Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tathimini yangu kwa timu yetu pendwa kwa msimu ujao.

BACK LINE.
Chelsea kwa kweli tunahitaji mbadala wa Luiz yan beki mwenye experience na michuano ya ulaya halafu pia tuna hitaji mbadala wa Azpilicueta nadhani msimu ujao atarudishwa R. James aliyekuwa kwa mkopo Wigan. Kama kwenye back line hatutapata beki wa kati au rufaa itakataliwa basi tumrudishe Fikayo Tomori aliye kwa mkopo chini ya Lampard na Derby County, ni beki mzuri sana huyu dogo na ameshiriki 90% ya mechi zote za Derby County. Pia upande wa kushoto kumeshamalika uwepo wa Alonso na Emerson unatosha sana kuukabili msimu ujao. Kwa upande wa kipa hakuna mashaka tunaye mzuri na anaendana na bei yake ila naye caballero apewe mkataba kwa sababu unaisha msimu huu, so ni bora aendelee kuwa mbadala wa Kepa.

MIDFIELD
Kiukweli nadhani Sarri ataendelea kumpa nafasi Jorginho na hata kiuhalisia Jorginho ameonyesha kiwango kizuri kwa baadhi ya mechi na hasa mechi 2-3 zilizopita sema anatakiwa apate mtu wa kumpa back up na kumpa changamoto na hakuna mwingine zaidi ya kumrudisha Bakayoko ukiangalia ana perform vizuri sana Ac Milan. Tukija kwa atacking midfielder nadhani hakuna shida Kante, Barkley, Kovacic na zaidi namuona mbali sana msimu ujao RLC. Atakuja kugombaniwa sana na vigogo huyu dogo.

Inaendelea.. Am ready to be corrected. Mnikosoe.
 
STRIKING FORCE
Foward line ndio tatizo kubwa kwetu msimu huu na hata ule ulioisha. Katika top six Chelsea ndio timu iliyofunga magoli machache sana msimu huu. Kwa hiyo tunahitaji sana clinical striker atakayetupa walau magoli 20 kwa msimu mmoja. Mtu kama Luka Jovic anafaa sana pia our academy graduate like Tammy Abraham ambaye amekuwa na msimu mzuri sana akiwa kwa mkopo Aston Villa amefunga magoli 25 katika mechi 37 hivi wana Chelsea tunataka nini kingine kwa huyu dogo.

Kuhusu CHO hakuna shaka huyu mtoto apate nafasi tu ataonyesha kiwango chake. Pulisic ni mchezaji ambae tayari ameshjitambulisha namna yake ya uchezaji cha msingi muda tu utasema. Willian na Pedro hawa wazee watatoa experience yao kwa hawa watoto. Giroud na Higuain sioni nafasi zao msimu ujao siyo wachezaji wa kutegemea kabisa kwa hiyo wafunguliwe mlango wa kutokea tu. Hazard kama atakuwepo msimu ujao itapendeza sana.

Hiyo ni tathmini yangu kwa kuzingatia walau katika kila idara kuwe na mtu mzima mmoja mwenye experience zake. Sijamzungumzia Hazard kwa sababu simuoni msimu ujao kwa maana Madrid watakua washamalizana naye na nadhani kinacho subiriwa ni kutangazwa kwake. Kuna mahali nilisoma wameandika tar 12/05 ndio mustakabali wake utatangazwa.

Mchezaji bora wa msimu nampa Hazard. Mchezaji chipukizi na CHO. Karibuni wadau wa mpira na mashabiki wote tufanye tathimini na tutoe maoni yetu.
 
Kusaini sio issue, issue ni hajafanya maamuzi na sidhani kama ataondoka kwa fujo, kwa 75% inaelekea muda wowote atakubali kusaini mkataba kwa sababu
  1. kwanza anaupenda mfumo wa Sarriball,
  2. pili Chelsea kuingia top 4 ni motivation kwa wachezaji kama Hazard wanaotafuta makombe makubwa na
  3. tatu mapenzi waliyonayo mashabiki wa Chelsea kwa Hazard inaweza kumfanya akubalki kubaki
Tusubiri tuone, hata Mimi ningependa abaki

Na kama angekuwa anabaki sidhani kama Chelsea wangehangaika na pulisic
 
Mkuu hii sababu siyo kweli kabisa. Huwa namfuatilia sana huyu dogo na ni kweli anapata namba mara nyingi tu na kama hataanza basi lazima aingie baadae kwa sababu pia ni ushindani wa namba na Sancho.
Hata unishawishi vipi sitaamini kamwe eti Sancho ana kiwango kumzidi pulisic kwa namna ninavyomjua pulisic
 
Tathimini yangu kwa timu yetu pendwa kwa msimu ujao.

BACK LINE.
Chelsea kwa kweli tunahitaji mbadala wa Luiz yan beki mwenye experience na michuano ya ulaya halafu pia tuna hitaji mbadala wa Azpilicueta nadhani msimu ujao atarudishwa R. James aliyekuwa kwa mkopo Wigan. Kama kwenye back line hatutapata beki wa kati au rufaa itakataliwa basi tumrudishe Fikayo Tomori aliye kwa mkopo chini ya Lampard na Derby County, ni beki mzuri sana huyu dogo na ameshiriki 90% ya mechi zote za Derby County. Pia upande wa kushoto kumeshamalika uwepo wa Alonso na Emerson unatosha sana kuukabili msimu ujao. Kwa upande wa kipa hakuna mashaka tunaye mzuri na anaendana na bei yake ila naye caballero apewe mkataba kwa sababu unaisha msimu huu, so ni bora aendelee kuwa mbadala wa Kepa.

MIDFIELD
Kiukweli nadhani Sarri ataendelea kumpa nafasi Jorginho na hata kiuhalisia Jorginho ameonyesha kiwango kizuri kwa baadhi ya mechi na hasa mechi 2-3 zilizopita sema anatakiwa apate mtu wa kumpa back up na kumpa changamoto na hakuna mwingine zaidi ya kumrudisha Bakayoko ukiangalia ana perform vizuri sana Ac Milan. Tukija kwa atacking midfielder nadhani hakuna shida Kante, Barkley, Kovacic na zaidi namuona mbali sana msimu ujao RLC. Atakuja kugombaniwa sana na vigogo huyu dogo.

Inaendelea.. Am ready to be corrected. Mnikosoe.
Kwa malengo ya Chelsea huwezi kusema arudishwe fikayo, ni bora aendelee kucheza luiz tu kama tutafungiwa. ni bora hata mento aliesema zouma
 
Tusubiri tuone, hata Mimi ningependa abaki

Na kama angekuwa anabaki sidhani kama Chelsea wangehangaika na pulisic
Pulisic kanunuliwa kumpreplace Hazard, akina Willian na Pedro wamezeeka na hiyo ni backup kwa ajili yao sio Hazard, wa kumpreplace Hazard hasajiliwi kiholela, hivyo, Si unaona replace ya Courtois ilivyofanyika, ndivyo replacement ya Hazard itakavyofanywa
 
Tusubiri ila target ya hazard ni kuondoka, sema anataka kuondoka kwa amani kwa kuwa club imempa heshima kubwa mno toka anatoka Lile
 
Kaunafuu fln hivi mmepewa.
20190508_141845_rmscr-1.jpeg
 
Haiwezekan mkuu mana kama unamanisha David neres yule kazaliwa 97 so kama ana 22 hiv so haiwezekan. Ni youth players tu na awe below 16yrs tu ndy mtasajili
Sasa hapa naweza msajili neres kwenye timu ya vijana then nikampandisha kwenye timu ya senior????
 
Appeal imekataliwa ila Mnaweza sajili mchezaji aliye chini ya miaka 16 tu. Hivyo above 16yrs hamruhusiw kusajili
Hapa nimekupata sasa...

Tuwashike sana magarasa yetu tulionayoa aisee kwa miaka miwili.

Hii miaka miwil loftus cheek atakua tishio england,nauona ugerrald na ulampard kwake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umeshanza sasa
Hapa nimekupata sasa...

Tuwashike sana magarasa yetu tulionayoa aisee kwa miaka miwili.

Hii miaka miwil loftus cheek atakua tishio england,nauona ugerrald na ulampard kwake
 
Ila nasikia wanakata rufaa kwenda CAS. Kuna uwezekano wakapunguziwa adhabu.
 
Anaweza akawasaidia sana..wakitafuta vijana makin wanapandisha taratibu. Ila tu wahakikishe kwa hao vijana, kuja pptential ya kutosha, asijekua kama lingard
Hahaha sasa hapo hakuna unafuu wowote, mtoto wa under 16? Atawasaidia nini?
 
Tathimini yangu kwa timu yetu pendwa kwa msimu ujao.

BACK LINE.
Chelsea kwa kweli tunahitaji mbadala wa Luiz yan beki mwenye experience na michuano ya ulaya halafu pia tuna hitaji mbadala wa Azpilicueta nadhani msimu ujao atarudishwa R. James aliyekuwa kwa mkopo Wigan. Kama kwenye back line hatutapata beki wa kati au rufaa itakataliwa basi tumrudishe Fikayo Tomori aliye kwa mkopo chini ya Lampard na Derby County, ni beki mzuri sana huyu dogo na ameshiriki 90% ya mechi zote za Derby County. Pia upande wa kushoto kumeshamalika uwepo wa Alonso na Emerson unatosha sana kuukabili msimu ujao. Kwa upande wa kipa hakuna mashaka tunaye mzuri na anaendana na bei yake ila naye caballero apewe mkataba kwa sababu unaisha msimu huu, so ni bora aendelee kuwa mbadala wa Kepa.
.
.
.
DEFENCE:

- Ulimaanisha Reece James aje kama mbadala wa Luiz ama Azpilicueta? Mimi nadhani ni vyema Reece aje tena arudi msimu ujao aanze pre-season awe understudy wa D. Luiz maana Reece anacheza kama Fullback.

- Sioni shida ya Azpilicueta bado na Zappacosta anatosha kuwa mbadala wake kwa msimu ujao

- Kurt Zouma huwa anacheza kwa kujituma sana kama huyu Mjerumani A. Rudiger. Kwa kuondoka kwa Cahill na Ethan Ampadu ningependelea Kurt Zouma arudishwe.

Defenders wetu wawe:
- Cesar Azpilicueta
- David Luiz
- Emerson Palmieri
- Kurt Zouma
- Marcos Alonso
- Antonio Rudiger
- Andreas Christensen
- Davide Zappacosta
 
Sidhani kama fanikilio lipp huko. Chelsea watengeneze kikosi chao cha msimu ujao kwaajili ya Uefa na epl kutoka kwa wachezaji waliopo saiv na wale wanaocheza kwa mkopo timu nyingine
Ila nasikia wanakata rufaa kwenda CAS. Kuna uwezekano wakapunguziwa adhabu.
 
MIDFIELD
Kiukweli nadhani Sarri ataendelea kumpa nafasi Jorginho na hata kiuhalisia Jorginho ameonyesha kiwango kizuri kwa baadhi ya mechi na hasa mechi 2-3 zilizopita sema anatakiwa apate mtu wa kumpa back up na kumpa changamoto na hakuna mwingine zaidi ya kumrudisha Bakayoko ukiangalia ana perform vizuri sana Ac Milan. Tukija kwa atacking midfielder nadhani hakuna shida Kante, Barkley, Kovacic na zaidi namuona mbali sana msimu ujao RLC. Atakuja kugombaniwa sana na vigogo huyu dogo.
.
.
.
MIDFIELD:

- I don't rate Kovacic. Halafu kuna hofu ya Real Madrid kutaka kumtumia Kovacic kwenye deal la kumnunua Hazard hivyo kwangu ni heri arudi.

- Danny Drinkwater auzwe tu maana naona Sarri hajamkubali.

- Sijaona kati ya vijana waliopo on loan wa kumrudisha ambaye atafanya vizuri zaidi ya waliopo.

- Kuna hatihati ya Bakayoko kurudi kwa lazima kwa kuwa amelalamika ubaguzi wa rangi huko aliko.

- kuna options mbili ikitokea tunahitaji mabadiliko;
+ Kuwatumia Zouma au Luiz kama Holding midfielders.
+ Kucheza 4-2-3-1 (advantage ni kuwa tunao atacking midfielders wengi at our disposal)

- Ila, ikitokea akabaki ni heri tubaki na midfielders tulionao;
- Ngolo Kante
- Jorginho
- Ruben Loftus Cheek
- Kovacic
- Ross Barkley
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom