Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Rasilimali za Chelsea zilizo tayari hizi hapa
  1. Reece James – Wigan Athletic -20-year-old play as RB
  2. Ola Aina – Torino - 22-year-old play as RB
  3. Kurt Zouma – Everton - The 24-year-old play as CB kama huamini angalia hapa https://www.youtube.com/watch?v=KIq5mVQsEMs
  4. Christian Pulisic – Borussia Dortmund - 20-year-old play as LW
  5. Tammy Abraham – Aston Villa -21-year-old play as striker
  6. Mason Mount – Derby County - 20-year-old play asMidfield
Kwa maoni yangu walio tayari hapo ni, pulisic, zouma, batshuay,

Hao wengine waendelee na mikopo waive vizuri, kwa sababu hata wakirudi hawana nafasi kwenye kikosi cha kwanza
 
Kwani Higuain kaongezwa mkataba.? Pamoja na hivyo nadhani hatufai huyu jamaa. Tuwape nafasi kina Tammy na Batshuayi.
Higuaín bado ila Sarri akibakia ni asilimia kubwa ataongezewa loan kwa sababu agreement ya Chelsea na Juve inaruhusu extension ya loan
 
Haujawataja Batshuayi, Tomori na Bakayoko.
Bakayoko hana mapenzi kabisa na Chelsea na mashabiki wengi wanashauri auzwe kabisa maana Milan wanamuhitaji, Batshuayi bado ni afadhali Tammy acheze along Giroud ambaye sasa confirmed kaongezewa mkataba.Uko sahihi kwa Tamori anaweza cheza na Luiz kwenye Central fullback
 
Kama itakua ivyo basi nafasi ya Tammy itakua ndogo sana au tuingie msimu msimu ujao na striker watutu walau Sarri atakua na option kubwa na kikosi kipana.

Mimi naamini huu wakati wa Tammy
Higuaín bado ila Sarri akibakia ni asilimia kubwa ataongezewa loan kwa sababu agreement ya Chelsea na Juve inaruhusu extension ya loan
 
Hata kama atauzwa ila tutajutia sana. Kama mgt itampa support naamini hata mashabiki watamkubali tu. Ile ni kazi bhana, kwani wachezaji wangapi wanafanya kazi kwenye timu ambazo hawana mapenzi nazo.

Refer Poor Lius, Barcelona na Madrid(Enrique na Figo)
Bakayoko hana mapenzi kabisa na Chelsea na mashabiki wengi wanashauri auzwe kabisa maana Milan wanamuhitaji, Batshuayi bado ni afadhali Tammy acheze along Giroud ambaye sasa confirmed kaongezewa mkataba.Uko sahihi kwa Tamori anaweza cheza na Luiz kwenye Central fullback
 
Sarri abaki. Wewe unasemaje.?
Sarri hatuna option, Juve baada ya kuchungulia kiasi Chelsea watadai kwa kumchukua Sarri wameamua kumgeukia Pochettino, Pep na Conte. Na najua Chelsea hawako tayari kumfukuza Sarri asije kudai mkataba wake wa Paundi mil 5. Sarri tunaye angalau kwa mwaka mmoja ujao
 
Kwa maoni yangu walio tayari hapo ni, pulisic, zouma, batshuay,

Hao wengine waendelee na mikopo waive vizuri, kwa sababu hata wakirudi hawana nafasi kwenye kikosi cha kwanza
Eden kwa Tammy Abraham umekosea, mimi Nampa credits Tammy over Batshuayi
 
Pep tusahau, Pochettino 50/50 kwa Conte nahisi ndio haiwezekani kwa sababu ya kisanga kilichotokea wakati wake. Hapo wanaotajwa sana ni Tuchel na Lamps ambapo kwa Lampard naona bado ni mapema sana.

Kama Sarri ataamua kuondoka japo keshasema ana mapenzi na London basi naona Tuchel ndio atafaa.
Sarri hatuna option, Juve baada ya kuchungulia kiasi Chelsea watadai kwa kumchukua Sarri wameamua kumgeukia Pochettino, Pep na Conte. Na najua Chelsea hawako tayari kumfukuza Sarri asije kudai mkataba wake wa Paundi mil 5. Sarri tunaye angalau kwa mwaka mmoja ujao
 
Pep tusahau, Pochettino 50/50 kwa Conte nahisi ndio haiwezekani kwa sababu ya kisanga kilichotokea wakati wake. Hapo wanaotajwa sana ni Tuchel na Lamps ambapo kwa Lampard naona bado ni mapema sana.

Kama Sarri ataamua kuondoka japo keshasema ana mapenzi na London basi naona Tuchel ndio atafaa.
Ni ngumu sana kwa Chelsea kupata kocha ambaye tayari ana mkataba na timu yake mfano huyo Pochetino, labda tujaribu kwa hao wanaotimuliwa na timu zao kwa kufanya vibaya hao ndio tunaweza kuwapata, historia ya Chelsea inajulikana kuwa hatuwezi kudumu na makocha misimu miwili mfululizo.
 
Hii kitu inatu cost mnoo ndio maana kila msimu tunapumulia mshine. Msimu huu tunaweza kuwa moto msimu ujao tunakua hoi. Tumuache Sarri ajenge timu tutakuja kufurahia baadae.
 
board ya Chelsea inakosa uvumilivu wenyewe wanawaza tu kushinda makombe, hawajui kocha na yeye anatakiwa apewe muda wa kujenga timu
 
Ndio maana nafurahia ujio wa Petr Cech kama mkurugenzi wa michezo. Inaweza kuwa tija sana kwetu na kuibadilisha timu kwa ujumla.
board ya Chelsea inakosa uvumilivu wenyewe wanawaza tu kushinda makombe, hawajui kocha na yeye anatakiwa apewe muda wa kujenga timu
 
Conte anamtaka Victor Moses kusajiliwa haraka Inter MiIlan. Taarifa zinadai kuwa Conte anaweza kuanza kazi ya ukocha na timu ya Inter Milan wiki ijayo na sharti lake la kwanza ni kuitaka manajimenti kumsajili Victor Moses awe Right Wing wake. Ikumbukwe kuwa Moses alinufaika kucheza Chelsea wakati wa Conte tu, kabla na baada ya Conte victor alisahaulika ndani ya Chelsea
 
Pep tusahau, Pochettino 50/50 kwa Conte nahisi ndio haiwezekani kwa sababu ya kisanga kilichotokea wakati wake. Hapo wanaotajwa sana ni Tuchel na Lamps ambapo kwa Lampard naona bado ni mapema sana.

Kama Sarri ataamua kuondoka japo keshasema ana mapenzi na London basi naona Tuchel ndio atafaa.
Uko sawa, Conte hakuondoka vizuri na pia latest news zinasema kuwa Conte anachukuliwa na Inter Milan. PEP bado ana mission ya UCL na Man city
 
Ni ngumu sana kwa Chelsea kupata kocha ambaye tayari ana mkataba na timu yake mfano huyo Pochetino, labda tujaribu kwa hao wanaotimuliwa na timu zao kwa kufanya vibaya hao ndio tunaweza kuwapata, historia ya Chelsea inajulikana kuwa hatuwezi kudumu na makocha misimu miwili mfululizo.
Sarri alichukuliwa akiwa na mkataba na Napoli
 
labda sikufuatilia vzuri, ila mm najua walikua washamchukua Anceloti tayari kabla hawajamtolea Sarri nje
Hapana, Ancellotti alichukuliwa baada ya Sarri kukubali ajira ya Chelsea.
Chelsea ililipa paundi mil 7 kuvunja mkataba wake na Napoli. Napoli wasingependa kumuacha kocha aliyeipatia timu mafanikio makubwa ya kumlazimisha Juve kutwaa ubingwa kwenye mechi ya mwisho
 
Bakayoko hana mapenzi kabisa na Chelsea na mashabiki wengi wanashauri auzwe kabisa maana Milan wanamuhitaji, Batshuayi bado ni afadhali Tammy acheze along Giroud ambaye sasa confirmed kaongezewa mkataba.Uko sahihi kwa Tamori anaweza cheza na Luiz kwenye Central fullback

Mkuu Milan haimuhitaji Bakayoko, tayari kasharuhusiwa kuondoka kwa amani tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom