Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,943
STRIKING FORCE
Foward line ndio tatizo kubwa kwetu msimu huu na hata ule ulioisha. Katika top six Chelsea ndio timu iliyofunga magoli machache sana msimu huu. Kwa hiyo tunahitaji sana clinical striker atakayetupa walau magoli 20 kwa msimu mmoja. Mtu kama Luka Jovic anafaa sana pia our academy graduate like Tammy Abraham ambaye amekuwa na msimu mzuri sana akiwa kwa mkopo Aston Villa amefunga magoli 25 katika mechi 37 hivi wana Chelsea tunataka nini kingine kwa huyu dogo.
Kuhusu CHO hakuna shaka huyu mtoto apate nafasi tu ataonyesha kiwango chake. Pulisic ni mchezaji ambae tayari ameshjitambulisha namna yake ya uchezaji cha msingi muda tu utasema. Willian na Pedro hawa wazee watatoa experience yao kwa hawa watoto. Giroud na Higuain sioni nafasi zao msimu ujao siyo wachezaji wa kutegemea kabisa kwa hiyo wafunguliwe mlango wa kutokea tu. Hazard kama atakuwepo msimu ujao itapendeza sana.
Hiyo ni tathmini yangu kwa kuzingatia walau katika kila idara kuwe na mtu mzima mmoja mwenye experience zake. Sijamzungumzia Hazard kwa sababu simuoni msimu ujao kwa maana Madrid watakua washamalizana naye na nadhani kinacho subiriwa ni kutangazwa kwake. Kuna mahali nilisoma wameandika tar 12/05 ndio mustakabali wake utatangazwa.
Mchezaji bora wa msimu nampa Hazard. Mchezaji chipukizi na CHO. Karibuni wadau wa mpira na mashabiki wote tufanye tathimini na tutoe maoni yetu.
.
.
.
FORWARDS:
Kwa kweli hapa, kutokana na formation pendwa ya Sarri ya 4-3-3, hapa inakuwa changamoto kuzungumza.
- Nakubali kuwa Giroud na Higuain waondoke tu, tena mapema.
- Hakuna haja ya kumrudisha Morata
- KUNA HAJA KUBWA YA KUSAJILI STRIKER ila sina hata idea ni nani wa kumpendekeza. Jovic? Depay? Insigne?
- Forward line yetu tuliyonayo ingependeza sana kama tungecheza 4-2-3-1. Kwa 4-3-3 kuna wengi watakaa benchi ila kama ulivyosema kuwa Willian na Pedro wanazeeka hivyo ni vyema kuwa na madogo wa kuchukua nafasi zao
- Eden Hazard
- Willian
- Pedro
- Callum Hudson Odoi
- Christian Pulisic
- Tammy Abraham