Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Kaangalie top ten ya timu zenye mataji mengi duniani ,ukimkuta cheltako njoo hapa uniambieView attachment 1071740
Yohana 3:16
Nenda google
Sawa ngoja nikuache.Nenda google
Vitu vingine sio lazima utafuniwe
Umeshasahau fainal nilizokubonda miaka ya karibuni, hesabu mwenyewe
Yohana 3:16
Pumzika mkuu, maana najua ukishafungwa huna raha, mwenzio Ollachuga Oc anaonaga bora ajipige ban tuHhehee.. Ndiko unakokimbiliaga kujifichia huko. Sawa ngoja nikuache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ollachuga.................Huu utaratibu wa kujichukulia maamuzi ya kujipiga BAN mwenyewe umeyatoa wapi Mkuu ..........Njoo tukutane sasa Dk 90 zimeshaishatukutane baada ya Dakika tisini, matokeo yataamua nani abebe ubingwa kati ya Liverpool na Man city. Sisi tunachojua ni Bendera ya looserfool kupepea nusu mlingoti pale Anfield
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekiona ulichokuwa una subiri sasa
Tulikuwa hatuna Amani kwa Stats za Huyu Pazia
Walikuwa Hawajui kuwa wamepigwa kwa kuuziwa Mbuzi kwenye gunia
he!
kocha akipanga kikosi kizuri leo, yatatokea kama ya 2013/14 hawataamini
Unataka muda uliopo wewe ndio na sisi tuwepo. Ila tuliokuwepo sisi wewe hukuwepo.Cheltako hamna washabiki kwel mbona mnakimbiaga nyuzi yenu aisee
13SEPTEMBER
Unataka muda uliopo wewe ndio na sisi tuwepo. Ila tuliokuwepo sisi wewe hukuwepo.
Aya nipo mimi. Sema sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
OLLACHUGA mzee wa kujipiga BAN mwenyewe
Bournemouth aliyekupiga bao 4 nae pia msimu huu ana bahatiJana tulifungwa na team yenye bahati pia kutokuanza na namba tisa natural ilitufanya tusifurahie mambo adhimu ya Hazard