Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Weka akiba ya maneno ,ni rahis kumpiga lei lkn sio Watford ,wana viungo wazuri sana wenye nguvu, rejea mech zao wanavyotawalaga kiungo,
Hapa najua hutakuwa na la kuongea Tena.

Chelsea 3 vs Watford 0
 
Chelsea wamecheza mpira ovyo ovyo sana...yaani kikosi kuanzi beki adi washambuliaji wanaitaji msasa wa maana. wale watoto wangekua samart muda huu tungekua tunaongea lugha nyingine.
Mabeki wanaachia nafasi ya mtu kupiga mpira akiwa free kabisa...sijui kwanini kocha ameendekeza ule ujinga.
 
Arsenal wamesalimu amri kama Man U, Chelsea 100% top 4, Spurs ni kama nao wamepita labda wafungwe magoli mengi na Everton na wao Arsenal wawafunge Burnley nyumbani kwao mabao mengi
This is EPL
 
Arsenal wamesalimi amri kama manu, ,,Chelsea 100% top 4, Spurs ni kama nao wamepita labda wafungwe magoli mengi na evarton na wao Arsenal wawafunge Burnley nyumbani kwao mabao mengi
This is EPL
Ndio imeisha hiyo mzee
 
Bado hata wewe inakubid game ya mwisho ushinde,,japo mpaka sasa umefikisha 80% ya kwenda UCL
Man U na Arsenal sasa rasmi Futuhi Championship mwakani, ubishi woote na matusi juu imefika ukomo japo Arsenal wanaweza kujipeleka Championship kupitia Europa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom