Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea imejaa wachezaji wavivu kweli kweli ,ni wavivu na wazembe wanakaba kwa macho na kuwanyooshea mikono wenzao wakabe Luiz,willian,alonso,emerson, jorgihno siku chelsea isipokuwa na Rudiger, Kante ,kovasic, Barkley kwa kipa wetu lazima tutapigwa goli 2-3 haijalishi tutashinda au la
Umechanganya mambo na ukajichanganya sana tu! Alonso sawa ana shida ndio maana kawekwa kando, Luiz sometimes mzito kama ilivyo kwa Rudiger na ndio maana kwa sasa Rudger anaongoza kwa kucheza rafu. Kuanzia December kumekuwa na tabia ya karibu wachezaji wote form kushuka aidha wakifungwa au baada ya HT na hapa huwezi mlaumu mchezaji mmoja mmoja labda kocha ndio hawezi kutekjeleza majukumu yake sawasa. Hii mechi ya juzi na Slavia timu nzima ilikuwa ikifanya silly mistakes including akina Kante, Kovasic, Willian, Aspi, Emmerso nk. Kosa kubwa ni ball possession, na pasi mbovu kabisa, Katika mechiza za Liverpool na SLavia wafungaji au waliokuwa wakitoa assists walikuwa wanapitia kule kule kwa Emerson walishazoea kwa Alonso.

Nilichogundua tu ni kwamba tukiwa na MF wazuri tunaposses na tukiwa na winga pamoja na Left and Right backs wazuri tunafunga magoli
 
Mpeni nafasi Sarri atawapa raha sana!
Wkt Klopp anaichukua Liverpool alikutana na changamoto zaidi ya hizi lkn tukavumilia na sasa matunda tunayaona!
Sarri ataleta watu wanaofaa mfumo wake wataiimarisha sana Chelsea,kinacho takiwa tu Hazard na Kante wasiondoke
Hapana mkuu ..sisi hatuna approach ya kumvumilia kocha dhaidi ya misimu miwili, huu msimu akizingua kuingia top au kubeba Europa basi aondoke tu ..ni kocha mzuri lakini mfumo wake haufai EPL ..labda Spain uko au kwao Italy..

Na kama Klopp akikwama kubeba kombe lolote lile kati ya EPL na/au UEFA basi mtimueni mumchukue Sarri ..naona atawafaa maana mna wachezaji wenye kasi sana..
 
Hapa kwa Hazard naona utakua ngumu Madrid wanamuhitaji kwa udi na uvumba, labda Kante ndio tuna uhakika wakumbakiza maana bado ana mkataba mrefu
 
Umechanganya mambo na ukajichanganya sana tu! Alonso sawa ana shida ndio maana kawekwa kando, Luiz sometimes mzito kama ilivyo kwa Rudiger na ndio maana kwa sasa Rudger anaongoza kwa kucheza rafu. Kuanzia December kumekuwa na tabia ya karibu wachezaji wote form kushuka aidha wakifungwa au baada ya HT na hapa huwezi mlaumu mchezaji mmoja mmoja labda kocha ndio hawezi kutekjeleza majukumu yake sawasa. Hii mechi ya juzi na Slavia timu nzima ilikuwa ikifanya silly mistakes including akina Kante, Kovasic, Willian, Aspi, Emmerso nk. Kosa kubwa ni ball possession, na pasi mbovu kabisa, Katika mechiza za Liverpool na SLavia wafungaji au waliokuwa wakitoa assists walikuwa wanapitia kule kule kwa Emerson walishazoea kwa Alonso.

Nilichogundua tu ni kwamba tukiwa na MF wazuri tunaposses na tukiwa na winga pamoja na Left and Right backs wazuri tunafunga magoli
Kucheza rafu ni mmoja ya indicator ya kukaba wachezaji wetu wazuri lakini wavivu na wazembe(careless/no concentration)
 
Hapana mkuu ..sisi hatuna approach ya kumvumilia kocha dhaidi ya misimu miwili, huu msimu akizingua kuingia top au kubeba Europa basi aondoke tu ..ni kocha mzuri lakini mfumo wake haufai EPL ..labda Spain uko au kwao Italy..

Na kama Klopp akikwama kubeba kombe lolote lile kati ya EPL na/au UEFA basi mtimueni mumchukue Sarri ..naona atawafaa maana mna wachezaji wenye kasi sana..
Klopp EPL kaisha chukua
UCL anacheza final
Utamfukuza vipi kocha mwenye mafanikio kama huyu?
 
Hapana mkuu ..sisi hatuna approach ya kumvumilia kocha dhaidi ya misimu miwili, huu msimu akizingua kuingia top au kubeba Europa basi aondoke tu ..ni kocha mzuri lakini mfumo wake haufai EPL ..labda Spain uko au kwao Italy..

Na kama Klopp akikwama kubeba kombe lolote lile kati ya EPL na/au UEFA basi mtimueni mumchukue Sarri ..naona atawafaa maana mna wachezaji wenye kasi sana..

ManCity na Chelsea hawana approach ya project kama timu nyingine.
Timu kama Liverpool kocha mpya anapokuja approach yao ni multi year project sababu ya limited budget
 
Wapendwa wa Chelsea, tusikate tamaa, neema yaja tena kubwa tu. Bahati haikuwa yetu, tulipata nafasi tatu za wazi, mbili za Hazard na moja ya Higuaín lakini zilipotea kwenye thin air. Kwa game plan ya Sarri juzi hakukuwa na haja ya Jourginho kucheza Central MF wakati walijiandaa kupaki mabasi. Angecheza Kante pale angeweza kucotrol mcheza zaidi ya Jourginho. Bado nasema siku Sari akitimuliwa ndio ushindi wetu mkubwa kuliko kubeba EPL au UEFA.
Nakubaliana na wew asilimia zote.

Tena natamani atimuliwe hata Leo.

Sijawahi kuchukia kocha yeyote wa Chelsea lakini this time imenibidi nimchukie huyu mvuta sigara.

Toka aseme Kante Hana uwezo wa kukimbia na kupeleka mpira mbele aisee nilimuona Kama sanamu anayechukua mshahara wa bure Chelsea pale.

Eti Jorghino ni better than Kante no 6. Aisee
 
Michezi iliyobaki

3 Spurs anaweza kuongeza pts 8 = 67+8 = 75
4 Arsenal anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
5 Chelsea anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
6 Man U anaweza kuongeza pts 6 = 64+6 = 70

Tupambane na Europa tu!
 
Mech na man u ndio msala mkubwa kwenu ,ndiyo mech inayowapeleka europa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom