Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

ManCity na Chelsea hawana approach ya project kama timu nyingine.
Timu kama Liverpool kocha mpya anapokuja approach yao ni multi year project sababu ya limited budget
Ni kweli usemavyo ..ndo maana nikawapa option ya kumchukua Sarri endapo Klopp ana fanya madudu mengine tena.
 
Michezi iliyobaki

3 Spurs anaweza kuongeza pts 8 = 67+8 = 75
4 Arsenal anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
5 Chelsea anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
6 Man U anaweza kuongeza pts 6 = 64+6 = 70

Tupambane na Europa tu!
Arsenal ondoa ..yeye anaweza ongeza point tano tu kama siyo nne ..kesho kutwa jumatano anakalishwa..
 
If that’s the case then you need to recruit a manager who is a winner and a budget of at least 500 GBP in order to get success in one year
Mkuu mimi sio wa english medium ..mimi elimu yang daasa la saba tu ..ata sijui nkujibu nini..
 
Arsenal ondoa ..yeye anaweza ongeza point tano tu kama siyo nne ..kesho kutwa jumatano anakalishwa..
Ni sawa kwa sababu utabiri wangu ulichukulia ukweli kwamba Arsenal angeshinda mechi ya jana dhidi ya Crystal Palace
Sasa ana the maximum capacity ya pts 5+66 = 71

Michezi iliyobaki msimamo mpya

3 Spurs anaweza kuongeza pts 8 = 67+8 = 75
4 Chelsea anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
5 Arsenal anaweza kuongeza pts 5 = 66+5 = 71
6 Man U anaweza kuongeza pts 6 = 64+6 = 70
 
Mgonjwa huyu yupo maututi leo sijui atapona goodluck Banley tupunguze midomo
 
1078521
 
Ni sawa kwa sababu utabiri wangu ulichukulia ukweli kwamba Arsenal angeshinda mechi ya jana dhidi ya Crystal Palace
Sasa ana the maximum capacity ya pts 5+66 = 71

Michezi iliyobaki msimamo mpya

3 Spurs anaweza kuongeza pts 8 = 67+8 = 75
4 Chelsea anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
5 Arsenal anaweza kuongeza pts 5 = 66+5 = 71
6 Man U anaweza kuongeza pts 6 = 64+6 = 70
Apo sawa kabisa.
 
Nimekodi Matents 4 na Maturubali 8 nipo kwenye Matayarisho ya Kuyafunga Hapa Kwa ajili ya Waombolezaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom