Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kama ungepewa wewe nafasi ungetuletea striker gan pale?

Chelsea walifanya kosa kubwa pale walipoacha kumsajili Piatek wakenda kujitwisha mzigo Higuain. Piatek ni wold class striker, Hivi sasa kumtoa pale Milan utahitaji sichini ya 70m.

Piatek, Ciro Immobile, Belotti, Milik. Na hata Cavani bado risk nzuri unayoweza kufanya.

Ila kwa Batshuayi ni garasa ambalo litaendelea kutia machungu ya pesa walizopigwa kipindi cha walipouziwa.
 
Kumbe huelewi hata nilichokua naongelea. Hao wachezaji ulowaja ni wachezaji wa Chelsea walio kwa mkopo.? Unawasajili vip na kifungo chetu hiki.? Mistake ishafanyika sa ivi tunaangalia mbele mkuu.

Mimi nimejibu swali lako tu mkuu kwa ulivyouliza.

Ila kwa hali ya mazingira ilvyo, ikiwa option ya kuendelea na Higuain itawezekana basi itakua ni bora zaidi mara 10 kuliko kwa Batshuayi.

Ila kwa Batshuayi basi waanze kujiandaa na nafasi ya sita.
 
board ya Chelsea inakosa uvumilivu wenyewe wanawaza tu kushinda makombe, hawajui kocha na yeye anatakiwa apewe muda wa kujenga timu
Chelsea haina muda wa kujenga team, wachezaji waliopo ni kuwaunganisha tu na kuchukua makombe.

Kutimua makocha ni sawa kwa sababu tuna wachezaji wa viwango vya dunia Ila msimu huu tumwache sarri kwanza tutamfukuza msimu ujao kama akiboronga.

Kwa sasa tutamuonea bure Sari ball
 
Mkuu dah Viwango vya dunia unavifahmu?

Williun, Pedro, Azpilicueta, Luis, Rudiger, Giroud, Higuain, Cahil, Barkley Ni magarasa mkuu tena wengine wa kiwango cha juu kabisa.
 
Mimi nimejibu swali lako tu mkuu kwa ulivyouliza.

Ila kwa hali ya mazingira ilvyo, ikiwa option ya kuendelea na Higuain itawezekana basi itakua ni bora zaidi mara 10 kuliko kwa Batshuayi.

Ila kwa Batshuayi basi waanze kujiandaa na nafasi ya sita.
Mkuu usajili wowote ni kamari hujui kama utatick au la.
 
Nakubaliana naweye Lakini na utaalamu pia upo ndani yake, na kukurupuka pia kupo ndani yake. Man City walipomsajili Bernad Silva huku Chelsea wakimrukia Bakayoko ule ndio uhalisia wa kua Nani anajielewa nani hajielewa. Timu nyingi zinafeli kwenye usajili wa kukurupuka. Infact timu za Kiingereza kinachowaweka active kwenye mapambano Ulaya ni fedha tu hakuna jengine, Lakini kiusajili always wanakua failure.

Usajili makini ni jambo muhimu sana kwenye timu na ndio mana timu kama Atletico Madrid na Borrusia Dortmand licha ya kua na uwezo wa chini wa kifedha kuliko timu nyingi Ulya waliweza pata mafanikio mazuri tu kimpira miaka ya karibuni kwa sababu ya usajili makini.
 
Tofauti ni kwamba batshuay ni mzoefu, ila Tammy bado hana uzoefu kwenye team kubwa
Batshuayi ana uzoefu wa kutofunga, kjwa umri alionao Batshuayi hana tena bars za kukua ni mchezaji wa kaliba ya goli 6-8 per 38 appearances akizidi sana goli 10. ANgekwua winger ingekuwa afadhali kwa sababu tutamcredit kwa crosi anazotoa kama akina Willian. Lakini yeye ni pure striker kama Higuani na Giroud. of course ningeulizwa Batshuayi over Higuaín au Giroud ningeenda for Batshuayi, ila Batshuayi over Tammy Abrahama no no, youngster na rekodi ya magoli 26, muwe mnaangalia na YouTube skills na uwezo wa huyo dogo. Chelsea ni afadhali wamuachie Odoi aende maana tuna winger wengi kuliko kumuachia Tammy. Chelsea wasipomchukua ataomba kusepa na tutakuja kujuta kama akina MO Salah
Tammy ana sifa zote za ustriker
Open chances goals
Lose balls goals
Header goals
Available to place when needed - anakuwepo kwenye position ya kufunga anapohitajika tofauti na hawa wazee akina Higuaín na Giroud hata Batshuyai hana hizi sifa zote, nimeweka link ya magoli yote 26 alizofunga Aston Villa
 
Mkuu amini kuna watu mpira wanaangalia vijiweni na highlights YouTube. Vitu vingine vipo wazi vinajieleza sijui hawaoni.
 
Nakubaliana naweye Lakini na utaalamu pia upo ndani yake, na kukurupuka pia kupo ndani yake. Man City walipomsajili Bernad Silva huku Chelsea wakimrukia Bakayoko ule ndio uhalisia wa kua Nani anajielewa nani hajielewa. Timu nyingi zinafeli kwenye usajili wa kukurupuka. Infact timu za Kiingereza kinachowaweka active kwenye mapambano Ulaya ni fedha tu hakuna jengine, Lakini kiusajili always wanakua failure.

Usajili makini ni jambo muhimu sana kwenye timu na ndio mana timu kama Atletico Madrid na Borrusia Dortmand licha ya kua na uwezo wa chini wa kifedha kuliko timu nyingi Ulya waliweza pata mafanikio mazuri tu kimpira miaka ya karibuni kwa sababu ya usajili makini.
Nashukuru mungu nafuatilia mpira kwa upana sana. Labda Bakayoko we umemjua aliposajiliwa Chelsea. Halafu umesema Atl Madrid na Borrusia ni timu gani.?
 
Pep tusahau, Pochettino 50/50 kwa Conte nahisi ndio haiwezekani kwa sababu ya kisanga kilichotokea wakati wake. Hapo wanaotajwa sana ni Tuchel na Lamps ambapo kwa Lampard naona bado ni mapema sana.

Kama Sarri ataamua kuondoka japo keshasema ana mapenzi na London basi naona Tuchel ndio atafaa.
Umekurupuka sanaaaaaa
 
Mkuu Milan haimuhitaji Bakayoko, tayari kasharuhusiwa kuondoka kwa amani tu
Hata mimi nili overlook case ya Bakayoko na nilibase na taarifa za zamani.

Sio Milan ndio hawamuhitaji, soma taarifa vizuri. Bakayoko ndie hataki tena Itally kwa sababu za ubaguzi wa rangi uliomkumba. Kabla ya hizo incident alitamani sana kubaki AC Milan lakini sasa anatamani kurudi Chelsea, aje tu asaidiane na Jourginho kama Sarri atamkubali

Taarifa hii ya Mei Mosi 2019

After a dismal start to the season, Bakayoko is impressing in the heart of midfield during his loan spell.
AC Milan were hoping to make the 24-year-old's temporary stay a permanent one after becoming a vital cog in Gattuso's plans.

But Calcio Mercato report that the Italian side could now perform a dramatic U-turn because they have concerns with his attitude off the field. (Hii ilianza baada ya kunyanyapaliwa kibaguzi)

It also comes after Bakayoko and team-mate Franck Kessie were forced to apologies after holding up Lazio's Francesco Acerbi's shirt like a trophy after their 1-0 home win.

Before the contest Acerbi claimed that Lazio were the "stronger" team while Bakayoko responded "OK Acerbi see you Saturday."

AC Milan released a statement saying the incident had "no mockery, no aggressive or anti-sporting intentions".
Bakayoko has previously revealed how staying at the San Siro would be a "dream."

But reports suggest he is reconsidering his future in Italy after suffering racist abuse in the clash against Lazio.
AC Milan will need to fork out £30million - £10m less than Chelsea paid Monaco for him in 2017 - to land him permanently.
Bakayoko was forced to apologise for holding up Acerbi's shirt
https://www.thesun.co.uk/sport/8991940/ac-milan-tiemoue-bakayoko-back-chelsea/
 
Batshuayi ana uzoefu wa kutofunga, kjwa umri alionao Batshuayi hana tena bars za kukua ni mchezaji wa kaliba ya goli 6-8 per 38 appearances akizidi sana goli 10. ANgekwua winger ingekuwa afadhali kwa sababu tutamcredit kwa crosi anazotoa kama akina Willian. Lakini yeye ni pure striker kama Higuani na Giroud. of course ningeulizwa Batshuayi over Higuaín au Giroud ningeenda for Batshuayi, ila Batshuayi over Tammy Abrahama no no, youngster na rekodi ya magoli 26, muwe mnaangalia na YouTube skills na uwezo wa huyo dogo. Chelsea ni afadhali wamuachie Odoi aende maana tuna winger wengi kuliko kumuachia Tammy. Chelsea wasipomchukua ataomba kusepa na tutakuja kujuta kama akina MO Salah
Tammy ana sifa zote za ustriker
Open chances goals
Lose balls goals
Header goals
Available to place when needed - anakuwepo kwenye position ya kufunga anapohitajika tofauti na hawa wazee akina Higuaín na Giroud hata Batshuyai hana hizi sifa zote, nimeweka link ya magoli yote 26 alizofunga Aston Villa
Kipaji kipo aisei..
 
A good striker create chances and follow the ball, a regular striker (business as usual striker) wait the ball to follow him in order to score, he does not move here and there and he does not create chances.

Higuaín kwenye mechi nyingi hatembei bali anasubiri awekewe mpira mguuni, Angalau Giroud anatembea lakini na yeye hana attitude wala mentality ya kuscore, yeye mpira ukija akampasia mwingine haraka haraka anaridhika, ule uchu wa kufunga hana
Washambuliaji kama akina Drogba, Diego costa ukiangalia Enzi zao utaona uchu wa kuscore na jinsi wanavyohangaika kutafuta chances na kufuatilia mpira popote na kuweka mitego kwenye chances za wazi na walifanikiwa. Tammy naye anakuja moto na sifa hizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom