Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Zouma keshaiva arudi kusaidiana na Tony, Chris & Luiz.
Eden tusipange sana timu kana kwamba sisi ni Sarri au Benji la ufundi la Sarri, tuache tu ila ukweli ni kwamba Chelsea wanawapenda wazoefu akina Giroud ndio maana kapewa tena mkataba, Higuaín atapewa kwa sababu kwa asilimia 90 Sari anabaki Chelsea na hao wazoefu wawili wakibakizwa hakuna cha Batshuayi wala Tammy.Tamy anafunga dhidi ya mabeki wa aina gani ?
Msifananishe mabeki wa EPL na championship
Chemistry ya timu ndio inaamua ufungaji, kwa Chelsea kuwa mfungaji mzuri lazima uonyeshe jitihada kama striker ndio maana akina Higuaín na Girou wanasota, Tammy anahangaika kutafuta spaces, anaruka, wewe umeng'ang'ana tu anawafunga mabeki gani, mimi ningependa waje wote wacompete. Naamini Tammy atafunga akiwa na timu yeyote, tofauti na hawa tulionao including BatshuayiTamy anafunga dhidi ya mabeki wa aina gani ?
Msifananishe mabeki wa EPL na championship
Hata mimi nili overlook case ya Bakayoko na nilibase na taarifa za zamani.
Sio Milan ndio hawamuhitaji, soma taarifa vizuri. Bakayoko ndie hataki tena Itally kwa sababu za ubaguzi wa rangi uliomkumba. Kabla ya hizo incident alitamani sana kubaki AC Milan lakini sasa anatamani kurudi Chelsea, aje tu asaidiane na Jourginho kama Sarri atamkubali
Taarifa hii ya Mei Mosi 2019
After a dismal start to the season, Bakayoko is impressing in the heart of midfield during his loan spell.
AC Milan were hoping to make the 24-year-old's temporary stay a permanent one after becoming a vital cog in Gattuso's plans.
But Calcio Mercato report that the Italian side could now perform a dramatic U-turn because they have concerns with his attitude off the field. (Hii ilianza baada ya kunyanyapaliwa kibaguzi)
It also comes after Bakayoko and team-mate Franck Kessie were forced to apologies after holding up Lazio's Francesco Acerbi's shirt like a trophy after their 1-0 home win.
Before the contest Acerbi claimed that Lazio were the "stronger" team while Bakayoko responded "OK Acerbi see you Saturday."
AC Milan released a statement saying the incident had "no mockery, no aggressive or anti-sporting intentions".
Bakayoko has previously revealed how staying at the San Siro would be a "dream."
But reports suggest he is reconsidering his future in Italy after suffering racist abuse in the clash against Lazio.
AC Milan will need to fork out £30million - £10m less than Chelsea paid Monaco for him in 2017 - to land him permanently.
Bakayoko was forced to apologise for holding up Acerbi's shirt
https://www.thesun.co.uk/sport/8991940/ac-milan-tiemoue-bakayoko-back-chelsea/
Weye unazichuukuliaje hizo timu? timu zenye uwezo wa wastani tu wakifedha huwezi zilinganisha kabisa na top 10 za PL, Lakini tizama mafanikio na hadhi za timu zao zilivyo. Atletico imekua timu ya kiwango cha juu kutokana na kuwa na usajili wa makini. Godin, Miranda, Filipe Luiz, Juanfran, Costa, Gabi, Arda, hawa wote walisajiliwa kwa pesa za kawaida tu mkuu, Ila timu ilikua makini kwneye usajili wake. Sasa timu kama Man Utd inaweza sajili hata 200m kila msimu lakini bado timu ikawa bomu. Hapo ndipo unapopata tafauti ya usajili makini na usajili wa hovyo hovyo.Nashukuru mungu nafuatilia mpira kwa upana sana. Labda Bakayoko we umemjua aliposajiliwa Chelsea. Halafu umesema Atl Madrid na Borrusia ni timu gani.?
Kwa hiki kikosi msimu ujao nafasi ya 10
Tamy anafunga dhidi ya mabeki wa aina gani ?
Msifananishe mabeki wa EPL na championship
Naona mikoba anapewa Lampard mchana kweupe!!
Zouma keshaiva arudi kusaidiana na Tony, Chris & Luiz.View attachment 1106159
mkuu Southern Highland nilikuwa namaanisha hapa ulipomquote jamaa alipokuwa anajaribu kufafanua juu ya makocha hawa wanaoangaliwa na juve ili kwenda kumreplace Massimiliano pale atapoondoka mwishoni mwa msimu baada ya kuwepo kwa ugumu wa kupatikana kwa Sarri,lakini wewe ukaelewa kama hao makocha aliowataja ndio wanahitajiwa na chelsea kumreplace Sarri......nafikiri umenisoma brooSarri hatuna option, Juve baada ya kuchungulia kiasi Chelsea watadai kwa kumchukua Sarri wameamua kumgeukia Pochettino, Pep na Conte. Na najua Chelsea hawako tayari kumfukuza Sarri asije kudai mkataba wake wa Paundi mil 5. Sarri tunaye angalau kwa mwaka mmoja ujao
Mkuu tunapozungumzia timu yenye uwezo kipesa tunazungumzia mchezaji wanayemchukua pamoja kwa gharama yake. Angalia usajili wanaoufanya Dortmund, mchezaji katoka borussia mönchengladbach Thorgan Hazard kaenda dortmund, wamemsajili Brandt kutoka Leverkusen, hapo nazungmzia katoka timu ya maana kaenda timu ya maana. Mkuu kumbuka hao wachezaji walikua wanawaniwa pia na timu kubwa kama Liverpool pia Man City waliwahi kuwahitaji, nakuonyesha ni kwa jinsi gani hizo timu pia zinaweza ku compete kwenye soko la usajili.Weye unazichuukuliaje hizo timu? timu zenye uwezo wa wastani tu wakifedha huwezi zilinganisha kabisa na top 10 za PL, Lakini tizama mafanikio na hadhi za timu zao zilivyo. Atletico imekua timu ya kiwango cha juu kutokana na kuwa na usajili wa makini. Godin, Miranda, Filipe Luiz, Juanfran, Costa, Gabi, Arda, hawa wote walisajiliwa kwa pesa za kawaida tu mkuu, Ila timu ilikua makini kwneye usajili wake. Sasa timu kama Man Utd inaweza sajili hata 200m kila msimu lakini bado timu ikawa bomu. Hapo ndipo unapopata tafauti ya usajili makini na usajili wa hovyo hovyo.
Wachezaji wa Championship kibao wanawaniwa na timu za EPL nyie sijui mna matatizo gani.? Daniel James wa Swansea anawaniwa na Man Utd, Tammy zipo ofa kibao moja ni ya Everton. Wanachokiona kwa hawa wachezaji sijui nyie ni kina nani hamkioni? Championship mnaichukuliaje wazee!!Hawa watu wana fikra za jabu kabisa. Yani striker wa Championship ndio umeletee umtegemee kwa kugomabania ubingwa EPL pamoja na Champion League. Ni vichekesho kabisa.
Sorry, wewe ni wa jukwaa gani mkuu?Mkuu huyu hana chakuiva. Huyu Bomu ambalo lilishakuepo pale na likavurunda.
There are no better media, ziwe Itally au British wote wanauza Gossips ili wapate mshahara. Issue kuu ni kwamba huo mkasa ulitokea na kesi ya Acerbi jezi yake kuonyeshwa kama trophy ilikuwa na majingambo ya kawaida katika michezo kwa sababu Acerbi aliwaambia Lazio ni bora kuliko AC Milan na baada ya Franck Kessie kufunga kwa penalty goli la pekee lililowapa ushindi Milan, ndipo Bakayoko na Franck Kessie wakabeba jezi la Acerbi kumgambia kuwa wao ndio bora kuliko wao. Hata AC Milan walitoa statement kuwa hakukuwa na unyanyapaa wowote kwenye tukio hilo. Whatever is Bakayoko arudi asirudi sawa ila akija apewa nafasi kwenye mfumo wa Sarri ili wamjaribuHizo bila ya shaka ni British based meidia. Habari za italy zitafute vyombo vya habari vya kitaliana ndivyo utazipata vizuri.
Kesi ya Acerbi ni wazi kuwa kina Bakayoko walikua wrong na walistahiki adhabu.
Na bakayoko ameonesha matokea tafauti ya utovu wa nidhamu na ndio mana milan wameachana nae wakaamua kutafuta kwengine. Pia bei yake kwao ilikua ni kubwa na ndio mana pia walichukua mda mwingi kuitafakari. Any way wanachukua kifaa chengine kwa 25m tu siku za karibuni.
Unajua kwenye timu kubwa demand na pressure ya expectations iko high na ndio maana mchezaji anaweza fanya vizuri Atletico Madrid kuliko Real Madrid au Chelsea, sometimes hii inachangia. Nakubali pia sio kila mara pesa inaamua timu inapata wachezaji wazuri ila pesa ikitumika vizuri mara chache of course inaweza kuleta matokeo bora. Wee chukulia mfano Diego Costa, katoka Chelsea moto kaenda kupoa Atletico, Ila nawakumbuka wachezaji kama akina Ronaldo Delima, Maradona, Cristiano Ronaldo moto ule uleWeye unazichuukuliaje hizo timu? timu zenye uwezo wa wastani tu wakifedha huwezi zilinganisha kabisa na top 10 za PL, Lakini tizama mafanikio na hadhi za timu zao zilivyo. Atletico imekua timu ya kiwango cha juu kutokana na kuwa na usajili wa makini. Godin, Miranda, Filipe Luiz, Juanfran, Costa, Gabi, Arda, hawa wote walisajiliwa kwa pesa za kawaida tu mkuu, Ila timu ilikua makini kwneye usajili wake. Sasa timu kama Man Utd inaweza sajili hata 200m kila msimu lakini bado timu ikawa bomu. Hapo ndipo unapopata tafauti ya usajili makini na usajili wa hovyo hovyo.
Kwa hiyo hawa waliotoka Serie A, Arsenal ndio wataweza, Batshuayi!!. Batshuayi ni mchezaji mzuri ila nyota yake bado inaendelea kuwa mbaya na kama unacheza kamari kwa kete ya Batsuayi, umeamua tu mweneywe kujimaliza kwa 75%Hapo ndipo watakapokuja kufahamu kama mihemko sio jambo zuri. Nafasi ya 6 inawasubiri