Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kamwe timu zilizozoea makombe kama Real Madrid wasingeweza kubaki na kocha kama Solari
Na hapa watu wanaoikandia Chelsea kufukuza makocha wajifunze hapa, timu kubwa ni makombe, kama kocha huleti makombe utafungasha virago tuh

Sari asipoleta makombe sanasana tutamvumilia mwaka wa pili tu
INSHORT SARI HANA NIA NA KOMBE hivi ni kocha gani anayepigwa goli nyingi bila ya kuwa na nia ya kusawazisha makocha wote utaona wakipigwa mbili mfumo unabadilika either kuzuia na kushambulia kwa kusitukizana kudababisha goli


Sasa sarr afungwe asifungwe analeta pass slowly tena backward na horizontal
 
Ndugu, inawezekana kweli Chelsea hawakucheza kwa kiwango ulichotegemea ila nina pointi chache ya kutafakarisha kwa pande zote mbili za shilingi, yaani Chelsea kutocheza vizuri na Wolves kuwa na nidhamu ya hali ya juu
  1. Wolves walikuwa na nidhamu ya hali ya juu kwenye Defense, hata wangecheza na timu yyeyote kwenye top six matokeo yangekuwa just jirani na yale ya Chelsea. Na hii inaonyesha kuwa Wolve wanajiandaaga vya kutosha wanapokutana na big teams tofauti na wanapokutana na timu ndogo
  2. Form ya Higuaín jana haikuwa nzuri, muda mwingi alikuwa hatembei uwanjani, just stationed in one place
  3. Hata Jourginho jana alicheza zile pressing au deep passes ambazo ndizo tulizitaka tuzione Zaidi kuliko horizontal passes
  4. Tactically jana Chelsea walikuwa low of course kwa sababu ya uimara wa safu ya ulinzi ya Wolves. Tactically wangetafuta hata magoli kupitia penalty, wale wolves walikuwa too physical na angekuwepo Lofta Cheek tangu mwanzo, au Hazard angecheza zaidi ule mchezo wake wa kupenya defence kila mara, lazima chache zingezaa penalti
MIMI SIJUI HUYU DRUG DEALER WALIMTOA WAPI HAJUI SUB YA MAANA JWA DAKIKA MAKINI DAH
 
Chelsea jana walizingua sana..wachezaji wanacheza back pass nyingi sana wakiwa hawajafungwa..ila wakifungwa ndo wanajifanya kua sirias na kutafuta goli.
Kikosi cha wapuuzi sana Ile , kocha asije kulaumu akifukuzwa make mechi za kuchukua point anazingua sana...leo mechi moja ya mkononi tungekuatunaesabu kumshusha Toteham

Hizi ndizo combination za magoli kocha asizozijua japo aliwahi kuziweka na tukafanikiwa

Hodoi Higuan/giroud WILLIAN (hapa mpira huwa wa mbio na kusaka nyavu)
Hazard higuan roftascheek (hapa huwa wa kupenya penya kwa mabeki)

Sasa pedro awe anatokea sub
 
Nilisema hspo juuu hiii COMBINATION NDIO YA USHINDI MNONO AIJALISHI NI TIMU KILAZ au

Hodoi giroud Willian
Rftos kante kova

Hazard higuan Roftascheek
 
Dynamokiv jana walikuwa ovyo sana, Chelsea walikutana na kibonde wala haikucheza vizuri sana kwa sababu wangecheza vizuri wangewafunga hata 10 na zaidi

Muhimu ni robo fainali
Leo UEFA wanatangaza nani na nani watacheza kwenye robo fainali, nafikiri hawatatupanga na Naples
 
NO JOGHNO NO PROBLEM
AFTER JOGNHO IN WAKAPATA MWANYA WA KUPITA HAPO KATI
HUU YA JAMAA SIJUI ANA TATIZO GANI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom