Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sarri OUT, msaada wake katika timu ni mdogo sana, matokeo yanaamuliwa na mchezaji mmoja mmoja ila sio kitimu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sitaacha kulalamika na huyu kocha wetu. Hakika anatunyima maisha tuliyoyazoea.

Sema tuvumilie maisha ya mpito. Nakubali nimefungwa kama ambvyo hata mimi namfunga. Hali yetu kwa sasa isiwe sababuya kufungwa kwetu. Tulikua na nafasi nyingi za kufanya mazuri ila tumefanya uzembe tu.

Sema goli la Salah zuri. Hatuwezi kumlaumu kipa. Pale anafungwa kipa yoyte yule na ubora wake. Hatukati tamaa, nafasi bado tunayo.

Up Blues

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu unamlaumu kocha nini ,sema liver walikuwa bora kuliko nyie, bas

All in all nawaombea mkashinde kwa man u, ningependa msimu ujao muwepo UCL ,tot na man u waelekee europa

Yohana 3:16
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom