Ooooohoo ndugu yangu ulijuaje nilikuwa nafuatilia kwa karibu sana! Na lingine ni yule kijana Gelivinho na Odemwinge vip?Yule E'too naye anataka kuhamia England, akija GUNNERS itakuwa poa sana kwani ataongeza nguvu ya mashambulizi na pia kuziona nyavu za mahasidi wetu. Bado ana uwezo mkubwa tu wa kutandaza kandanda.
Yule E'too naye anataka kuhamia England, akija GUNNERS itakuwa poa sana kwani ataongeza nguvu ya mashambulizi na pia kuziona nyavu za mahasidi wetu. Bado ana uwezo mkubwa tu wa kutandaza kandanda.
Ooooohoo ndugu yangu ulijuaje nilikuwa nafuatilia kwa karibu sana! Na lingine ni yule kijana Gelivinho na Odemwinge vip?
Do we have a policy now to discuss one team only!?
Mkuu fungua Thread yako ya Gunnerz, tuachie wenyewe wazee wa Darajani
teh teh wenger awez mnunua yule akuna jeuri ya kutumia pesa kama mchaga anashinda njaa na pesa mfukoni!Yule E'too naye anataka kuhamia England, akija GUNNERS itakuwa poa sana kwani ataongeza nguvu ya mashambulizi na pia kuziona nyavu za mahasidi wetu. Bado ana uwezo mkubwa tu wa kutandaza kandanda.
Haya Mkuu 🙂 yule mgonjwa wa malaria alias Drogba ni aje msimu ujao?
kocha mbona tayari yupo we ofu ni nini. Usicheze na pesa,cheza na mwenye pesaTafuteni kocha kwanza halafu ndio muongee
teh teh wenger awez mnunua yule akuna jeuri ya kutumia pesa kama mchaga anashinda njaa na pesa mfukoni!
kama totenham watataka drgba atumika katika exchnge na modric mi naona poa kuna tores,kalou,sturdge na dogo wa andrlech lukalu timu bado itakuwa inatshaMkuu BAK ile nimashine bila shida, nadhani msimu ujao Anelka atapata nafasi za shida shida, lakini pale mbele tutawaweka Torres na aidha Drogba ama Kalou