelea kuwa mbaya na kama unacheza kamari kwa kete ya Batsuayi, umeamua tu mweneywe kujimaliza kwa 75%
kama unacheza kamari kwa kete ya Tammy angalau, umeamua tu kujimaliza kwa 30-40% 60-70% atafanya vizuri. Naomba hii itokee, wote wabakizwe na wapewe mechi za EPL ili tuone, mkishinda is OK ila nawasiwasi kama mtashinda

Ni mchezaji mzuri kwa kiwango cha relegation battles na sio Champion League Battles
 
Unajua kwenye timu kubwa demand na pressure ya expectations iko high na ndio maana mchezaji anaweza fanya vizuri Atletico Madrid kuliko Real Madrid au Chelsea, sometimes hii inachangia. Nakubali pia sio kila mara pesa inaamua timu inapata wachezaji wazuri ila pesa ikitumika vizuri mara chache of course inaweza kuleta matokeo bora. Wee chukulia mfano Diego Costa, katoka Chelsea moto kaenda kupoa Atletico, Ila nawakumbuka wachezaji kama akina Ronaldo Delima, Maradona, Cristiano Ronaldo moto ule ule

Mkuu ninachomaanisha mimi kwenye usajili kunahitaji utaalamu na umakini, Timu nyingi hasa za kiingereza zinakua zinakurupuka tu. Hii inatokana na management na mpangilio wao wa usajili ni mbovu. Na ndio mana skuizi timu zinaiga hii style yakua na Sporting Director amabaye anakua msimamizi au mtaalamu wa mambo ya Usajili.

Mfano mdogo itizame jinsi Man City ilivyojengwa na Jinsi PSG ilivyojengwa. PSG ilijengwa ndani ya mwaka tayari walikwishakua na timu nzuri ya ushindani kuanzia Mwalimu mpaka wachezaji. Lakini Man City Ilichua karibu miaka minne 4 kuwa sawa huku wakibambikwa mizoga tele tu akina Adebayo, Cliach, Lescout na wengine. PSG walikuaja na Smart signing from the beginning akina Thiago Silva, Thiago Motta, Zlatan, Lavezzi.
 
Mkuu huyu hana chakuiva. Huyu Bomu ambalo lilishakuepo pale na likavurunda.
Zouma ni beki mzuri hasa kwenye Defensive phase kuliko hata akina Luiz na Rudidger kwa sababu yeye ni mwepesi na mrefu. Sisi Chelsea tunamuhitaji sana hata kama tusingekuwa na ban
 
Hawa watu wana fikra za jabu kabisa. Yani striker wa Championship ndio umeletee umtegemee kwa kugomabania ubingwa EPL pamoja na Champion League. Ni vichekesho kabisa.
Ndg sisi hatugombei ubingwa wa EPL mwakani tukiwa bado na hii ban iko mdomoni. Alternative hizi zinakuja kwa sababu ya ban na hata Batshuayi tumtegemee yeye kucontest EPL title ni ndoto. Sisi mwakani tutapigania heshima mjini tu
 
Mkuu huyu hana chakuiva. Huyu Bomu ambalo lilishakuepo pale na likavurunda.
Sometimes nashindwa kuelewa keywords mnazotumia kana kwamba mnaishi sayari yenu wenyewe. Zouma kaitwa timu ya Taifa, Mabingwa wa dunia kama CB halafu bado unasema bomu, kavurunda, haya nyie wataalamu wa football kuliko Didier Deschamps Meneja aliyeipatia Taifa la Ufaransa ubingwa wa Dunia kamuona anafaa na kamuita kwenye timu ya Taifa. Marco Silva ana mpango wa kumnunua kabisa Chelsea wasipomuhitaji .
 
Marco Silva ni kocha wa timu gani? na timu yake inashinda nini? Lazima utafautishe mchezaji anewaniwa na mid table timu na timu kubwa. Zuma hajawahi kwa World Class defender wala hana dalili zakua.
Na kuhusu France mkuu wachezaji wengi tu wameshaitwa kwenye timu ya taifa haimaanishi ndio wana ubora, Wengine ni kwa majaribio tu. Je alikuwemo kwenye kikosi cha World Cup? hicho ndio kigezo.
 
Mkuu.. Zouma asingeweza kuitwa timu ya taifa mwaka jana kwa sababu bado alikua ana recover kutoka majeruhi japo alikua amesha cheza baadhi ya mechi lakin haikua kwa kiwango kikubwa kama alichokuwa nacho kabla ya majeraha. Kwa sasa kesharejea na ndio maana kaitwa tena. Pia kuitwa kwake haimaanishi yeye ni bora kuliko wengine ila kocha wake anauona mchango pia kuna tetesi hata Arsensl na wanamtaka.

Sasa kishokomzobe unaepiga pampalila humu hatukuelewi mzee.
 
Ndg sisi hatugombei ubingwa wa EPL mwakani tukiwa bado na hii ban iko mdomoni. Alternative hizi zinakuja kwa sababu ya ban na hata Batshuayi tumtegemee yeye kucontest EPL title ni ndoto. Sisi mwakani tutapigania heshima mjini tu
Huyu jamaa wa jukwaa gani.? Ni Liverpool au Manure.?
 
Mkuu.. Zouma asingeweza kuitwa timu ya taifa mwaka jana kwa sababu bado alikua ana recover kutoka majeruhi japo alikua amesha cheza baadhi ya mechi lakin haikua kwa kiwango kikubwa kama alichokuwa nacho kabla ya majeraha. Kwa sasa kesharejea na ndio maana kaitwa tena. Pia kuitwa kwake haimaanishi yeye ni bora kuliko wengine ila kocha wake anauona mchango pia kuna tetesi hata Arsensl na wanamtaka.

Sasa kishokomzobe unaepiga pampalila humu hatukuelewi mzee.

Huwezi sikia Man City, Real au Barca wanamtaka Zuma. Hizo kina Arsenal ndio wenzenu abao mnaishia kugombea nafasi ya 4. Hawa kina Zuma ndio wanaojipiga mitama wenyewe wanapokutana na kina Leo Messi
 
Wachezaji wa Championship kibao wanawaniwa na timu za EPL nyie sijui mna matatizo gani.? Daniel James wa Swansea anawaniwa na Man Utd, Tammy zipo ofa kibao moja ni ya Everton. Wanachokiona kwa hawa wachezaji sijui nyie ni kina nani hamkioni? Championship mnaichukuliaje wazee!!

Hivi hamjui kinachomjenga mchezaji ni pamoja na kupata playing time ya kutosha na ndio maana wanapelekwa kwa mkopo.!! Mnaenelewa hata maana ya Field kwa wanafunzi, faida zake labda?

Mnisamehe najaribu kutafuta namna nzuri kuwaelezea mkanielewa.
Sasa Everton unaifananisha na Chelsea kwa malengo?

Kila msimu Chelsea inawaza kutwaa kombe angalao moja, evertoni malengo yao ni kubaki ligi kuu tu
 
Mkuu huyu hana chakuiva. Huyu Bomu ambalo lilishakuepo pale na likavurunda.
Kwa zouma namtetea kabla ya kuvunjika mguu alkuwa ameshapata namba kabisa na kuanza kuaminika, aliporudi kutoka majeruhi, ikawa ngumu kuanza pale alipoishia ndio tukaanza kumtoa kwa mkopo
 
Kwa zouma namtetea kabla ya kuvunjika mguu alkuwa ameshapata namba kabisa na kuanza kuaminika, aliporudi kutoka majeruhi, ikawa ngumu kuanza pale alipoishia ndio tukaanza kumtoa kwa mkopo

Basi mungemrejusha mukampa namba. Ili kina Leo Messi na Bernado Silva wapate uchochoro wakupitia.
 
Ndg sisi hatugombei ubingwa wa EPL mwakani tukiwa bado na hii ban iko mdomoni. Alternative hizi zinakuja kwa sababu ya ban na hata Batshuayi tumtegemee yeye kucontest EPL title ni ndoto. Sisi mwakani tutapigania heshima mjini tu
Mi napingana na wewe kabisa, Chelsea itagombea ubingwa labda tu ikose Bahati, ila sio kisa tumefungiwa kusajili ndio tushindwe kubeba au kugombania EPL

Tuna wachezaji wanaoweza kuifanya hiyo kazi vizuri tu

Shida ya Chelsea ni mabeki kutoifanya kazi yao vizuri na washambuliaji pia kushindwa kutimiza majukumu yao.

Kama haya matatizo mawili watayarekebisha kwa hawa hawa wachezaji tulio nao ubingwa tutagombea vizuri tu
 
Sasa Everton unaifananisha na Chelsea kwa malengo?

Kila msimu Chelsea inawaza kutwaa kombe angalao moja, evertoni malengo yao ni kubaki ligi kuu tu
Mkuu haya ni maoni yako nami nayaheshimu, hatupo hapa kujadili malengo ya kila timu za ligi kuu. Nadhani msimu ujao dogo akirudi na akapata playing time ya kutosha mnaweza kusema wenyewe ni wapi anastahili. Hizi timu mnazoziponda ndio mara moja zinatutoa kamasi tukikutana.

Kinachonishangza mchezaji anayesajiliwa Everton au mid class teams anaonekana hawezi kusajiliwa na timu za top 6 kwakua tunatofautiana malengo. Hahaa hii kitu labda ligi nyingine siyo EPL.
 
1107266

Chelsea wametaja bei yao ...
Chelsea wametaja dau wanalohitaji kwa Eden Hazard, na ni Pauni Milioni 130 ( Sky Sports )
Real Madrid wanamthaminisha Hazard kwa kiasi cha Pauni Milioni 88.1 kwasababu anaingia kwenye miezi yake 12 ya mwisho ya mkataba na Chelsea , Hazard ataruhiswa kuondoka lakini pale tu ada itakapokuwa sahihi.
Hata hivyo Chelsea hawana presha yoyote ya kuuza na makubaliano ya mustakabali wa Hazard yanasimamiwa na Mkurugenzi wa Chelsea, Marina Granovskaia.
 
Huwezi sikia Man City, Real au Barca wanamtaka Zuma. Hizo kina Arsenal ndio wenzenu abao mnaishia kugombea nafasi ya 4. Hawa kina Zuma ndio wanaojipiga mitama wenyewe wanapokutana na kina Leo Messi
Hizo timu unazozidharau zinacheza Europa League final tar 29. Huyo Chelsea kaingia fainal ya Carabao cup pia kamaliza ligi nafasi ya 3. So usichukulie poa.

Hapa chini nimekuwekea takwimu za Zouma na mmoja kati ya mabeki bora msimu huu ulioisha. Zingatia Zouma ametoka majeruhi pia angalia na mechi alizocheza.
kurt_zouma-vs-aymeric_laporte.jpeg
 
Hizo timu unazozidharau zinacheza Europa League final tar 29. Huyo Chelsea kaingia fainal ya Carabao cup pia kamaliza ligi nafasi ya 3. So usichukulie poa.

Hapa chini nimekuwekea takwimu za Zouma na mmoja kati ya mabeki bora msimu huu ulioisha. Zingatia Zouma ametoka majeruhi pia angalia na mechi alizocheza.View attachment 1107267
Mkuu Southern hizo ni offensive stats, vip kwa upande wa defensive, maana mabeki huwa tunawajude zaidi katika majukumu yao ya kukaba kulilo kushambulia
 
Huwezi sikia Man City, Real au Barca wanamtaka Zuma. Hizo kina Arsenal ndio wenzenu abao mnaishia kugombea nafasi ya 4. Hawa kina Zuma ndio wanaojipiga mitama wenyewe wanapokutana na kina Leo Messi
We una shida
Wachezaji woote wanaotakiwa nna Man city, Barca, RM ni wazuri pekee yao, ingekuwa hivyo wasingekuwa na pakuwaweka. Toka Enzi za akina Pele, Maradon na hadi leo, wachezaji wazuri wapo tu na wote hawaenei kwenye few rich clubs. Mimi naona hayo ni mawazo na mtizamo finyu juu ya ubora wa wachezaji. Barca, Real na timu nyingine Tajiri zimeishia kuchukua wachezaji wa kawaida au kuwa na interest na wachezaji wa kawaida sana ni wewe tu ndie huoni kwa sababu sijui wewe ni Real Madrid au Juve. Una chuki binafsi na baadhi ya wachezaji wa Chelsea, Sorry mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom