Tukisajiri kiungo namba 8 kipenzi chetu N'golo itabidi aondoke hakuna namna, pia tunaunga mkono kusajiri beki wa kati makini ila zuma arudi kucheza ,pulisic anacheza vizuri akitoka kulia ndio maana Dortmund anapigwa benchi Kali na Sancho dogo wamoto balaa,odoi atakosa namba hakuna namna naona kabisa akiondoka, kwa hivyo kuziba pengo la hazard ni majanga angalau Zaha anafika nusu ya uwezo wa hazard, pia Insigne na wote wanatoka kushoto,tunahitaji namba tisa, hiyo position hatuna mchezaji ,na mfumo wa Sari Depay anatufaa, tusisahau namba 3 hatuna mchezaji, pia azipiculator kachoka kiufupi Team yetu inahitaji repair ya hali ya juu na usajiri tulivyo pigwa stop balaa kubwa