Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahaah

Mzee AROON huyo jamaa alijipiga ban tokea jumapili ila ameonekana uzi wa Barca leo

huyu hapa chini

[emoji1787][emoji38][emoji1787]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mkuu MASAMILA nakusalimu ..nadhani mnatambua kuwa King hakabiki ..ukimkaba ni faulu maana lazima ukamie sana ...

Uyu Messi tangu tumboni mwa mamaye alikuwa akiupiga mwingi tu ..halafu leo kijibeki kama VVD au Matip kihe kimzuie!!? Beki kisiki kam Vidic, Garry Neville, Ferdinand..zilishindwa sembuse hiz za looserfool ..
 
Messi anakuja kukabwa na Gomez&VVD huyo Matip hatahusika

VVD hajapigwa drible hata moja msimu huu
 
Mkuu MASAMILA nakusalimu ..nadhani mnatambua kuwa King hakabiki ..ukimkaba ni faulu maana lazima ukamie sana ...

Uyu Messi tangu tumboni mwa mamaye alikuwa akiupiga mwingi tu ..halafu leo kijibeki kama VVD au Matip kihe kimzuie!!? Beki kisiki kam Vidic, Garry Neville, Ferdinand..zilishindwa sembuse hiz za looserfool ..

Basi angeshinda World Cup last year in Russia
Au angekuwa anashinda UCL kila mwaka toka ajiunge na Barcelona
 
Huyu kepa tumepigwa

Wewe kipa gani forward yako ikiwa makini tu kuachia makombola lazima apate goli

Nawataka final Chelsea , kiungo jojino
 
Chelsea ungepewa Napoli siungeoga magoli kama yote,ikiwa kipa ni Kepa

Maana wale wahuni wanaachia makombola tu,
 
Hii beki ya LuiZ siielewi Rudiga na christ wakicheza pamoja hatufungwi migoli ya kijinga kijinga,pia kipa wetu immaturity inamsimbua Pickford tungemnunua nusu bei ya haka kadogo kuna mtu kala rushwa
 
Hawa Chelsea wanajielewa kweli?Ndo nini kuruhusu magoal hayo yote pale darajani?.Mashabiki wa Chelsea kazi mnayo.
Chelsea wamecheza vizuri, hayo mashuti ya kubahatisha wala kipa hana makossa, kipa yeyote anafungwa na mashuti ya kushtukiza kama yale
 
Jana nimeendelea kumshangaa sana Pedro, siku akizimika anazimika kama umeme wa Tanesco na akiibuka ni kama mafuriko
 
Dah! Bora liende aise ..afadhali tumeshinda, hii Chelsea imekuja kuwa ya ajabu sana ..sikutegemea kama tungekuwa ivi aise dah! ..kama Praha ndo hivi ao Valencia au Arsenal itakuwa balaa...

Keep The Blues Flag To Fly High..
Mpendwa hayo mashuti ya Petr ya kubahatisha baada ya kushindwa kufika golini. Hizi incidents huwa hazitokei wakati wote. Cha kumshukuru Mungu ni good form ya Pedro jana ililipa, magoli yote manne Pedro alihusika kwa 100%, akifunga mawili, moja assist na lingine assists kwa OG, hii form iendelee tutakapokutana na Eintracht Frankfurt ya Ujerumani kwenye Semi Final tarehe 2 na 9 May 2019
 
Top scorer is Europa League
Oliver Giroud 10 goals and 3 assists
Willian 3 goals and 7 assists

Kama Assists zitachukuliwa kama kigezo cha ufungaji basi Giroud ana 13 wa kwanza na Willian ana 10 wa pili mpaka sasa
1075574
 
Baada ya Half time huwa tunapigwa magoli mengi. Jana tena, wachezaji wanaambiwa nini? Maana hii ni dalili mbaya

Kepa nae kuna baadhi anatakiwa a-save kila game anapigwa magoli ya mbali. kwanza anaruka (dive) wakati yy ni mfupi. Alitakiwa apige hatua mbili au moja ndo aruke.

Pili mabeki wasikubali opposition players awe free kupiga mashoot kwa urahisi. Emerson na Luiz (joke defender).
 
Mpeni nafasi Sarri atawapa raha sana!
Wkt Klopp anaichukua Liverpool alikutana na changamoto zaidi ya hizi lkn tukavumilia na sasa matunda tunayaona!
Sarri ataleta watu wanaofaa mfumo wake wataiimarisha sana Chelsea,kinacho takiwa tu Hazard na Kante wasiondoke
 
Baada ya Half time huwa tunapigwa magoli mengi. Jana tena, wachezaji wanaambiwa nini? Maana hii ni dalili mbaya

Kepa nae kuna baadhi anatakiwa a-save kila game anapigwa magoli ya mbali. kwanza anaruka (dive) wakati yy ni mfupi. Alitakiwa apige hatua mbili au moja ndo aruke.

Pili mabeki wasikubali opposition players awe free kupiga mashoot kwa urahisi. Emerson na Luiz (joke defender).
Chelsea imejaa wachezaji wavivu kweli kweli ,ni wavivu na wazembe wanakaba kwa macho na kuwanyooshea mikono wenzao wakabe Luiz,willian,alonso,emerson, jorgihno siku chelsea isipokuwa na Rudiger, Kante ,kovasic, Barkley kwa kipa wetu lazima tutapigwa goli 2-3 haijalishi tutashinda au la
 
Baada ya Half time huwa tunapigwa magoli mengi. Jana tena, wachezaji wanaambiwa nini? Maana hii ni dalili mbaya

Kepa nae kuna baadhi anatakiwa a-save kila game anapigwa magoli ya mbali. kwanza anaruka (dive) wakati yy ni mfupi. Alitakiwa apige hatua mbili au moja ndo aruke.

Pili mabeki wasikubali opposition players awe free kupiga mashoot kwa urahisi. Emerson na Luiz (joke defender).
Kwa maelezo yako unaweza kuwa kipa bora duniani kumzidi KEPA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom